mwanamke

  1. JamiiForums Tanzania Wanaume tujadiliane; nini faida za kulala upande wa kulia wa mwanamke?

    Watu makini, karibuni sana kwa mjadala.
  2. JamiiForums Tanzania Natafuta mwanamke Mtu Mzima kuanzia miaka 50 had 70

    Ninatafuta Mwanamke Mtu mzima wa kuwa naye Rafiki na kushauriana mambo mbali mbali ya Maisha. Mimi n kijana wa Miaka 40, Mrefu, Mweusi Mcheshi. Nipo Dar es salaam Tabata. Nitafute kwa kwa 0693 296 809
  3. JamiiForums Tanzania Wanawake 7 kumtaka mwanaume mmoja. Unyenyekevu na utiifu vyahusishwa katika ndoa

    Hakuna mwanaume mkali mbele ya mwanamke mnyenyekevu na mtiifu. Kuna sababu nyingi zinazo pelekea wanawake kutoolewa na kuongezeka kwa idadi ya ndoa zinazo vunjika. Katika uislamu lengo la ndoa sio kutafuta utajiri wala kusaidiana maisha, lengo la ndoa katika uislamu ni kupata utulivu na familia...
  4. JamiiForums Tanzania Kuna mwanamke ni forex trader namtafuta aniombe radhi

    Habari Wanajamii. Kuna siku moja isiokumbukwa Jina nikiwa kwenye mishe mishe zangu za utafutaji nilikwenda Kariakoo kununua material za kutengeneza maasai sendo, baada ya kumaliza manunuzi yangu nikapanda mwendo Kasi pale gerezani kuelekea zangu kivukoni nia ni kurudi home kurudisha material...
  5. JamiiForums Tanzania Bi Maunda Plantan ndiye mwanamke wa kwanza kutangaza radioni

    BI. MAUNDA PLANTAN NDIYE MWANAMKE WA KWANZA KUTANGAZA SAUTI YA DAR ES SALAAM Bi. Khadija Said ni mama yangu nafungua macho namuona akiishi Mtaa wa Narung'ombe na huku Swahili na huku Sikukuu na katikati ni Mtaa wa Gogo. Mtaa wa Gogo kulikuwa na nyumba yetu halikadhalika Mtaa wa Swahili na Mtaa...
  6. JamiiForums Tanzania Naombeni mbinu za kumkamata huyu mwanamke kwa furaha ya familia yangu

    Ndugu wadau, ndugu wana jf. Majuzi hapa kijana mwenzenu nilikuwa nimelala na familia yangu kwenye usiku wa saa saba hivi nikapigiwa simu na namba ngeni, kwa kuwa nilikuwa nimezidiwa na usingizi sikuweza kuisikia wala kuipokea ila shemeji yenu aliisikia ikaita, alichofanya kwa ujinga wake...
  7. JamiiForums Tanzania Nimeamini katika dunia hii hakuna Mwanamke mbaya

    Mwaka juzi kuna mwanamke ambaye tulikutana naye kwenye sherehe, Mwanamke huyo aliniomba namba zangu za simu nilimpa. Tukawa tuna chat naye kawaida tu. Siku moja tu akaniambia ananipenda. Nikamuambia nitamjibu. Muda ambao nilikaa kimya bila kuongea naye nilikuwa na fikiria na kujaribu kumpa...
  8. JamiiForums Tanzania Mwanamke akijua wewe ndiyo wake wa maisha, hakupi papuchi. Mwenye hela barafu ya shida za moto

    Habari, Mwanake anayekupenda, si rahisi kukupa mali yake uichakate. Anakuweka bench, sababu anajua utamchakata maisha yake yote. Ukikata tamaa utamkosa. Anakuweka kwenye vipimo vya kila aina hadi kubusiana na wanaume wenzako mbele yake. Ukikata tamaa ndo basi. Unashangaa anakuja jamaa na hela...
  9. JamiiForums Tanzania Huyu Mwanamke akipiga tu simu kuna jambo analitaka

    Inasikisitisa sana. Uyu Mwanamke anajua nampenda sana. Akija dukani kwangu atachukua nguo na viatu kadhaa alafu atapotea kama wiki mbili. Akija piga tena simu anataka kitu au pesa. Nikimsalimia tu ataomba na 20,000 ya vocha nikimsalimia tu anaomba kitimoto mimi kwanini sipati msichana mwenye...
  10. JamiiForums Tanzania Marekani ni baba wa demokrasai na haki Dunia ila ni kwanini hawajawahi kumpa mwanamke nafasi ya kuwa Rais?

    Hapo vip! Binafsi nimekuwa nikijiuliza maswali mengi sana dhidi ya Marekani kujinasibu Duniani ya kwamba ni Baba wa Demokrasia na haki ila haijawahi kutawaliwa na mwanamke hata nafasi ya makamu wa rais ni lulu kwa mwanamke. Je, kuna siri au sababu gani wanayoijua hawa wazungu... NB: Tukumbuke...
  11. N

    JamiiForums Tanzania Wadau mnazijua Dalili za mwanamke ambaye hakupendi?

    Katika MAHUSIANO tunayoanzisha yapo yakweli na yauongo baina ya pande zote mbili Yani MAPENZI yanakuwa na maslahi ya upande mmoja Yani kwa ufupi tunaweza kusema ni utapeli wa MAPENZI. Baadhi ya wataalamu wa Mambo wameainisha Dalili za mwanamke asiyekupenda Kama hizi 1. Nivigumu kukutambulisha...
  12. JamiiForums Tanzania Idadi ya Nchi zinazoongozwa na Rais mwanamke Africa

    Ninaomba kupatiwa Idadi ya nchi Za africa zinazoongozwa na Mara is wanawake.
  13. JamiiForums Tanzania Kwa mara ya kwanza nimempata mwanamke asiyeomba pesa

    Habari! Nimempata binti kwakweli haombi Hela na ukimpa pesa anauliza ya nini. Nilichojifinza ni kwamba hawa wadada wanaoomba pesa hovyo ni hali ngumu tu ya maisha ndio inawafanya wakose ustaarabu. Wadada mkizaliwa katika familia za kimaskini tafadhali msitumie miili yenu kama chambo ya...
  14. JamiiForums Tanzania Inakuwaje Mwanamke Aliyeolewa na Anasali Makanisa ya Kiroho na Kinabii Anaonekana na Mume wa Mtu Lodge

    Nimemsikia mtu mmoja hapa Mawasiliano daladala terminal akiongea kwenye simu na mwenzake kuwa kuna wawili hao wameonekana mitaa yenye utata na huku wakitokea madhehebu anayoabudu shuhuda, nguvu ya ya asili inaweza kuwa na influence ya kiasi hicho mpaka Mungu asahaulike!?
  15. JamiiForums Tanzania Mwanamke huthaminiwa na Mwanaume Kwa Mambo haya

    Wanaume huwa tunawathamini wanawake ambao huonesha kufurahishwa na hata yale mambo madogo tunayo wafanyia,Kwa kufanya hivyo huwa tunawapa thamani ya juu na kuzidi kuwapenda,chukulia mwanaume amekuletea kazawadi kadogo kutokana na uwezo wake au kutokana na choice yake ukaonyesha kufurahishwa nayo...
  16. JamiiForums Tanzania SoC02 Mama yangu ni mwanamke jasiri...

    MAMA YANGU NI MWANAMKE JASIRI Naitwa Moza Nilizaliwa Migato iliyokuwa wilaya ya Bariadi Mkoa wa Shinyanga, Ambayo Hivi Sasa Ipo wilaya ya Itilima Mkoa wa simiyu. Mimi Ni mtoto wa sita (6) Kati ya watoto (12) aliobahatika kupata mama yangu, Ambapo Kati ya hao wanane (8) ndio wako hai huku wanne...
  17. JamiiForums Tanzania Kwa Tanzania; Kama Mwanamke hajawahi fika Ukanda wa Pwani ni hakika Hajui Kupika chakula kitamu

    Kwema Wakuu! Kuna watu watabisha Kwa ubishi wao tuu lakini kimsingi na kitaalumuna unapozungumzia mapishi Kwa nchi yetu basi hapo utakuwa unazungumzia ukanda wa Pwani. Kama unaishi maisha ya kawaida Kurudi ufukara na hujawahi kuishi Maeneo ya Pwani na hapa nazungumzia DAR es salaam, Pwani...
  18. JamiiForums Tanzania Ukitaka amani katika ndoa, oa mwanamke Muislamu mbadilishe kuwa Mkristu

    Peace be upon you all, Wengi watasema tabia haihusiani na dini, well sio kweli tabia inajengwa kua njema au mbaya na mazingira ya mtu na hasa imani aliyo lelewa kwayo. Kuna msemo "Charity begins at home" Mimi ni Mkristu na kwa habari ya malezi ya heshima na adabu nikiri wazi wenzetu Waislamu...
  19. JamiiForums Tanzania Jela miaka 7 kwa kumuua mwanaume bila kukusudia, alimkuta amesimama na mtalaka wake

    Mahakama Kuu Kanda ya Morogoro imemhukumu kifungo cha miaka saba jela Donati Phabian baada ya kupatikana na hatia ya kumuua bila kukusudia Alfred Damas kwa madai ya kumkuta akizungumza na mtalaka. Phabian alifanya kitendo hicho baada ya kuwakuta wawili hao barabarani katika Kijiji cha Lugangwa...
  20. JamiiForums Tanzania Uvumbuzi wa kihistoria wampatia tuzo Mwanamke wa Kashmir

    SRINAGAR: NASIRA Akhter, mwanamke Mvumbuzi wa Kashmiri,mwaka huu alikuwa ni miongoni mwa wanawake 29, walionyakua tuzo ya kifahari ya Nari Shakti Puraskar, iliyokabidhiwa wakati wa kilele cha siku ya wanawake duniani na Rais wa India Ram Nath Kovind. Rais Ram Nath Kovind alimkabidhi Akhter...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…