Kwako Mwanamke: Je, unaweza ruhusu Mpenzi/Mume wako kukunyoa kichaka chako?

Kinkunti El Perdedo

JF-Expert Member
Nov 28, 2020
4,485
11,036
Kulingana na maumbile ya Dada zetu kuwa sensitive kidogo (mbususu) huwafanya kuwa makini Sana katika kutunza utu wao hasa kwa kuzingatia usafi muda wote, kwa hili natoa pongezi za dhati kabisa kwa wadada, maana hata nyuzi za watu kulalamika kuhusu harufu na vichaka zinapungua kwa kasi kubwa sana.

(Mwanamke usafi)

Mada yangu italenga kwenye jambo moja tu kuhusu namna ya kunyoa kichaka kwa kuwauliza wadada maswali yafuatayo

Je, unaweza ruhusu mpenzi, mchumba au mume wako kumpa jukumu la kukunyoa kichaka chako? Kama YES, kwanini? Na kama NO, kwanini?

Na je, kipindi cha zoezi huwa unajihisi confidence kabisa?

Weekend Njema wakuu.
 
Kulingana na maumbile ya Dada zetu kuwa sensitive kidogo (mbususu) huwafanya kuwa makini Sana katika kutunza utu wao hasa kwa kuzingatia usafi muda wote, kwa hili natoa pongezi za dhati kabisa kwa wadada ,maana hata nyuzi za watu kulalamika kuhusu harufu na vichaka zinapungua kwa kasi kubwa Sana.

(Mwanamke usafi)

Mada yangu italenga kwenye jambo moja tu kuhusu namna ya kunyoa kichaka kwa kuwauliza wadada maswali yafuatayo

Je, unaweza ruhusu mpenzi,mchumba au mume wako kumpa jukumu la kukunyoa kichaka chako? kama YES, kwanini? na kama NO, kwanini?

Na je,kipindi cha zoezi huwa unajihisi confidence kabisa?

Weekend Njema wakuu.
Mtoa mada ww haujaowa au kuolewa lkn kama mwanamke anafundishwa kumfanyia usafi mumewe, na mwanaume kumsafisha mkeo jambo la kawaida, ktk mahusiano watu hufanyiana mambo meeengi ya kimahaba
 
Mtoa mada ww haujaowa au kuolewa lkn kama mwanamke anafundishwa kumfanyia usafi mumewe, na mwanaume kumsafisha mkeo jambo la kawaida, ktk mahusiano watu hufanyiana mambo meeengi ya kimahaba
Mkuu sijaoa, Jambo la usafi ni muhimu Sana kwa pande zote mbili ila sio kila mtu anaweza kuwa na hali ya kumudu kumfanyia mtu usafi na hii ipo Sana kwa wanawake kutokana na maumbile yao wengi huona aibu kulinganisha na wanaume,ndio maana nimelenga wadada maana uku ni rahisi mtu kufunguka maana lD fake
 
Mkuu sijaoa,Jambo la usafi ni muhimu Sana kwa pande zote mbili ila sio kila mtu anaweza kuwa na hali ya kumudu kumfanyia mtu usafi na hii ipo Sana kwa wanawake kutokana na maumbile yao wengi huona aibu kulinganisha na wanaume,ndio maana nimelenga wadada maana uku ni rahisi mtu kufunguka maana lD fake
Mkuu kwenye hili la kutoa vichaka, nimeshakua Kinyozi mzuri Sana kwa Dada zetu aisee
 
Back
Top Bottom