mwanamke

  1. S

    Umeshawahi kumla kimasihara mwanamke wa rafiki yako

    1Kuna siku nilikwenda club na washkaji zangu nikakutana na ex wa brother wangu. Nikamsalimia akaniomba nimnunulie bia nikamletea huyo nikaondoka nikajichanganya zangu bado kama nusu Saa club kufungwa yule ex wa bro alikuja kucheza na mimi hapa nami nikiwa nimelewa. Club ikafungwa nikatoka nae...
  2. Mexico: Mahakama Kuu yasema ni kosa kumshtaki au kumzuia Mwanamke kutoa Mimba

    Mahakama Kuu ya Mexico imeamua kuwa uhalifu wa utoaji mimba ni kinyume cha Katiba, kwa kura ya pamoja Jumanne, uamuzi ambao utawawezesha wanawake wa Mexico kote nchini kutoa mimba bila kizuizi. vigezo vya mahakama na Katiba, kumshtaki mwanamke anayetoa mimba katika kesi zilizoidhinishwa na...
  3. Kamwe huwezi kumridhisha Mwanamke

    Wanaume naamini mmeamka salama. Neno moja nataka kuwaambia asubuhi hii, Nimegundua Mwanaume huwezi kumridhisha Mwanamke kamwe. Utapambana utamtafutia pesa utampa. Utafanya nae mapennzi kwa jitihada zote, utamfikisha kileleni utamkojoza. Utamfanyia kila anachotakiwa kufanyiwa mwanamke...
  4. Mwanamke kukubali kuolewa na wewe kuna mengi yapo akilini mwake au moyoni mwake

    Vitu ambavyo vinaweza kumfanya mwanamke kukubali kuolewa ni hivi hapa! Umaarufu wako Hii inawakumba sana wasanii,watu maarufu au kitu fulani,biashara. Hapa bwana wimbi la wanawake watapenda kuolewa na wewe! Muonekano wako Hii inawakumba wale uwezi kujua ni maskini,yani mtanashati,mtu ambaye...
  5. Umeshawahi kuletewa nyodo na mhudumu wa kike?

    Salaam wakuu! Kama kichwa cha uzi kinavyojieleza, katika mihangaiko yako ya maisha ya kila siku, umewahi kwenda sehemu kupata huduma fulani na ukaletewa nyodo na mhudumu husika, kwa sababu tu aidha mmiliki ni mpenzi wake, au vyovyote? Karibuni!
  6. L

    Nahitaji mwanamke wa kuwa mchepuko umri 20-25

    Nahitaji mwanamke ambae atakuwa mchepuko niko tayari kuwa nampa hela ya mtumizi 500k kila mwezi awe na vifutavyo *mweupe mwenye tako *awe anajua mapenzi *awe mrefu na pia ajue kuendesha gari
  7. Nafasi ya kazi kwa mwanamke, eneo Mbezi Mwisho...

    Natafuta mwanamke anaeweza kutumia kompyuta kwa ajili ya kufanya kazi ya kuingiza nyimbo kwa wateja,Mwanamke wa umri wowote anaeweza kutumia kompyuta. najua si rahisi au yawezekana haujawahi kabisa kufanya hiyo kazi ila usijali utafundishwa na mwanamke mwenzako anaefanya kazi hiyo hiyo,kama...
  8. Mwanamke mzawa wa Kenya atunukiwa tuzo la urembo Uingereza

    Alikwenda ukubwani kupata elimu ya juu, sasa kuiwakilisha Uingereza kwenye shindano la urembo duniani kote.... A Kenyan-born model has been crowned Miss England and will now represent the European country in the 70th Miss World that will be held in Puerto Rico. Rehema Muthamia, 25, received...
  9. Kuwa na mpini mkubwa sio suluhu ya kuridhisha mwanamke

    Nimekaa nikatafari sana kwa nini hili tatizo la wanawake walioolewa kuchepuka limekuwa kroniki? Hapo awali nilidhani walio na mipini mikubwa huwa hawapigiwi wake zao. Lakini ukiingia mitaani utakuta ni mambo ya ajabu kabisa. Mtu anajisifia kijiweni kuwa ana mpini ulioshiba lakini wahuni...
  10. Ushawahi kumpania mwanamke halafu siku hiyo jogoo hakuwika?

    Wakuu mko poa?Jumatatu inaendaje mimi niko poa sikwenda job leo maana nimeamka na hangover ya pombe kinoma noma jana nilikua nasakata rumba si unajua ujana maji ya moto? Ngoja nirukie kwenye sub topic aisee. Leo nawaletea hii ishu mcheke kidogo.....Nilishawahi kumpania mwanamke mmoja kisu balaa...
  11. Kwanini mwanamke akiwa hedhi anamchukia Kila mtu

    Wife alikuwa kwenye mzunguko nimenuniwa siku tatu na sikumfanyia kosa lolote, kwanini lakini nyie wake zetu mnakuwa na majaribu?
  12. Je, unaelewa nini mwanamke akisema anapenda mwanaume romantic?

    Kuna vitu viwili napenda niviongelee hapa. 1.EMOTIONAL CONNECTION 2.CHEMICAL BOND Sasa lengo la kuwa romantic mwanaume kwa mwanamke ni kutengeneza EMOTION CONNECTION, sasa what does it mean? Emotiona connection, ni kumfanya mwanamke kuungana na wewe kihisia zaidi, how? Moja lazima...
  13. Je, siku za kuiingia hedhi mwanamke zikibadilika tarehe kuna tatizo?

    Naomba wajuvi wa mambo wanisaidie hapa. Kama kila baada ya mwezi mwanamama anapata tarehe tofauti za hedhi kiafya ni sawa? Mfano mwezi huu anaingia tar 24 alafu mwezi ujao anaingia tar 20. Hii kiafya ya uzazi iko imekaaje?
  14. Jinsi ya kumvuta Mwanamke kupitia Mawasiliano

    JINSI YA KUMVUTIA MWANAMKE KUPITIA MAWASILIANO. Kisaikolojia wanaume hutumia direct communication ndomana mazungumzo ya men to men huwa short and clear. Men 1: "Oya niletee ile movie" Men 2: "Baridi mzee baba"... Story inaishia hapo. While women was designed to keep conversation going, wao...
  15. Mwanamke unawezaje kumjibu jeuri mume wako?

    Hivi mwanamke unakuwa mjeuri unamjibu mumeo utakavyo. Mwanaume ametoka kwenye mishe mishe kurudi nyumbani ni war zone na sio comfort zone.
  16. M

    Maajabu ya wanawake katika mahusiano ya mapenzi

    Yafuatayo ni mahitaji muhimu ya mwanaume na mwanamke kutoka kwa mwenzie #Inasikitisha MWANAUME ANAHITAJI: 1. Kupikiwa 2. Unyumba 3. Kupumzika MWANAMKE ANAHITAJI MWANAUME WAKE UWE:- 1. Mpenzi 2. Rafiki 3. Mshikaji 4. Kaka 5. Baba 6. Mwalimu 7. Bosi 8. Mpiganaji 9. Askari 10. Mlinzi 11. Mpishi...
  17. Marafiki zangu nawapenda ila mke wangu nampenda na kumsikiliza

    Nimekua niko karibu na marafiki zangu mno kwanzia Form 6, Chuo mpaka kazini, nimefurahi mengi tumepitia vingi vizuri, vibaya vichache kwa kweli namshkuru Mungu. Sasa basi mambo yameanza badilika tokea nimeoa.. marafiki wakilalamika nimekua naji exclude atumeet kama ilivyokua desturi mpaka...
  18. Mwanamke akikupenda raha, pamoja na kumcheat kaninunulia perfume ya 170,000/=

    Alikuta picha kwenye Facebook messenger yangu. Picha yenyewe ni dogo mmoja ametoka kuoga, amefumua nywele. Maana nilimwambia ukifumua nataka nizione nywele zilivorefuka. Aliniwakia sana. Tena ilikua usiku tumetoka Sunrise Beach Resort vizuri tu. Tumefika karibu na kwao nataka nimuage ndio...
  19. B

    Kwa nini jamii inahisi mwanaume aliye kwenye mahusiano na mwanamke analiwa pesa?

    Kuna kitu nimeobserve Mara nyingi kwenye Jamii, taarifa zikienea mtaani kuwa una-date na mdada flani, watu wanaanza kukuuliza yule mdada ulimpa sh ngapi hadi ukampata, mwingine atasema ni kwa vile wewe una hela kumzidi fulani ndio maana ukampata yule mdada, mwingine atakusema Pembeni wakati...
  20. Mchawi wa mwanamke ni mwanamke mwenyewe, tuache kulaumu wanaume

    Mwanamke anataka jamii imtambue kama mtu dhaifu anaehitaji kulishwa, kutunzwa na kutunduliwa na mwanaume, anaona ni sawa lazima atolewe mahari na kuhurumiwa sana na kupewa upendeleo na wanaume. Mwenyezimungu amewaumba viumbe wake wote sawa bila upendeleo wowote ila tofauti unazoziona baina ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…