mwaka

"Mwaka Moon" is a song by French rapper Kalash featuring Damso and Sfera Ebbasta released in October 2017. The song reached number one on the French Singles Chart.

View More On Wikipedia.org
  1. T

    JamiiForums Tanzania Je, kuna wanafunzi wa mwaka wa pili na watatu wamepata mkopo?

    Wakuu habari Naomba kuuliza kama kuna mwanafunzi yeyote continuous kapata mkopo mpaka sasa maana kwa mujibu wa tangazo la HSLB wanadai kuwa wametoa mkopo kwa wanafunzi wa mwaka wa kwanza hakuna sehemu wanawataja continuous. Lakini vile vile katika tangazo lao wanasema wamefungua dirisha la...
  2. JamiiForums Tanzania Namba hazidanganyi, Mwinyi aliitoa Tanzania kutoka GDP ya dola bilioni 13.5 mwaka 1985 mpaka dola bilioni 5.7 mwaka 1995

    Hizo ndio takwimu zinavyoonesha. Nchi iliporomoka vibaya sana katika miaka hiyo kumi alipokuwa anaongoza rais mstaafu Mwinyi. Alishindwa kufanya makubaliano mazuri ya kiuzalendo na IMF na WB ili uchumi usiporomoke Mwaka 1985 Mwaka 1995
  3. JamiiForums Tanzania Picha: Ally Salum Hapi mkulima bora wa mwaka 2022

  4. J

    JamiiForums Tanzania Shaka: Watanzania watampa Rais Samia tuzo ya heshima mwaka 2025

    SHAKA: WATANZANIA WATAMPA RAIS SAMIA TUZO YA HESHIMA MWAKA 2025 Ampongeza kwa namna anavyochapa kazi bila mbwembwe wala zogo Asisitiza Chama kuridhishwa na juhudi hizo kwani matokeo yanaonekana Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM Itikadi na Uenezi, Shaka Hamdu Shaka amesema...
  5. JamiiForums Tanzania Serikali inapanga kukusanya Tsh. Tril 31.03 na itatumia Tsh. Tril 43.3 mwaka 2023/24

    Serikali ya Tanzania katika mwaka 2023/24, inatarajia kukusanya na kutumia Sh43.3 trilioni ikilinganishwa na makadirio ya Sh41.5 trilioni kwa mwaka 2022/23, ikiwa ni ongezeko la asilimia 4.4. Hayo yamesemwa leo Jumatatu, Novemba 7, 2022 na Waziri wa Fedha na Mipango, Dk Mwigulu Nchemba wakati...
  6. JamiiForums Tanzania Kisa nilicho kutana nacho huu mwaka katika kutafuta ajira

    Jamani, jamani, ofisi zimetulia, majengo ni mazuri yanapendeza na kuvutia, na watu wake wanapendeza ukiwaangalia kwa nje lakini?! Lets go to the point, Mwezi fulani hapa kati kati katika kutafuta sehemu za kujitolea nikaenda ofisi moja hivi sehemu fulani, jamani nilikutana na kaka mmoja...
  7. JamiiForums Tanzania Nitumie dawa gani kutokomeza wadudu warukao na watambaao nisiwaone angalau kwa mwaka 1 ndani ya nyumba

    Wadau ni dawa gani naweza tumia kutomeza wadudu watambaao na warukao ndani ya nyumba. Nataka dawa ambayo nikitumia Mara moja naweza kaa angalau kwa muda mrefu bila kutumia. Sitaki dawa ya kutumia kila siku au kila wiki. Nataka mende,sisimizi,siafu,mbu n.k viwe vitu adimu ndani ya nyumba.
  8. JamiiForums Tanzania UN yautaja Mlima Kilimanjaro kuwa mmoja wa milima itakayopoteza barafu yake mwaka 2050

    Ripoti ya Shirika la Umoja wa Mataifa la Sayansi na Utamaduni (UNESCO) milima mingi Duniani ikiwemo ile ya Afrika itapoteza barafu kwa kuyeyuka kutokana na mabadiliko ya hali ya hewa. Hatua hiyo itafikiwa ikiwa hakutakuwa na jitihada za kulinda mazingira na baadhi ya Milima mikubwa iliyotajwa...
  9. JamiiForums Tanzania Naomba kazi

    Nina umri wa miaka 22 ninaehitimu degree ya biashar dsm chuo cha biashara cbe naomba msaada wa kazii yeyote itayonisaidia kujikimu mwenyew
  10. JamiiForums Tanzania Natarajia Kuoa rasmi mwaka 2027 na nitapenda Members wote wa JamiiForums muhudhurie

    Naomba anzeni sasa Kupanga Kamati ya Harusi yangu ila Matola atakuwa Bodyguard wangu na LIKUD atakuwa Mpishi wa Chakula cha Harusi yangu. Wengine jipangeni Wenyewe.
  11. JamiiForums Tanzania Eng.Hersi ulituahidi wanayanga tutaingia makundi huu mwaka. Tusipoingia hiyo 9/11/2022 naomba ujiuzulu nafasi yako

    Raisi wetu wa klabu pendwa ya kihistoria hapa nchini na Africa mashariki. Yanga ni klabu kubwa yenye historia nzuri na Pana, hata pepe kalle aliwahi kuimba kuhusu ubora wa yanga. Kuwa wa Rais wa klabu kama yanga yenye mashabiki lukuki ndani ya nchi na nje ya nchi si kitu kidogo wala cha mzaha...
  12. JamiiForums Tanzania Mrejesho baada ya kukaa mwaka bila kujihusisha na mapenzi

    Mara ya mwisho kujihusisha na mapenzi ilikuwa mwaka jana na mwezi wa 10 hivi, Nikipiga hesabu inakaribia mwaka Mtu wa mwisho kukutana naye ameolewa na ameshajifungua. Baada ya kukaa mwaka bila show haya ndiyo mabadiliko ambayo nayaona. Kila mwanamke namuona ni mzuri, natamani kila mwanamke na...
  13. JamiiForums Tanzania Bunge laitaka Serikali kuhakikisha wanafunzi wenye sifa na wamekosa mikopo kupokelewa Vyuoni haraka

    Spika wa Bunge Dkt. Tulia Ackson ametoa agizo hilo Leo Novemba 1, 2022 baada ya kuwahoji Wabunge ambao kwa pamoja wamepitisha Azimio la kuitaka Serikali ihakikishe Wanafunzi wenye vigezo wanaendelea na Masomo. Hatua hiyo inakuja baada ya kuwepo taarifa za Wanafunzi wenye vigezo vya kupata...
  14. JamiiForums Tanzania Matokeo ya sensa 2022 yanaonesha kila mwaka Watanzania wanaongezeka watu 1,800,000 kuanzia mwaka 2012

    Sensa ya wayu na makazi ya mwaka 2012 Tanzania ilikuwa na watu 44 milioni ambapo sensa ya mwaka 2022 watanzania wamehesabiwa na kupatikana watu 62 milion. Kwa hesabu hii, inaonyesha 62m ~ 44m = 18m 18,000,000/miaka 10 = 1,800,000 Kwa mantiki hii kila mwaka kuanzia mwaka 2012 hadi 2022...
  15. JamiiForums Tanzania Kufikia mwaka 2110 sisi wote hapa JF tutakuwa tumekufa

    Miaka 70 kuanzia leo yaani 2110. Sisi Sote tutakuwa makaburini pamoja na jamaa zetu na marafiki zetu. Watu tusiowajua wataishi katika majumba na maeneo yetu. MALI zetu zooote zitamilikiwa na watu tusiowajua. Watu hao wala hawatotukumbuka. Hivi ni wangapi kati yetu wanaowakumbuka mababu wa...
  16. JamiiForums Tanzania Uhaba wa chakula mwaka 2023 utakuwa mbaya zaidi kuliko watu wengi wanavyodhani, tujiandae

    Published Oktoba 21, 2022  Najaribu kulizungumzia hili kwa sauti kubwa niwezavyo ili watu wanielewe.Ni kwamba mikakati imeshabuniwa na imeshawekwa ili uhaba wa chakula 2023 na kuendelea uwe mbaya zaidi kuliko wakati wowote katika Historia ya Wanadamu,kwa hiyo ni lazima tujiandae. Kwa wenye...
  17. JamiiForums Tanzania Hafla ya Tuzo za Ballon d'Or 2022 (Oktoba 17, 2022), Benzema ashinda Tuzo ya Ballon d’Or 2022

    Usiku wa leo, kwanzia saa 1:00 usiku kutakuwa na hafla ya ugawaji wa Tuzo za Ballon d'Or. Katika hafla hiyo, kutakuwa na mchezaji bora wa dunia kwa upande wa wanaume na upande wa wanawake. Vilevile, kutakuwa na tuzo ya golikipa bora wa mwaka, mshambuliaji bora wa mwaka na tuzo ya mchezaji bora...
  18. JamiiForums Tanzania Press conference ya Yanga 18. 10. 2022

    Yanga kesho wameitisha press conference ikiwa ni siku ya pili tu baada ya kuvurumishwa kwa mwaka wa 24 mfululizo katika hatua ya mtoano. Tutarajie kusikia yafuatayo: 1. Makubaliano ya pande mbili yamefikiwa 2. Malalamiko ya kutosha kwa muamuzi wa jana kwani wanaamini Arajiga ndio angefaa...
  19. JamiiForums Tanzania Bei ya mahindi kwa mwaka 2022 ni kubwa kuliko 2021

    Kimsingi trend ya bei ya mahindi imeonesha hali isiyo ya kawaida kwa mwaka 2022. Hali tunayoweza kuilalamikia ulaya kutokana na Vita vinanvyoendelea Ulaya mashariki. Kwa kuangalia trend ya bei za gunia la mahindi ni kawaida kwa bei kupanda na kushuka kutokana na utofauti wa vipindi vya mwaka...
  20. JamiiForums Tanzania Kuna mwana CCM atagombea Urais mwaka 2025 dhidi ya Samia Suluhu?

    CCM inasema ina wanachama zaidi ya milioni kumi (10,000,000) nchi nzima. Kati ya hayo mamilioni ya wanachama yupo ambaye anaona Samia Suluhu hatoshi kwenye Urais, hivyo mwaka 2025 atachukua fomu kuchuana naye ndani ya CCM? Au watu wote hao ndani ya CCM wanaona Samia Suluhu amekamilika kwenye...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…