Umeshawahi kuletewa nyodo na mhudumu wa kike?

Mkulungwa01

JF-Expert Member
Jul 14, 2021
758
1,000
Salaam wakuu! Kama kichwa cha uzi kinavyojieleza, katika mihangaiko yako ya maisha ya kila siku, umewahi kwenda sehemu kupata huduma fulani na ukaletewa nyodo na mhudumu husika, kwa sababu tu aidha mmiliki ni mpenzi wake, au vyovyote?

Karibuni!
 
Deceiver

JF-Expert Member
Apr 19, 2018
7,118
2,000
Enzi hizo nakunywa safari beer baridi nilikua na rafiki yangu tajiri wa mabasi ya mikoani, lkn huyu jamaa vaa yake usingejua kwamba Ni tajiri. Tulikwenda bar moja Ina wahudumu wawili, jamaa akamtaka mmoja white lkn white akajifanya matawi. Basi jamaa akamjaribisha yule sura mbaya na sura mbaya akakubali.
Jamaa yangu kila siku Basi likitoka mikoani lzm lije na Michele, samaki, ndizi, kuku ndio usiseme. Baadae akaamua kuoa kabisa.
Tukamwacha white na uzuri wake akiendelea kuuza bar.
 
Mpaka leo hii ni mkewe?
 
Mr Devil

JF-Expert Member
Jul 7, 2019
4,508

Chaaaaaaaaaaaiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
 
COMOTANG

JF-Expert Member
Jan 6, 2021
1,744
2,000
Salaam wakuu! Kama kichwa cha uzi kinavyojieleza, katika mihangaiko yako ya maisha ya kila siku, umewahi kwenda sehemu kupata huduma fulani na ukaletewa nyodo na mhudumu husika, kwa sababu tu aidha mmiliki ni mpenzi wake, au vyovyote?

Karibuni!
Niliwahi ila Moto nilio muwashia mbona ilibidi BOSI wake ajizoezoe kuomba msamaha ! Lakini halikuishia Happ nikaendeleza kichambo Nika mobilize WATEJA letu likawa moja hahahaaaa Kilichowakuta hawana hamu na Mimi na hawatafanya hivyo Tena
 
Mwifwa

JF-Expert Member
Apr 3, 2017
38,623
2,000
Enzi hizo nakunywa safari beer baridi nilikua na rafiki yangu tajiri wa mabasi ya mikoani, lkn huyu jamaa vaa yake usingejua kwamba Ni tajiri. Tulikwenda bar moja Ina wahudumu wawili, jamaa akamtaka mmoja white lkn white akajifanya matawi. Basi jamaa akamjaribisha yule sura mbaya na sura mbaya akakubali.
Jamaa yangu kila siku Basi likitoka mikoani lzm lije na Michele, samaki, ndizi, kuku ndio usiseme. Baadae akaamua kuoa kabisa.
Tukamwacha white na uzuri wake akiendelea kuuza bar.
Pale unapojidai kuwa uzuri ni zaidi ya akili.

Bado anauza baa huyo white?
 
mbalizi1

JF-Expert Member
Dec 16, 2015
16,197
2,000
TMJ hospital Drive in cinema mwaka fulani yule dada (nesi) kakazana kuchat huku anacheka na simu yake wakati huo nina malaria inanitesa vibaya sana, aseee nilimwakia akajaribu kujibizana hapakutosha pale hadi wakuu wake walipokuja kuingilia kati na kuomba radhi
 
muhomakilo jr

JF-Expert Member
Jul 28, 2013
12,163
2,000
Miaka hiyo,nilipeleka maombi ya kazi sehemu,mama wa makamo ndiye alikuwa mapokezi,akaichukua bahasha yangu na kuitupa pembeni kwa dharau,nikaondoka nikisononeka....nikaitwa kwa usaili,na kupata ajira pale,yule mama akaondolewa kule mapokezi akawa muhudumu na kutuhudumia chai,....basi siku moja nikamkumbusha,alijisikia vibaya na kuanza kuniogopa na kunikwepa...lakini baadae tuliyamaliza angekuwa binti ningemtafuna tu aisee.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom