Huyu Mwanamke akipiga tu simu kuna jambo analitaka

Huyu Mwanamke akipiga tu simu kuna jambo analitaka

Guru Guja

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2019
Posts
217
Reaction score
285
Inasikisitisa sana. Uyu Mwanamke anajua nampenda sana. Akija dukani kwangu atachukua nguo na viatu kadhaa alafu atapotea kama wiki mbili.

Akija piga tena simu anataka kitu au pesa. Nikimsalimia tu ataomba na 20,000 ya vocha nikimsalimia tu anaomba kitimoto mimi kwanini sipati msichana mwenye mapezi nami nikafuraia mapezi?

Inaumiza sana haya maisha mtu unawaza kutafutaa pesa na unawaza tena kutumia au mapezi
 
Imaaikisitisa sana. Uyu demu anajuwa namupenda sana. Akija dukani kanhu atachukuwa guo na fiatu kazaa alafu atapotea kama wiki bili.

Akija piga yena simu anatuaka kitu au pesa.nikimusalimia tu ataoba na 20,000 ya vocha nikimslimia tu anaoba kitimoyo mimi kwanni sipat musicjana mwenye mapezi nami nikafuraia mapezi?

Inaumiza sana aya maisa myu unawaza kutafutaa pesa na unawaza tena kuyumia au mapezi
Hiyo simu anayo pika inakuwa inaivaa? Anaweka pilipili?
 
Kwani anakulazimisha au anakuomba? Kama anakuomba unaruhusiwa kumkatalia
 
Mkuu hapa demu gani unamzungumzia yule mke wa mtu au anaetoa harufu ukiingiza uume cha ajabu kule umeandika vizuri huku umekuwa mkongo jf raha sana
 
Ukimupa anapotea jumula,anarudi tena unamupa...huo ni uzembe wako amejua unamupenda sana
 
Huyu mwanamke umempatako wapi? Akichukuwamo viatu na yeye anakupamo nini mura?

Usiwe bombonya! Acha hiyo kitu mwetu!
 
Uzembe wako huo, wewe ulikatiza Hyat reggency ukasikia harufu ya mapochopocho ukaingia...sasa unaletewa bili unamlilia nani wakati ukishuka tu hapo bondeni kwa Mama lishe ungepiga wali Maharage wako wa buku na maji kubwa (maji kwenye bilauri kubwa) maisha yaendelee.

Huo moto uliouwasha mwenyewe ota mwenyewe.
 
Inasikisitisa sana. Uyu Mwanamke anajuwa namupenda sana. Akija dukani kangu atachukuwa guo na viatu kadhaa alafu atapotea kama wiki mbili.

Akija piga tena simu anataka kitu au pesa. Nikimusalimia tu ataomba na 20,000 ya vocha nikimsalimia tu anaomba kitimoto mimi kwanni sipat msichana mwenye mapezi nami nikafuraia mapezi?

Inaumiza sana haya maisha mtu unawaza kutafutaa pesa na unawaza tena kutumia au mapezi
Mapezi=mapenzi
guo=nguo
inasikisitisa=inasikitisha
namupenda=nampenda
 
Back
Top Bottom