mwana fa

Hamis Mwinjuma, also known as Mwana FA (born in Tanga), is a Tanzanian Musician, board member of the country's National Arts Council (BASATA), and a politician presently serving as the Chama Cha Mapinduzi's Member of Parliament for Muheza constituency since November 2020.

View More On Wikipedia.org
  1. Melubo Letema

    JamiiForums Tanzania Naibu Waziri wa Michezo, Hamis Mwana FA, tunaomba Ufuatilie Kamati ya Olimpiki Tanzania(TOC) ni chombo kinachodidimiza Riadha Tanzania

    RAIS NA KATIBU MKUU WA KAMATI YA OLIMPIKI TANZANIA WAMEONGOZA TOC TANGU 1/1/2002, HIYO NI ZAIDI YA MIAKA 21. Katibu Mkuu huyo na familia yake wanamiliki Shule iliyopo Mkuza Kibaha iliyopewa jina la FILBERT BAYI INTERNATIONAL SCHOOLS, anapanga shughuli zote za TOC zinazofadhiliwa na...
  2. Lupweko

    JamiiForums Tanzania Tujikumbushe: Mwana FA aiombea Yanga nafasi kucheza Super League, Yanga yalalamika kutoalikwa mkutano wa CAF Arusha

  3. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Huenda Khamis Mwinjuma (Mwana FA) ndiyo akawa Naibu Waziri wa ovyo wa Wizara aliyoko

    "Ni kweli tuna Mechi ngumu na muhimu dhidi ya Algeria ila tumeamua kutotangaza Maandalizi yake ili kutowapa Presha Wachezaji kutoka kwa Mashabiki na Wanamichezo. Pia nichukue nafasi hii kuwataka Watanzania wenye kujua waliko Waganga wa Kienyeji wazuri wakawaambie watusaidie ili Taifa Stars...
  4. Ricky Blair

    JamiiForums Tanzania Lady Jay Dee na Mwana FA wanapendezana kuwa wapenzi

    Kwanini nadhani Mwana FA na Lady Jay Dee wanapendana kimapenzi ingawa sijawahi kusikia official in the past Km hawa watu wamewahi kudate? Nyie mnaonaje? Au ipo kichwani kwangu tu? Mke wa Mwana FA nisamehe.
  5. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Naibu Waziri Mwana FA umekubali Kuvaa Jezi ya Yanga SC ili Mstaafu Mshawishi mwana Yanga SC akulinde kwa Mama usitumbuliwe Uwaziri?

    Kuna Mtu anakujua ndani nje aliwahi kuniambia kuwa Sifa yako Kuu ni kuwa Mnafiki na mwepesi Kununuliwa na Kusaliti nikawa namkatalia ila kwa Upuuzi ulioufanya leo kwa Kuvalia Jezi ya Yanga SC huku ukijijua Wewe ni mwana Simba SC lia lia nimemuamini huyo Mtu. Poleni ila leo nina Furaha isiyoelezeka.
  6. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Baada ya Yanga SC kimya kimya Kumuomba Waziri Mwana FA akawaombee CAF nao Washiriki CAF Super Cup haya ndiyo majibu waliyopewa

    "Yaani Watu wenyewe ndiyo Kwanza bado tu wanademadema huko CAFCC na kuwa washamba kufurahishwa kumaliza kundi halafu wanataka mwaka huu huu nao wawemo katika CAF Super Cup ya Mwezi November 2023? Kawaambie kwa mwaka huu tumeiweka Simba SC baada ya mafanikio yake ya mfululizo na pia ndiyo timu...
  7. sinza pazuri

    JamiiForums Tanzania Tuzo za TMA chini ya Mwana FA zimezidi kuwa za hovyo

    Wengine walitegemea baada ya kupata waziri anaetokea kwenye muziki basi kuna mambo walau tutaanza kupiga hatua. Kinyume chake tunazidi kudidimia, Mwana FA kashindwa kusimamia tuzo. Ni vurugu hazieleweki. Ni heri muwape agency wazisimamie wapeni hata benchmark. FA na timu yako mnatia aibu.
  8. M

    JamiiForums Tanzania Mwana FA jishushe kidogo unapokuwa na bosi wako

    Ni ukweli usiopingika jina la MWANA FA ni kubwa sana kutokana na kupata mafanikio katika tasnia ya Muziki na kuwa miongoni mwa Magwiji wa Bongo Flavour. Pamoja na umaarufu wake lakini ni Kijana ambaye kichwa chake kiko vema sana ndio maana hata ngazi kuu za Maamuzi zimemuona . Hakika anafaa...
  9. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Mwana FA mgeni rasmi Simba Vs Vipers, mchezo wa CAF Champions League

    Naibu Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Hamis Mwinjuma (Mwana FA) anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika mchezo wa klabu bingwa Afrika kati ya Simba Vs Vipers SC ya Uganda mchezo utakaochezwa Jumanne Machi 7, 2023 katika Uwanja wa Mkapa, Dar es Salaam.
  10. Black Butterfly

    JamiiForums Tanzania Majukumu yanayomsubiri Mwana FA Wizara ya Sanaa

    Siku moja baada ya kuapishwa kuwa Naibu Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Hamis Mwinjuma ‘Mwana FA’, wadau wametaja mambo yanayomkabili ikiwamo yale aliyokuwa akiyapigania bungeni. Miongoni mwa mambo ambayo Mwinjuma ambaye pia ni mbunge wa Muheza aliyokuwa akiyapigania bungeni ni suala...
  11. D

    JamiiForums Tanzania Mwana FA: Waziri Pekee kwenye Baraza la mawaziri asiye na Degree

    Mwana FA anaweza Kuingia kwenye Historia ya aina yake, kwanza kwa Kusoma Masters bila kuwa na Degree lakini pia Kuwa waziri asiye na Degree katika baraza la Mawaziri Hivi ilikuaje akasoma masters bila kuwa na Degree, inawezekana? hii ndiyo CV yake kwa mujibu wa tovuti Rasmi ya Bunge Education...
  12. sinza pazuri

    JamiiForums Tanzania Mwana FA atakuwa Naibu Waziri mbovu kuwahi kutokea Tanzania. Hatatoa msaada kwa wasanii zaidi ya kuwagawa

    Huyu amepewa uwaziri na Mama Samia naona watu wengi wameipokea hii habari kama ni habari njema kwenye michezo sanaa na burudani. Kwa tunaomjua Mwana FA hapa hakuna kitu kipya atafanya kusaidia wasanii na wanamichezo. Huyu i mbinafsi, ana roho mbaya, anaringa ile kuringa sio kitoto, ana dharau...
  13. T

    JamiiForums Tanzania Rais Samia afanya uteuzi mpya na mabadiliko ya viongozi, MwanaFA ateuliwa kuwa Naibu Waziri

    Pia, soma: Rais Samia Suluhu Hassan afanya uteuzi wake wa kwanza Ikulu. Gerson Msigwa atolewa Ikulu, Dotto James ahamishwa. TPA, TCRA na TRA zapata wakuu wapya
  14. J

    JamiiForums Tanzania Hamis Mwinjuma(Mwana FA) akutana na Wakuu wa Idara Muheza

    Mbunge wa Muheza, Hamis Mwinjuma (MwanaFA) amekutana na Wakuu wote wa Idara na vitengo ndani ya Halmashauri ya wilaya ya Muheza katika kikao alichokiitisha kwa wilayani humo. Lengo kuu la kikao ilikua ni pamoja na kuweka mikakati ya pamoja na kujadili changamoto zinazojitokeza kwenye Majukumu...
  15. aka2030

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Muheza, Mwana FA alipataje Master's Degree bila kuwa na Bachelor degree?

    Inashangaza sana hii
  16. barcelonista

    JamiiForums Tanzania Jay Mo vs Mwana FA: Nani alikuwa hatari zaidi?

    Jay Mo, Ulimwengu ndio Mama, Mawazo ya Jay Mo Album. Na hits kibao (single) Featuring za kutosha, Remix za kutosha. Mwana FA, Mwanafalsafa, Unanitega Album. Na hits kibao (single) featuring za kutosha, Remix nyingi pia. Ok, ok at their peaks kati ya JAY MO Na MWANA FA nani alikuwa hatari...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Mwana FA Vs Late Ngwear yupi mkali, au alikuwa mkali?

    Bila porojo nyingi, nani alikuwa mkali katika sekta ya bongo fleva, najua mwana FA aliingia kitambo kwa game.
  18. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Muheza, Hamisi Mwinjuma apata ajali Morogoro

    Ni Mbunge wa Muheza, Hamisi Mwinjuma ambaye ni mkazi wa Upanga Dar es Salaam. Inasemekana yuko katika hali nzuri ===== MBUNGE wa Muheza, Hamis Mwijuma maarufu kwa jina la Mwana FA (CCM) amepata ajali usiku huu Agosti 30 katika eneo la Mkambarani mkoani Morogoro baada ya gari alilokuwa...
Back
Top Bottom