Hafla ya Tuzo za Ballon d'Or 2022 (Oktoba 17, 2022), Benzema ashinda Tuzo ya Ballon d’Or 2022

Greatest Of All Time

JF-Expert Member
Jan 1, 2017
20,721
45,129
Usiku wa leo, kwanzia saa 1:00 usiku kutakuwa na hafla ya ugawaji wa Tuzo za Ballon d'Or. Katika hafla hiyo, kutakuwa na mchezaji bora wa dunia kwa upande wa wanaume na upande wa wanawake.

Vilevile, kutakuwa na tuzo ya golikipa bora wa mwaka, mshambuliaji bora wa mwaka na tuzo ya mchezaji bora chipukizi chini ya miaka 21. Kwa mara ya kwanza tangia mwaka 2005, Lionel Messi hayupo kwenye orodha hiyo.

Pia kutakuwa na tuzo ya timu bora ya mwaka. Hafla hiyo itakuwa mubashara kupitia AzamTv na DStv. Tutakuwa mubashara.

============

Benzema ashinda Tuzo ya Ballon d'Or 2022
Mshambuliaji huyo wa Real Madrid ameshika namba moja akifuatiwa na Sadio Mané (Bayern Munich), Kevin De Bruyne (Manchester City) na Robert Lewandows (Barcelona).

Alexia Putellas (Mchezaji Bora wa Mwaka kwa Wanawake)
Barcelona's Alexia Putellas has won the women's Ballon d'Or for 2022! She retains her title after another sparkling campaign for the Catalan side.

FfS0IERX0AAGbaj.jpg

Alexia.jpg

Alexia
Robert Lewandowski (Mshambuliaji Bora – Tuzo ya Gerd Müller)

Mshambuliaji wa Bayern Munich na Senegal, Sadio Mane ameshinda Tuzo ya Socrates inayotolewa kwa mwanamichezo aliyefanya makubwa katika jamii, Mane akitolewa mifano ya kujenga hospitali na huduma nyingine za kijamii.

Thibaut Courtois – Kipa Bora wa Mwaka, kutoka Real Madrid na Ubelgiji tuzo imeenda kwake.

Man City - Klabu Bora ya Mwaka ikifuatiwa na Liverpool, Real Madrid.

FfS0lvlWABkCxwH.jpg

Figo, Zidane na Ronaldo De Lima
 
Wanaowania tuzo ya mchezaji bora wa dunia ( Ballon d'Or )
  • Trent Alexander Anold
  • Joao Cancelo
  • Karim Benzema
  • Casemiro
  • Luis Diaz
  • Fabinho
  • Foden
  • Erling Haaland
  • Sebastian Heller
  • Joshua Kimmich
  • Robert Lewandowski
  • Riyad Mahrez
  • Kylian Mbappe
  • Luka Modric
  • Christopher Nkunku
  • Sadio Mane
  • Darwin Nunez
  • Cristiano Ronaldo
  • Benardo Silva
  • Son Heung Min
  • Van Dijk
  • Vlahovic
 
Usiku wa leo, kwanzia saa 1:00 usiku kutakuwa na hafla ya ugawaji wa Tuzo za Ballon d'Or. Katika hafla hiyo, kutakuwa na mchezaji bora wa dunia kwa upande wa wanaume na upande wa wanawake.

Vilevile, kutakuwa na tuzo ya golikipa bora wa mwaka, mshambuliaji bora wa mwaka na tuzo ya mchezaji bora chipukizi chini ya miaka 21.

Pia kutakuwa na tuzo ya timu bora ya mwaka. Hafla hiyo itakuwa mubashara kupitia AzamTv na DStv.

Tutakuwa mubashara.
Ya mwaka huu ni Karim Benzema,

Akikosa niko pale Ubungo Kibo, niite mbwa
 
Tuzo ya kipa bora ( Yashin Trophy )
  • Alisson
  • Yassine Bounou
  • Courtois
  • Ederson
  • Lloris
  • Mike Maignan
  • Edouard Mendy
  • Trapp
  • Jan Oblak
  • Manuel Neuer
 
Usiku wa leo, kwanzia saa 1:00 usiku kutakuwa na hafla ya ugawaji wa Tuzo za Ballon d'Or. Katika hafla hiyo, kutakuwa na mchezaji bora wa dunia kwa upande wa wanaume na upande wa wanawake.

Vilevile, kutakuwa na tuzo ya golikipa bora wa mwaka, mshambuliaji bora wa mwaka na tuzo ya mchezaji bora chipukizi chini ya miaka 21.

Kwa mara ya kwanza tangia mwaka 2005, Lionel Messi hayupo kwenye orodha hiyo.

Pia kutakuwa na tuzo ya timu bora ya mwaka. Hafla hiyo itakuwa mubashara kupitia AzamTv na DStv.

Tutakuwa mubashara.
Benzema
 
Mpaka sasa sijaona haya majina kwenye hiyo list:
Manula
Mayele
George Mpole
Phiri
Aziz Ki
Chama

Sijui hao watoa tuzo wanakwama wapi?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom