mwana fa

Hamis Mwinjuma, also known as Mwana FA (born in Tanga), is a Tanzanian Musician, board member of the country's National Arts Council (BASATA), and a politician presently serving as the Chama Cha Mapinduzi's Member of Parliament for Muheza constituency since November 2020.

View More On Wikipedia.org
  1. OMOYOGWANE

    JamiiForums Tanzania Utabiri wangu umetimia Hersi kugombea ubunge mwana FA ajipange hapo kwenye uwaziri

    Wakuu mpo! Mwaka 2024 nilitabiri Hersi atagombea ubunge mwaka 2025 https://www.jamiiforums.com/threads/anguko-la-yanga-limechangiwa-na-eng-hersi-mwenyewe-na-gsm-kuwa-na-tamaa-ya-madaraka-ya-kisiasa-mwaka-2025.2286008/ Leo nmeona taarifa kachukua fomu. Niwaambie tu wajumbe kuwa hata msipo...
  2. ngara23

    JamiiForums Tanzania Nadhani kiongozi wa serikali aliyepiga simu kuzuia geti ni Mwana FA

    Kwa dhati kabisa naomba Rais Samia muondoe huyu naibu waziri kwenye hii nafasi anaitumia vibaya mno Kwa maslahi, mapenzi na ushabiki wake. Hii wizara wamepita mawaziri wengi ila ila huyu naibu waziri amekuwa kiongozi wa kutengeneza migogoro pale TFF Huyu naibu waziri ametoa matamko ya kutia...
  3. D

    JamiiForums Tanzania Mwana FA unapochukizwa na waamuzi CAF na kupendekeza wawe wanateua tu Bingwa, vipi nyie wabunge na madiwani au Rais? NEC si iwateue tu

    Mwana FA unapochukizwa na waamuzi CAF na kupendekeza wawe wanateua tu Bingwa, vipi nyie wabunge na madiwani au Rais? NEC si iwateue tu. Tungeokoa pesa na vifo vya wapinzani.
  4. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mwana FA: Bao la Mama Fainali ni Milioni 30, Serikali kutangaza zawadi kubwa Simba wakitwaa Ubingwa CAF

    Naibu Waziri Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Hamisi Mwinjuma, maarufu Mwana FA amesema kila bao litakalofungwa katika mechi ya leo dhidi ya RS Berkane litapata bonus ya TSh. Milioni 30. "Mama amenituma nije kufikisha ujumbe kuwa Bao la Mama hatua ya Fainali ni Milioni 30 na...
  5. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Mwana FA: Tuisafishe Singeli iwe utambulisho wa Taifa. Wasanii wapate miongozo, sio lawama

    Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Hamis Mwinjuma (Mwana FA) muziki wa singeli unashika na unakubalika maeneo mengi hadi nje ya nchi lakini pia ni muziki ambao asili yake ni Tanzania hivyo ametaka Watanzania kuwaunga mkono Wasanii wa singeli, kuusafisha muziki huo, kuwaelekeza...
  6. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Serikali yafungia mitandao na tovuti 80,171 zisizo na "maadili"

    Serikali kupitia Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imefunga tovuti, akaunti za mitandao ya kijamii, blogu na majukwaa 80,171 yaliyokuwa yakichapisha maudhui yanayokiuka maadili na kuhatarisha afya ya akili ya watoto. Kauli hiyo imetolewa Bungeni jijini Dodoma leo, Jumatatu Mei 5, 2025 na...
  7. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Mwana FA: Fainali ya Simba dhidi ya RS Berkane itachezwa Benjamin Mkapa

    Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na michezo, Hamis Mwinjuma (Mwana FA) amesisitiza kuwa Fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika kati ya Simba SC na RS Berkane itachezwa kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam, Mei 27, 2024 kwa kuwa Serikali imefanya jitihada mbalimbali za...
  8. JOHNGERVAS

    JamiiForums Tanzania Wananchi wa Facebook wamvaa mwana FA baada ya kupost stegi hii

    Kama wananchi wa Facebook wameanza kuwa na Akili hii ukombozi hauko mbali Sasa baada ya hiyo post soma Comment za baadhi ya wadau
  9. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Naibu Waziri wa habari (Mwana FA), avitaka vyombo vya habari kuripoti bila kuhamasisha kususia uchaguzi

    Akizungumza katika mkutano mkuu wa Jukwaa la Wahariri Tanzania, March 04, 2025, Ruvuma. Naibu waziri wa Habari, sanaa na Michezo na utamaduni Hamis Mwinjuma (Mwana FA) amevitaka vyombo vya habari kuripoti kwa usawa kwa vyama vyote kuelekea uchaguzi mkuu 2025. Aidha amevitaka vyombo vya habari...
  10. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mwana FA aanzisha Shule katika Kijiji cha Misufini

    Changamoto ya Wanafunzi wa Kijiji cha Misufini, Kata ya Magoroto, Wilayani Muheza, kutembea umbali wa zaidi ya kilomita 7 kila siku huku wakipanda na kushuka vilima na misitu kufuata shule imekwisha sasa. Hii ni baada ya kukamilika kwa ujenzi wa madarasa ya shule ya msingi karibu na kijiji...
  11. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mwana FA akabidhi Hati 33 za Mashamba kwa Wananchi wa Kata ya Kwabada

    Naibu Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Hamisi Mwinyijuma ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Muheza, Mkoani Tanga, amegawa hati 33 za mashamba ya Kwabada, katika shamba la Lewa, ambalo lilikuwa na mgogoro wa ardhi wa muda mrefu. Mgogoro huo umekuwa ukiendelea kwa takribani miaka 9 na leo...
  12. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tanga: Mwana FA azindua mradi wa Maji Kwatango wenye thamani ya TSh. Milioni 679

    Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Hamisi Mwinjuma maarufu MwanaFA amezindua mradi wa maji katika Kijiji cha Kwatango wenye thamani ya shilingi milioni 679. Akizindua mradi huo kwenye uwanja wa Kijiji cha Kwatango kilichopo kata ya Kwemingoji wilayani Muheza, MwanaFA alisema...
  13. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Mwana FA ampongeza Wallace Karia, asema ni "Kiongozi bora kwenye Historia ya TFF"

    Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Hamis Mwinjuma, maarufu Mwana FA amwaga pongezi kwa Rais wa Shirikisho la Soka nchini (TFF), Wallace Karia "Nimpongeze Wallace Karia kwa kazi kubwa anayoifanya kwenye mpira wa Tanzania, Kitakwimu hakuna viongozi wa TFF waliofanya vizuri kama...
  14. upupu255

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mwana FA afunguka faida za mashindano ya Samia Cup

    Naibu Waziri wa Michezo Hamis Mwinjuma maarufu kama Mwana FA akigusia kwa uchache faida zinazoweza kupatikana kutoka kwenye Samia Celebrities and Companies Cup. Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi...
  15. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Mwana FA: Uwanja unaojengwa Arusha utakuwa na uwezo wa kudumu miaka 130

    Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Hamis Mwinjuma amesema kuwa uwanja wa mpira wa miguu wa Arusha utakapokamilika utakuwa na uwezo wa kudumu miaka 130 huku ukiwa unafanyiwa marekebisho kila baada ya miaka 10. Mwinjuma ameyasema hayo Machi 13, 2025 wakati wa ziara ya kamati ya...
  16. Abraham Lincolnn

    JamiiForums Tanzania Mwana FA, Gerson Msigwa na viongozi husika watueleze zaidi ya Bilioni 30 za ukarabati uwanja wa Mkapa tangu 2023 ziko wapi?

    Ni maajabu ya karne! Tangu mwaka 2023 tulielezwa kwamba ukarabati mkubwa utafanyika katika uwanja wa Mkapa, Tukaelezwa kwamba zimeshatengwa zaidi ya bilioni 30 kwa ajili ya kazi hiyo na uwanja ukatangazwa kufungwa. Ukijaribu kuhoji utaambiwa vyoo vimerekebishwa, Mashabiki na wachezaji wanakuja...
  17. Mindyou

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Samia: Nilipomteua Mwana FA na Nikki wa Pili sikueleweka lakini sasa wananisaidia sana

    Wakuu, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amepongeza utendaji wa Mbunge wa Jimbo la Muheza ambaye pia ni Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Hamisi Mwinjuma (Mwana FA), na Mkuu wa Wilaya ya Kibaha, Nickson John Simon (Nikk wa Pili), akieleza kuwa...
  18. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mwana FA na wana Muheza wamzawadia Rais Samia Ng'ombe 10 na vifurushi vya Hiriki, Mdarasini, Pilipili Manga kwa ajili ya kuogea

    Huko Tanga ni mashindano tu yakutoa zawadi kwa Rais Samia == Mbunge wa Muheza, Hamis Mwinjuma maarufu kama Mwana FA, pamoja na wananchi wa Muheza, wamemzawadia Rais Samia Suluhu Hassan Ng’ombe 10 pamoja na vifurushi vya viungo vya asili vya hiriki, mdarasini na pilipili manga. Kupata taarifa...
  19. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mwana FA asema Gambo ana kila sababu za kuendelea kuwa Mbunge wa Arusha

    Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Hamis Mwinjuma, ameagiza wataalamu wa wizara yake kufanya tathmini ya ujenzi wa uwanja wa mazoezi kwa ajili ya AFCON 2027 katika eneo la FFU, Morombo, Arusha. Ametoa maagizo hayo leo, Februari 15, 2025, wakati wa uzinduzi wa michuano ya...
  20. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mwana FA asema atagombea tena ubunge wa jimbo la Muheza

    Siasa tamu bhana ukipatia, JAmaa amesema atarejea tena Mbunge wa Jimbo la Muheza na Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe Hamis Mwinjuma "Mwana FA" amesema atagombea tena Ubunge wa Jimbo la Muheza katika mwaka huu wa Uchaguzi 2025 ili kuendelea kuwaletea Maendeleo Wananchi wa...
Back
Top Bottom