Mwalimu Mpwayungu Village aishi milele

Kilimbatzz

JF-Expert Member
Feb 11, 2023
9,139
14,557
Kwa kazi nzuri iliyotukuka ya kuwatoa watoto wetu ujinga,mwanafunzi wake mmoja huko mikoa ya kusini ameona amkumbuke Kwa njia hii

Mwanafunzi huyo ambaye ameajiriwa mwaka huu hapa Katavi wilaya ya Tanganyika ameamua kulitaja jina la mwalimu huyu nguri/nguli katika moja ya maswali yake

Mwalimu aheshimiwe popote na kila mtu,
IMG_20230706_070645~2.jpg

Mwalimu ni mungu wa tatu duniani
 
HUYU NI WEWE UMEANDIKA.

HALAFU MWALIMU MZIMA UNA MUANDIKO MBAYA HIVI?

HALAFU NILIJUA WEWE NI MWALIMU WA SEKONDARI KIDGO NKUHESHIMU ILA KUMBE WEWE NI MWALIMU WA PRIMARY



HOVYOOOO
Sio kuwa mwalimu wa primary ndio ana stahil heshima zaid?
Waalimu tuwaheshim guys, wanaish maisha duni sana lakin wana moyo sana kutufundishia watoto wetu
 
Ngoja aje akiwa amefura kama mbogo, kwa hiki kitendo chako tu cha kumuita Mwalimu! Na wakati yeye siku zote huuchukulia huo ualimu kama kazi ya laana!

Alishasema bora aokote makopo barabarani! Ila siyo kufanya kazi ya ualimu!
Aahaaaaa,fani haiwezi Isha Kwa kuikana
 
HUYU NI WEWE UMEANDIKA.

HALAFU MWALIMU MZIMA UNA MUANDIKO MBAYA HIVI?

HALAFU NILIJUA WEWE NI MWALIMU WA SEKONDARI KIDGO NKUHESHIMU ILA KUMBE WEWE NI MWALIMU WA PRIMARY



HOVYOOOO
Kwa elimu yangu naweza fundisha vidudu Hadi vya diploma,ila Kwa sasa nipo shule moja ya Sekondari
 
Back
Top Bottom