mwanamke

  1. Huyu ni Mungu wa aina gani anaacha niteseke kiasi hiki?

    Wakuu Najitahidi sana kufanya kazi kwa bidii kwa miaka kadhaa hapo nyuma mpaka leo mwaka wa tano huu bila kutetereka. Kama ni kuumia nimeumia sana. Kuna muda nafikia stage najiuliza ya kwamba hivi kama yupo MUNGU wetu tunayemuabudu, kumuimba na kumsifu kila uchao, je anaweza niacha naendelea...
  2. M

    Ni kwanini Vitabu vya Kiimani (Dini) vimepinga Mwanamke kuwa Kiongozi / Mtawala?

    Na je, Mwenyezi Mungu aliona nini mpaka Kulisemea hili mpaka Kusisitiza kabisa kuwa Mwanaume ndiyo awe Kiongozi na kuainisha Majukumu ya Mwanamke na Ukomo wake? Kwenye Kitabu cha Quran (cha Waislamu) hiyo Aya nimeiona na imesisitizwa kweli kweli na naomba kama kuna anayejua Aya inayosema hivi...
  3. Ni kweli kuna mwanamke anayefaa kuwa mke wa mtu yeyote(Wife Material)?

    Habarini Wakuu! Siku ya Jana imepita kuna wale ambao mlikaa kama magogo siku nzima na kuna sisi ambao Jana ilikua siku Special[emoji7] ila kikubwa Uzima na tupo hapa. Nirudi kwenye kitu ambacho nataka tujadili. Kila siku hili swali hua najiuliza. Hivi ni kweli Kuna Wife Material yani yule Mke...
  4. Kumuomba mwanamke msamaha sio kosa hata kama hujamkosea

    Nawashauri wanaume wenzangu tuwaombe wake zetu msamaha hata kama wao ndio wamekosa. Ikibidi mfulie nguo zote na uoshe vyombo mbele ya jamii kama mmepanga.
  5. Kijana Usifanye Maisha na Aina hii ya Mwanamke!!

    Kuna Jamaa wako kwa Mahusiano lakini Hawajui hata yanahusiana nanini mahusiano ambayo sio yenye Afya kwao. Leo nawasaidia kwa huu Uzi, hili liwafanye kabla hujajiruhusu kumfanya Mwanamke awe wa kudumu , basi uwe tayari umeshajua Hatima yako. Wanaume baadhi tunachopungua ni uwezo wa Kuitabiria...
  6. Khadija Seif: Mtangazaji wa kwanza wa kike Tanzania

    Katika maadhimisho ya Siku ya Redio Duniani 2022 mwanamama huyu/Bibi huyu ameelezea historia yake kwamba alianza kutangaza mwaka 1954 katika kituo cha "Sauti ya Tanganyika" anasema wakati mmoja kituo hicho cha redio kiliitwa "Sauti ya Mzizima" pia kiliitwa "Sauti ya Kariakoo". Baadae kikaitwa...
  7. Naomba ushauri: Nataka kuachana na Mwanamke ninayeishi naye

    Kama kichwa cha uzi kinavyojieleza ushauri wenu ni muhimu sana maana nina hali mbaya sana kisaikolojia. Naishi kwa stress kiasi kwamba kuna wakati nafikiri pombe itanisaidia nayo inaniongezea shida tu sababu kiukweli mimi pombe siziwezi kwahiyo nilishaamua kuachana nazo sasa kwa sasa hunilazimu...
  8. Mwanamke akikupenda, ni lazima afanye mambo haya

    Leo nimeona niwakumbuke ndugu zangu wanaopenda Mwanamke kwa Dhati ya Moyo na akili yao yote na hisia zao zote kuliko Kumpenda Bwana Yesu. Sawa, eehh ndo umempata sasa , umwekeza Muda na Pesa zako na hisia zako, kiasi kwamba Unaamini HUYO MWANAMKE akiondoka ,basi utakufa. Kabla HUJAFA , yajue...
  9. Unapomtaarifu mwanamke kuwa mume wake ana mahusiano pembeni unamuharibu kisaikolojia

    Kuna dada mzuri nikisema mzuri ni mzuri kweli. Aliolewa na mume mwenye kipato cha kawaida na waliishi maisha ya kawaida. Nikimaanisha hakutumia usafiri wa wote mume wake alimnunulia gari, shopping ya nguo za kazini akifanyiwa. Kwakua alikua mzuri alipendeza sana. Sasa kuna mazee mafisi...
  10. Geita: Akutwa amejinyonga ndani ya nyumba ya wageni inayomilikiwa na mumewe

    KATIKA hali isitokuwa ya kawaida, mwanamke mmoja aliyefahamika kwa jina moja la Naomi mkazi wa Mji mdogo wa Katoro Wilayani Geita amekutwa amejinyonga kwa kutumia kamba ya manila ndani ya choo cha nyumba ya kulala wageni inayojulikana kwa jina la Mwananzoka inayomilikiwa na mumewe Siki...
  11. Mwanamke akiondoka mwenyewe nyumbani akaenda kwao unatakiwa ufanyaje?

    Mwanamke hajapigwa hajafukuzwa katoroka mwenyewe karudi kwao unatakiwa ufwate utaratibu gani ili asije akanisumbua baadaye? Mathalani ukitaka kuoa asije akaweka pingamizi au akalazimisha mgawane mali. Na je kuna ulazima wa yeye kuendelea kunufaika na bima ya afya uliyomkatia? Tena yeye na...
  12. Mwanamke Mghana alivyojifungua mtoto kwenye ndege kuelekea USA

    Safari ya ndege iliyotarajiwa kuwa yenye utulivu kutoka Accra Ghana kuelekea Marekani iligeuka kuwa uzoefu ambao mwanamke mmoja mjamzito kutoka Ghana hatausahau maishani mwake, pamoja na wasafiri waliokuwemo ndani ya ndege ya Marekani United Airlines chapa UA 977. Mwanamke mjamzito alipata...
  13. ONYO: Usimfungulie biashara mwanamke uliye na ndoa/mahusiano naye

    Nimekuwa msomaji wa threads nyingi humu ndani. Leo nimeona nilete kisa changu mwenyewe humu ndani. Husika na mada hapo juu. Ni hivi, mimi ni daktari, mwanamke niliyekuwa naishi naye ni mkulima. Kwa hiyo kuna msimu wa kiangazi anakuwa idle sana maana haendi shambani.. inaweza tokea hata miezi...
  14. Huyu ni aina ya mwanamke ambae ninaweza kumuhonga milioni na kuendelea

    Ndani ya nafsi ya Kila mwanaume zimewekwa taarifa kuhusu mwanamke anae tamanisha, hamasisha na kuvutia kufanya nae sex. Kuna mwanamke ukimuangalia tu unajua yupo vizuri kitandani. Mtazame Aunty Ezekiel Jack Pemba alifaidi Sana. # Her eyes, the way she talk, the way she look, her rudeness...
  15. Ushawahi kuwa na mwanamke anayenuka kikwapa? Nampenda ila ananuka kwapa

    Naomba wale wenye uzoefu wa kuwa kwenye mahusiano na wanawake wenye ugonjwa wa kunuka kikwapa wanisaidie mbinu walizotumia kumsaidia mwanamke wa namna hii. Nina demu wangu kiukweli nampenda na hatuna kabisa mgongano wowote tumekuwa tunaelewana. Shida yake ni harufu ya kwapa, hiki kitu kimekuwa...
  16. Kuna mwenye uzoefu wa kudate na mwanamke Engineer humu?

    Naje wazee? Aisee,kuna mdada ni engineer tuko nae kwenye mahusiano huu mwezi wa pili lakini dezaini flani kama sizisomi pigo zake.huyu manzi ni engineer by profession ila yuko busy balaa, inaweza ikapita hata week nzima hapatikani ukimuuliza anasema alikua site porini huko kwenye project na...
  17. B

    Huwa sipendi nikigundua mwanamke amenipendea pesa

    Mwanamke akinipendea urefu, macho, sura naona sawa kabisa, ila akiwa na mm kwasababu anaona nina vijisenti kadhaa, sio siri roho yangu huwa inajisikia vibaya Sana, na huwa nakereka nikigundua hilo, sijui wanaume wengine mnawezaje kuoa mwanamke aliewapendea hela. Mimi sio mbahili Wala mchoyo...
  18. Kwako Mwanamke: Je, unaweza ruhusu Mpenzi/Mume wako kukunyoa kichaka chako?

    Kulingana na maumbile ya Dada zetu kuwa sensitive kidogo (mbususu) huwafanya kuwa makini Sana katika kutunza utu wao hasa kwa kuzingatia usafi muda wote, kwa hili natoa pongezi za dhati kabisa kwa wadada, maana hata nyuzi za watu kulalamika kuhusu harufu na vichaka zinapungua kwa kasi kubwa...
  19. Mtwara: Mwanamke ajeruhiwa kwa kukatwa mapanga kisa simu ya 24,000/=

    Mwanamke mmoja Mkazi wa Kijiji cha Lyowa Mkoani Mtwara, Josephine Boniface (30) amejeruhiwa kwa kukatwa na mapanga kwenye miguu yake yote miwili na mumewe baada ya kupoteza simu ndogo (Kiswaswadu) yenye thamani ya Tsh. 24,000. Josephine anasema wakiwa kwenye sherehe za ngoma za jando na unyago...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…