Lady Jay Dee na Mwana FA wanapendezana kuwa wapenzi

Ricky Blair

JF-Expert Member
Mar 13, 2023
391
873
Kwanini nadhani Mwana FA na Lady Jay Dee wanapendana kimapenzi ingawa sijawahi kusikia official in the past Km hawa watu wamewahi kudate?

Nyie mnaonaje?

Au ipo kichwani kwangu tu?

Mke wa Mwana FA nisamehe.

IMG_5765.jpeg
 
Kwanini nadhani Mwana FA na Lady Jay Dee wanapendana kimapenzi ingawa cjawahi kusikia official in the past Km hawa watu wamewahi kudate? Nyie mnaonaje? Au ipo kichwani kwangu tu? Mke wa Mwana FA nisamehe.
Mapyaaaa hayaaa
 
Unamzungumuzia mwana fa mbunge na naibu waziri au mwana fa yule wa kipindi kile cha ama zao ama zangu?
 
Mkuu, sidhani sema walikua karibu sana. Especially kimuziki.

Walikua na beef hadi wakatungiana nyimbo.

Na majina juu, Mwana Fatuma.
 
Kwa sura wanafanana pia wanaonekan Wana chemistry

Uwezekano wakuwah kua kimahusiano ulikuepo au bado upo
 
Uzuri humu hamna anaejua jinsia ya mwenzake! Imagine hii mada ingeanzishwa na mtoto wa kiume ungekua na lipi la kumshauri?
 
Kwanini nadhani Mwana FA na Lady Jay Dee wanapendana kimapenzi ingawa cjawahi kusikia official in the past Km hawa watu wamewahi kudate? Nyie mnaonaje? Au ipo kichwani kwangu tu? Mke wa Mwana FA nisamehe.

Kwahiyo Dada umekisia tu mambo ya wanawake kama wewe
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom