mwana fa

Hamis Mwinjuma, also known as Mwana FA (born in Tanga), is a Tanzanian Musician, board member of the country's National Arts Council (BASATA), and a politician presently serving as the Chama Cha Mapinduzi's Member of Parliament for Muheza constituency since November 2020.

View More On Wikipedia.org
  1. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Mwana FA: Wachambuzi wa Soka kupelekwa kozi ili kukidhi vigezo kukaa kwenye vyombo vya Habari kuchambua

    Serikali imesema bado ina dhamira ya kuhakikisha inatekeleza mpango wa kuwapa mafunzo (kozi) wachambuzi wa michezo kabla ya kwenda kufanya kazi ya uchambuzi kwenye vyombo vya habari kwa mujibu wa kanuni za michezo kama zinavyotaka. Hayo yameelezwa tarehe 05 Februari, 2025 bungeni Jijini Dodoma...
  2. Superbug

    JamiiForums Tanzania AY na Mwana FA unajua kwanini walitengana? Soma hapa.

    Mwana FA na AY waligombana baada ya FA kuajiriwa na kitengo idara pendwa ya jengo la mwewe. AY akamuona huyu tayari kashakula shavu ukudani kwa wakuda. Alamsiki.
  3. Mi mi

    JamiiForums Tanzania Alikufa kwa ngoma

    Alikufa kwa ngoma.
  4. ukwaju_wa_ kitambo

    JamiiForums Tanzania Mwana FA ft. Professor Jay - Jukumu Letu

    MWANA FT. PROFESSOR JAY. SONG. JUKUMU LETU. VERSE. 1. (MWANA FA & PROFESOR JAY) Professor jay: Kilio la mgambo limelia kote nchini kwa wote Yaani mjini na vijijini/ Tanzania 🇹🇿 imegubikwa na wimbi la Umasikini /.. Mwana Fa: Jukumu la kila mmoja kuchangia tufanye nini? Professor jay: Serikali...
  5. ukwaju_wa_ kitambo

    JamiiForums Tanzania Mwana FA - Nazeeka sasa

    MWANA FA ( SONG - NAZEEKA ) Wote bado wana fuata mi ni kama mdundiko/ hata ujifiche wapi sauti itakufuata ulipo/ busara na maumivu katikati ya kauli zangu/ mimi ni kaka mkubwa jamaa msibishane wadogo zangu/ nipo juu kwa sababu siogopi kuruka/ siogopi kuanguka/ siogopi vidonda wala hakuna...
  6. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Mwana FA: Ushindi wa Taifa Stars ni maalum kwa Rais Dkt. Samia Suluhu

    Wakuu mmesikia huko? Naibu Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Hamis Mwinjuma (Mwana FA) amesema ushindi wa Taifa Stars wa bao 2-0 dhidi ya Ethiopia ni maalum kwa Rais Dkt. Samia
  7. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mwana FA: Serikali Itasaidia Kutafuta Wadhamini Michuano ya Bahati Ndingo CUP

    Naibu Waziri Wa Sanaa Utamaduni na Michezo Mhe. Hamisi Mwinjuma (Mwana FA) amesema serikali kupitia Wizara yao itasaidia kutafuta wadhamini kwenye michuano ya Bahati Ndingo CUP 2024, iliyoanzishwa na Mbunge wa Jimbo la Mbarali, ili kuongeza zawadi Kwa washindi kwakuwa michezo ni ajira. Mhe...
  8. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Mwana FA amwakilisha Waziri Abdallah Ulega Kongamano la Utamaduni wa Kiislam mkoani Lindi

    Naibu Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Hamis Mwinjuma, anayejulikana kama Mwana FA, alikuwa mgeni rasmi kwenye Kongamano la Utamaduni wa Kiislamu lililofanyika jana Oktoba 27 mkoani Lindi, akimuwakilisha Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Abdallah Ulega. Kongamano hilo liliandaliwa na Taasisi ya...
  9. Wakusoma 12

    JamiiForums Tanzania Hamis Mwinjuma (Mwana FA) apewe Uwaziri kamili wizara ya Sanaa na michezo

    Umaarufu wake na ushiriki wake kwenye mambo ya Sanaa na michezo ni muda muafaka wa kumpa majukumu rasmi ya wizara. Uzi huu utumike kama rejea. Uzi tayari.
  10. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Mwana FA Aahidi Kuboresha Miundombinu kwa Watoto Wenye Mahitaji Maalum Muheza

    Naibu Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo ambaye pia ni Mbunge wa Muheza, Hamis Mwinjuma (Mwana FA) ameahidi kutatua kero zinazowapata Watoto wenye mahitaji maalum Wilayani Muheza ikiwemo kuboresha miundombinu katika Shule wanazosoma, kuwapatia vifaa vya michezo na kuweka uzio katika Shule...
  11. ukwaju_wa_ kitambo

    JamiiForums Tanzania Mwana FA & AY "Habari Ndiyo Hiyo"

    MWANA FA & AY SONG: HABARI NDIO HIYO.. Ha, ha, habari ndo hiyo Ha, ha, habari ndo hiyo Ha ha habari ndo hiyo Ha ha habari ndo hiyo Ha ha habari ndo hiyo Ha ha habari ndo hiyo Ha ha habari ndo hiyo Ha ha habari ndo hiyo Kaze ha ha ebanae Naskia harufu ya ankara ankara Kwenye track hii ya...
  12. Q

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Samia: Kuna Mbwa Mpumbavu anabwekea maendeleo yetu

    Rais Samia alitoa kauli hiyo wakati alipo muomba Naibu waziri wa Sanaa na michezo maarufu kama Mwana Fa kuimba mashairi wakati akitaka kuanza kuongea na wana Zanzibar katika uzinduzi wa Suluhu Sports Club. katika sehemu aliyoimba Mwana FA ambaye ni Naibu Waziri wa Sanaa na Michezo alisema "mbwa...
  13. Bila bila

    JamiiForums Tanzania Mwana FA: Kuendesha timu Kabla ya kukamilisha taratibu za kisheria za uwekezaji chanzo cha Mgogoro Simba

    Akiongea Jana kwenye hafla ya uzinduzi wa kitabu cha historia ya klabu ya Yanga, Mwana FA ambaye ni Naibu Waziri wa michezo, alisema kitendo cha viongozi na wanachama wa Simba kukubali kuendesha timu Kwa miaka 6 bila kukamilisha mchakato wa mabadiliko ya katiba na sheria za uendeshaji wa timu...
  14. Kaka yake shetani

    JamiiForums Tanzania Kwako Mbunge Hamisi Mwinjuma (Mwana FA) kauli hii inaweza kukosesha Ubunge

    Aliyekuwa msanii wa hiphop, Mwana Fa kwenye mahojiano amesema kwamba kama sio mazishi yeye hawezi kumchangia yeyote harusi yake. "Mimi huwa sichangi harusi ya mtu, kama ni mazishi nitachanga kwa sababu hilo halikupangwa, kifo kinakujaga tu". Mwamba ameongea ukweli hapa! WATU MPAKA WAFE NDIO...
  15. Influenza

    JamiiForums Tanzania Naibu Waziri Michezo, Mwana FA adai Uwanja wa Arusha utachukua watu 30K kwa sababu Kwa Mkapa unaochukua watu 60K kwenye mkoa wa watu wengi haujazwi

    Naibu Waziri wa Saana, Utamaduni na Michezo, Hamis Mwinjuma (Mwana FA) amedai sababu moja wapo ya kujenga Uwanja wa Michezo unaochukua watu 30,000 mkoani Arusha ni kuwa kwa wastani katika mechi watu hawataujaza uwanja huo ukizingatia kuwa Uwanja wa ‘Kwa Mkapa’ unaochukua watu 60,000 ukiwa katika...
  16. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Prof. Jay, AY & Chid Benz vs Fid Q, Mwana FA & Joh Makini vs Ngwair, Langa & King Zillah, Utasikiliza kundi gani hapo?

    Umepewa Playlist tatu hapa zina ngoma za 1. Prof. Jay, AY & Chid Benz 2. Fid Q, Mwana FA & Joh Makini 3. Ngwair, Langa & KingZillah, Utasikiliza kundi gani hapo?
  17. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Bilioni 2.15 za tigo, Mwana Fa huenda alizitumia kuingia kwenye siasa, Ay kawekeza wapi?

    Mwan a Fa na Ay waliwahi kuwashtaki Tigo kutumia nyimbo zao kwenye miito ya kupiga simu, Tigo waliwalipa bilioni 2.15 lakini kiuhalisia huenda walibaki na bilioni 1.5 (kila moja milioni 750), Huenda walimlipa mwanasheria wao Albert Msando milioni 150 na wazee wazito wakapiga mchinjo wa milioni...
  18. Jaji Mfawidhi

    JamiiForums Tanzania Nyimbo za Bongo Fleva kupigwa Airport ni uamuzi wa busara?

    Nyimbo za bongo fleva, kwa asilimia 96% ni matusi, chache ni matusi ya mafumbo lakini mafumbo ya wazi na za mapenzi, zile zenye maadili za kina Afande Sele, na wengine hazipendwi, za matusi zinaimbika na pia zina amsha hisia hivyo hupendwa , ndicho kitu naibu waziri ameona Watanzania wanakitaka...
  19. sinza pazuri

    JamiiForums Tanzania Baba Levo ashangaa Mwana FA kutopenda mafanikio ya Diamond

    Kwa mujibu wa Babalevo ni kitu cha ajabu Mwana Fa ambae amepewa dhamana ya kuongoza wizara ya sanaa kuonyesha chuki za wazi wazi kwa Diamond Platnumz. Wengine walifikiri akishakuwa kiongozi wa serikali chuki zake za miaka yote angezisimamisha kwa muda. Lakini ameshindwa kujizuia. Watu...
  20. Jaji Mfawidhi

    JamiiForums Tanzania Adolf Mkenda, Ndumbaro, Mwana FA wajiuzulu sakata la wanafunzi kuchezeshwa wimbo wa Zuchu 'Honey"

    Baada ya kipande cha video kinachowaonesha watoto wa shule za msingi wakicheza wimbo wa msanii Zuchu ‘Honey’ wilayani Tunduma kusambaa mitandaoni, Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa Adolf Mkenda ameagiza walimu wakuu wawili wa shule hizo wavuliwe vyeo. Waziri wa Maendeleo ya Jamii...
Back
Top Bottom