mwalimu

Julius Kambarage Nyerere (Swahili pronunciation: [ˈdʒuːlius kɑmˈbɑɾɑgɑ ɲɛˈɾɛɾɛ]; 13 April 1922 – 14 October 1999) was a Tanzanian anti-colonial activist, politician, and political theorist. He governed Tanganyika as Prime Minister from 1961 to 1962 and then as President from 1963 to 1964, after which he led its successor state, Tanzania, as President from 1964 to 1985. A founding member of the Tanganyika African National Union (TANU) party—which in 1977 became the Chama Cha Mapinduzi party—he chaired it until 1990. Ideologically an African nationalist and African socialist, he promoted a political philosophy known as Ujamaa.
Born in Butiama, then in the British colony of Tanganyika, Nyerere was the son of a Zanaki chief. After completing his schooling, he studied at Makerere College in Uganda and then Edinburgh University in Scotland. In 1952 he returned to Tanganyika, married, and worked as a teacher. In 1954, he helped form TANU, through which he campaigned for Tanganyikan independence from the British Empire. Influenced by the Indian independence leader Mahatma Gandhi, Nyerere preached non-violent protest to achieve this aim. Elected to the Legislative Council in the 1958–1959 elections, Nyerere then led TANU to victory at the 1960 general election, becoming Prime Minister. Negotiations with the British authorities resulted in Tanganyikan independence in 1961. In 1962, Tanganyika became a republic, with Nyerere elected its first president. His administration pursued decolonisation and the "Africanisation" of the civil service while promoting unity between indigenous Africans and the country's Asian and European minorities. He encouraged the formation of a one-party state and unsuccessfully pursued the Pan-Africanist formation of an East African Federation with Uganda and Kenya. A 1963 mutiny within the army was suppressed with British assistance.
Following the Zanzibar Revolution of 1964, the island of Zanzibar was unified with Tanganyika to form Tanzania. After this, Nyerere placed a growing emphasis on national self-reliance and socialism. Although his socialism differed from that promoted by Marxism–Leninism, Tanzania developed close links with Mao Zedong's Marxist-governed China. In 1967, Nyerere issued the Arusha Declaration which outlined his vision of ujamaa. Banks and other major industries and companies were nationalised; education and healthcare were significantly expanded. Renewed emphasis was placed on agricultural development through the formation of communal farms, although these reforms hampered food production and left areas dependent on food aid. His government provided training and aid to anti-colonialist groups fighting white-minority rule throughout southern Africa and oversaw Tanzania's 1978–1979 war with Uganda which resulted in the overthrow of Ugandan President Idi Amin. In 1985, Nyerere stood down and was succeeded by Ali Hassan Mwinyi, who reversed many of Nyerere's policies. He remained chair of Chama Cha Mapinduzi until 1990, supporting a transition to a multi-party system, and later served as mediator in attempts to end the Burundian Civil War.
Nyerere was a controversial figure. Across Africa he gained widespread respect as an anti-colonialist and in power received praise for ensuring that, unlike many of its neighbours, Tanzania remained stable and unified in the decades following independence. His construction of the one-party state and use of detention without trial led to accusations of dictatorial governance, while he has also been blamed for economic mismanagement. He is held in deep respect within Tanzania, where he is often referred to by the Swahili honorific Mwalimu ("teacher") and described as the "Father of the Nation".

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania SoC03 Nchi ya kusadikika ambayo kila mwalimu wa kitanzania anaitamani

    "Baba Wande amka unachelewa kazini" ilisikika sauti ya Mke wa mwalimu Matinyi ambaye ni mwalimu wa somo la hisabati katika shule ya sekondari MAPWE. Kwa haraka mwalimu Matinyi aliangalia saa yake na kugundua kuwa ni saa kumi na moja na dakika kumi alfajiri,alikumbuka kuwa yuko zamu kwa wiki...
  2. JamiiForums Tanzania Barua ya wazi kwa Waziri wa Afya Ummy Mwalimu uliyekurupuka kuhusu Bima ya Afya

    Ummy mwalimu. Nianze kwa masikitiko makubwa ya kile kinachoendelea kwenye mahospitali, vituo vya afya na zahanati imma na binafsi. Ummy (MB) na waziri umepewa dhamana lakini hujui msuguano uliosababisha. Wachangiaji na familia zetu typo kwenye mkwamo tusiostahili. Huduma ya afya Kwa kadi za...
  3. JamiiForums Tanzania Exclusive: Developing Story ya Mwanafunzi aliyeua Mwalimu ( Patron ) Shule ya Kiislamu ya QIBLATEIN Kawe

    Naomba kabla ya yote nianze kwa Kutoa Shukran kwa Mmoja wa Wanafunzi wa Shule ya Kiislamu ya QIBLATEIN Kawe ( ambaye kwa Kumlinda namhifadhi Jina ) ambaye alishuhudia Tukio zima la Mwanafunzi Mwenzao ( anayeshikiliwa na Polisi sasa ) aitwae Mohammed Jabir Kumuua Mwalimu ( Patron ) Marehemu...
  4. JamiiForums Tanzania Kumbukizi :Mwanafunzi wa Shule ya Kikatoliki amuua mwalimu kwa kumchoma kisu darasani.

    Moja kwa moja.. Mwalimu katika shule ya sekondari ya binafsi katika mji wa Ufaransa wa Saint-Jean-de-Luz karibu na Biarritz ameuawa kwa kuchomwa kisu na mwanafunzi siku ya Jumatano alipokuwa akifundisha darasani. Mshukiwa wa shambulio hilo, mwenye umri wa miaka 16, alikamatwa na kuwekwa chini...
  5. JamiiForums Tanzania Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu ataka hospitali nyingine ziige kilichofanywa na Taasisi ya MOI

    Waziri wa Afya Ummy Mwalimu ametaka taasisi nyingine kuiga mfano wa Taasisi ya Tiba ya Mifupa Muhimbili (MOI) wa kuanza kuwapigia wagonjwa simu ili kuwajulia hali. Waziri Ummy amesema hayo kupitia ukurasa wake wa twitter Julai 20, 2023 akiwapongeza MOI kwa kuanzisha utaratibu wa kuwapigia simu...
  6. JamiiForums Tanzania Serikali yampa ajira Mwanamke anayekumbatia Watoto njiti hospitali ya Amana

    Serikali kupitia Wizara ya Afya, imetoa ajira ya mkataba kwa Mariam Mwakabungu, mwanamke anayejitolea kukumbatia watoto niti waliotelekezwa katika Hosptali ya rufaa ya mkoa Amana jijini Dares Salaam. Ajira hiyo imekuja siku moja tangu Rais Samia Suluhu Hassan kutuma salamu za pongezi...
  7. D

    JamiiForums Tanzania Anayewadhalilisha Walimu ni matendo ya baadhi ya walimu wao wenyewe

    Itoshe kusema kada ya walimu imeingiliwa na mamluki! Zamani ilikuwa rahisi sana kuwachambua walimu kwenye kundi la watu pasipo hata kujitambulisha, lakini sasa hivi kwenye kikundi cha watu mtaani wakichanganyika wa kike na kiume huwezi kutofauti uvaaji wa mwalimu na muimba singeli, wote...
  8. JamiiForums Tanzania Kilimanjaro: Mwalimu ampiga Mwanafunzi hadi kifo

    Huko Kilimanjaro Mwalimu amempiga mwanafunzi wa darasa la kwanza mwenye umri wa miaka saba mpaka kifo kwa kosa la kupiga kelele darasan 🥲 Kwenye picha huyo ni Mama yake Mzazi wa huyo mwanafunzi ameeleza kwamba Mwalimu Alimpiga sana mwanafunzi huyo mpaka alijikojolea baada ya hali kuwa mbaya ya...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Unahitaji vitu VIWILI tu kutambua kuwa Hayati Magufuli na Mwalimu Nyerere ndio walikuwa marais bora kuwahi kutokea katika nchi yetu

    Habari jf , 1.Una hitaji uwe na akili kubwa sana -High IQ kama mfano wa Tundu lissu kutambua JPM alikuwa kiongozi bora na aliyeipenda Tanzania kutoka moyoni . Akili kubwa siku zote huielewa akili kubwa ,Mbali na kwamba TL katika nyakati tofauti aliwaza inawezekana JPM na Serikali yake...
  10. JamiiForums Tanzania Mbeya: Mwalimu wa Shule ya Loleza Girls afunga Bweni na kuwalaza Darasani Wanafunzi

    Katika hali isiyo ya kawaida wanafunzi wa Kidato cha sita katika Shule ya Sekondari ya wasichana Loleza (Kombi ya HGL) usiku wa kuamkia Julai 11, 2023 walilazimika kulala darasani ikidaiwa kuwa ni baada ya mwalimu wa bwenini kuondoka na funguo za bwenini kwao. Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Juma Homera...
  11. JamiiForums Tanzania Mzee Butiku aigeuza Mwalimu Nyerere Foundation kutoka kuwa taasisi kubwa ya kimataifa mpaka level ya kikao Cha ukoo wa Nyerere. Ikabidhiwe UDSM

    Mwalimu Nyerere Foundation wakati inaanzishwa, ilikuwa na malengo makubwa sana. Ilivutia wafadhili, ilivutia serikali kuweka fedha. Na Kila mtu alitarajia kwamba itakuwa ndio kisima Cha mawazo ya kisiasa, kiuchumi, kijamii, kidiplomasia kwa Kila namna. Mwanzoni ilianza vizuri, kabla haijawekwa...
  12. JamiiForums Tanzania Ummy: Madaktari Bingwa kufanya kazi ya Kliniki binafsi katika Hospitali za umma baada ya saa za kazi sio jipya

    Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu amesema suala la Madaktari Bingwa kufanya kazi ya Kliniki binafsi katika Hospitali za umma baada ya saa za kazi sio jipya na tayari linafanyika katika Hospitali ya Taifa Muhimbili, JKCI, Ocean Road na Taasisi ya Mifupa MOI ambapo lilianza kutekelezwa zaidi ya...
  13. L

    JamiiForums Tanzania Namshauri Ummy Mwalimu Waziri wa Afya kutengua Kauli ya kuruhusu Clinic binafsi katika hospitali za umma

    Ndugu zangu watanzania, Muda mfupi nimetoka kumsikiliza Waziri wa Afya mh Ummy mwalimu kiongozi mchapa kazi na ambaye siku zote na wakati wote amefanya kazi kubwa Sana na ya kutukuka katika kila Wizara aliyopelekwa na kuaminiwa . Kauli ya Waziri inatoa ruhusa kwa madaktari kuwa na private...
  14. JamiiForums Tanzania Mwalimu anayedaiwa kumbaka Mwanafunzi afutiwa Dhamana

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Mfawidhi wa Wilaya ya Misungwi imemfutia dhamana Mwalimu Mkuu wa shule ya Msingi Kilimo, Paulo Charles (39) aliyetuhumiwa kubaka na kumpa ujauzito mwanafunzi wake ili asiharibu ushahidi upande wa mashitaka. Akimsomea mashitaka mawili kwenye kesi ya makosa ya jinai namba...
  15. JamiiForums Tanzania Ummy Mwalimu: Wataalamu wa afya punguzeni semina, wananchi wapate huduma vituoni

    Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amewataka wataalamu wa afya nchini kupunguza semina ili kuwa na muda zaidi wa kutoa huduma bora za matibabu kwa wananchi. Waziri Ummy Mwalimu ameyasema hayo leo Julai 10, 2023 katika ziara yake Mkoani Simiyu wakati akizungumza na viongozi wa Mkoa huo chini ya Mkuu...
  16. W

    JamiiForums Tanzania Mwalimu mdhalilishaji watoto wa kiume Oysterbay yupo wapi siku hizi?

    Kwa wale walio sali lile kanisa pale Obay na waliofanya mafundisho ya Kommunio ya kwanza na Kipaimara, nadhani mtakuwa mnamkumbuka mwalimu moja wa mafundisho hapo, aliye kuwa ana uliza maswali ya kudhalilisha anapo kufanyia usalihi na wengine walisema wali nyanyaswa kingono naye. Je...
  17. JamiiForums Tanzania Mwalimu Mpwayungu Village aishi milele

    Kwa kazi nzuri iliyotukuka ya kuwatoa watoto wetu ujinga,mwanafunzi wake mmoja huko mikoa ya kusini ameona amkumbuke Kwa njia hii Mwanafunzi huyo ambaye ameajiriwa mwaka huu hapa Katavi wilaya ya Tanganyika ameamua kulitaja jina la mwalimu huyu nguri/nguli katika moja ya maswali yake Mwalimu...
  18. JamiiForums Tanzania Maneno "Enzi za Mwalimu" yanatakiwa kutumika panapostahili

    Baadhi ya watu wanaotumia hayo maneno huwa wameishiwa hoja, au wana nia zao za kibinafsi. Kiufupi watu hawa hupenyeza vioja vyao kwenye legacy ya mwalimu Nyerere ili wapate ili ionekane kwamba wanaenenda kama Nyerere hivyo jamii isiwahofie. Mfano ili kufuta legacy ya mwendazake, "Mradi huu...
  19. D

    JamiiForums Tanzania Kutembea na mfanyakazi wa ndani (house maid) hakuna tofauti na mwalimu kulala na mwanafunzi ni kujizalilisha kabla ya kuzalilika

    Ndugu zangu nawasihi simameni kama wazazi! Unapopoewa dhamana ya kumlinda mtoto wa mtu hakikisha unatimiza majukumu hata kama kuna udhaifu wowote! Mimi enzi nafundisha shule ya kujitolea enzi hizo nimemaliza chuo! Kuna kabinti kalinitamkia waziwazi Ikanahitaji penzi langu! Lakini nilikumbuka...
  20. JamiiForums Tanzania Mwanafunzi aliyepotea kwa siku 35 adai aliondoka Shuleni baada ya kubakwa na Mwalimu

    Mwanafunzi kidato cha tano wa Shule ya Sekondari Panda hill, Esther Noah (18) amesema chanzo cha kutoroka shuleni ni kunyanyaswa kingono na mwalimu wa shule hiyo anayejulikana kwa jina la mwalimu Jimmy.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…