Kufikia mwaka 2110 sisi wote hapa JF tutakuwa tumekufa

Jaji Mfawidhi

JF-Expert Member
Feb 20, 2016
14,047
20,412
Miaka 70 kuanzia leo yaani 2110. Sisi Sote tutakuwa makaburini
🚼
pamoja na jamaa
πŸ‘¨β€πŸ‘©β€πŸ‘¦β€πŸ‘¦
zetu na marafiki zetu
πŸ‘¨β€πŸ‘¨β€πŸ‘§β€πŸ‘§
. Watu tusiowajua wataishi katika majumba
🏚️
na maeneo yetu.

MALI
πŸš—
zetu zooote zitamilikiwa na watu tusiowajua. Watu hao wala hawatotukumbuka. Hivi ni wangapi kati yetu wanaowakumbuka mababu wa mababu zao?.

Majumba yetu ya Goba na Masaki yatakuwa yanamilikiwa na watu wengine kabisa; Drea house yako uliyozika ndugu yako ili mtu asiuze hilo kaburi litahamishiwa Kimbiji na nyumba itavunjwa kufanuywa night club.

Majumba yetu huku Masaki yatakuwa yamemezwa na bahari kutokana na uharibifu wa mazingira huku maenep ya magomeni na manzese ndio itakuwa beach

Tutabaki kuwa historia
‼️
⁉️
❕
〽️
❗
kwa vizazi vyetu na wakati huo huo watu watatusahau hata majina yetu na maumbile yetu.

Wakati huo tutakuja kugundua jinsi tulivyokuwa wajinga
πŸ’€
na jinsi tulivyojidanganya kutaka kupata kila kitu kwa njia yeyote
❌
♨️
.

Tutaomba angalau tupewe uhai
πŸ•
kwa muda mfupi ili tutubie ikiwa ni pamoja na kutoa sadaka
πŸ’Έ
lakini itakuwa haiwezekani.

Zingatia kuwa, Leo tuna nafasi kutenda wema kwa ajili ya faida yetu wenyewe na wengine. Kitu pekee kitakachobaki milele ni matendo yetu mema katika Dunia hii na maisha baada ya kifo. Muda bado tunao. Fanya matendo mema kabla hujachelewa sana

*Mungu atusaidie katika hili.

Tunamuomba Mwenyezi Mungu atuwezeshe kutenda wema na kupata mwisho mwema.
βœ”οΈ
β˜‘οΈ

--
 
Miaka 70 kuanzia leo yaani 2110. Sisi Sote tutakuwa makaburini
🚼
pamoja na jamaa
πŸ‘¨β€πŸ‘©β€πŸ‘¦β€πŸ‘¦
zetu na marafiki zetu
πŸ‘¨β€πŸ‘¨β€πŸ‘§β€πŸ‘§
. Watu tusiowajua wataishi katika majumba
🏚️
na maeneo yetu.

MALI
πŸš—
zetu zooote zitamilikiwa na watu tusiowajua. Watu hao wala hawatotukumbuka. Hivi ni wangapi Kati yetu wanaowakumbuka mababu wa mababu zao?.

Majumba Yetu ya Goba na Masaki yatakuwa yanamilikiwa na watu wengine kabisa;
Drea house yako uliyozika ndugu yako ili mtu asiuze hilo kabiri litahamishiwa Kimbiji na nyumba itavunjwa kufanuywa NIGHT CLUB.

Tutabaki kuwa historia
‼️
⁉️
❕
〽️
❗
kwa vizazi vyetu na wakati huo huo watu watatusahau hata majina yetu na maumbile yetu.

Wakati huo Tutakuja Kugundua jinsi tulivyokuwa wajinga
πŸ’€
na jinsi tulivyojidanganya kutaka kupata kila kitu kwa njia yeyote
❌
♨️
.

Tutaomba angalau tupewe uhai
πŸ•
kwa muda mfupi ili tutubie ikiwa ni pamoja na kutoa sadaka
πŸ’Έ
lakini itakuwa haiwezekani.

Zingatia kuwa, Leo tuna nafasi kutenda wema kwa ajili ya faida yetu wenyewe na wengine. Kitu pekee kitakachobaki milele ni matendo yetu mema katika Dunia hii na maisha Baada ya kifo. Muda bado tunao. Fanya matendo mema kabla hujachelewa Sana

*Mungu atusaidie katika hili.

Tunamuomba Mwenyezi Mungu atuwezeshe kutenda wema na kupata mwisho mwema
βœ”οΈ
β˜‘οΈ

--
kumekucha kutishana
 
Kwahiyo siku ya Leo umekaa ukawaza hivyo mkuu?

Hauwazi vingine?
Niemamliza kuandika hukumu hapa mahakamani, nimewaza sana vijana na maringo ya mali zao, dhahabu, magari na majumba, nikawaza kesi za mirathi namna warithi wanavyoziponda.
NIKAPATA JIBU, miaka kadhaa ijayo tutakuwa kaburini kama ambavyo sisi tunayaona makaburi na hatujui waliolala humo.
Tena ndio sehemu ya kutolea haja ndogo na kutupa taka:
Watu wamejazana mahakamani wakigombania viwanja vya hekari moja wanauana na kuzikwa kiwanja cha MBILI KWA MBILI.
Maafisa wanagawana viwanja vya miradi hata kabla ya wananchi kufikiwa , wanaandika majina ya watoto wao na watu waliokufa wakithani watakwenda navyo jehanam kumbe wakifa vinagombaniwa hata usiye msalimia leo.
 
MKUU iinamaana unamiaka 70? Duh humu jf unaweza kuna vibabu ndo vingi sasahivi
 
Miaka 70 kuanzia leo yaani 2110. Sisi Sote tutakuwa makaburini
🚼
pamoja na jamaa
πŸ‘¨β€πŸ‘©β€πŸ‘¦β€πŸ‘¦
zetu na marafiki zetu
πŸ‘¨β€πŸ‘¨β€πŸ‘§β€πŸ‘§
. Watu tusiowajua wataishi katika majumba
🏚️
na maeneo yetu.

MALI
πŸš—
zetu zooote zitamilikiwa na watu tusiowajua. Watu hao wala hawatotukumbuka. Hivi ni wangapi kati yetu wanaowakumbuka mababu wa mababu zao?.

Majumba yetu ya Goba na Masaki yatakuwa yanamilikiwa na watu wengine kabisa; Drea house yako uliyozika ndugu yako ili mtu asiuze hilo kaburi litahamishiwa Kimbiji na nyumba itavunjwa kufanuywa night club.

Tutabaki kuwa historia
‼️
⁉️
❕
〽️
❗
kwa vizazi vyetu na wakati huo huo watu watatusahau hata majina yetu na maumbile yetu.

Wakati huo tutakuja kugundua jinsi tulivyokuwa wajinga
πŸ’€
na jinsi tulivyojidanganya kutaka kupata kila kitu kwa njia yeyote
❌
♨️
.

Tutaomba angalau tupewe uhai
πŸ•
kwa muda mfupi ili tutubie ikiwa ni pamoja na kutoa sadaka
πŸ’Έ
lakini itakuwa haiwezekani.

Zingatia kuwa, Leo tuna nafasi kutenda wema kwa ajili ya faida yetu wenyewe na wengine. Kitu pekee kitakachobaki milele ni matendo yetu mema katika Dunia hii na maisha baada ya kifo. Muda bado tunao. Fanya matendo mema kabla hujachelewa sana

*Mungu atusaidie katika hili.

Tunamuomba Mwenyezi Mungu atuwezeshe kutenda wema na kupata mwisho mwema.
βœ”οΈ
β˜‘οΈ

--
Acha fiksi.Na mtoto mwenye umri wa mwaka mmoja unamuombea awe amekufa?
 
Mie nitakuwa na Miata 100+, na nitakuwepo ila wewe utakuwa umekufa. Babu na bibi zangu wote wamekufa 100+, kwa hiyo Iko kwenye genes😊😊

Nyie ambao genetic zenu za kuunga unga mjue hata uchaguzi ujao hamtoboi
 
Mbona tusiowajua waishi kwenye nyumba zetu? Vipi kuhusu watoto wetu na wajukuu?
 
Acha fiksi.Na mtoto mwenye umri wa mwaka mmoja unamuombea awe amekufa?
life span ni miaka 70 kwa sasa, ukitoboa 80 katoa sadaka na shukrani KANISANI.
by the way wazee tumekuwa mzigo kwenye mfuko wa BIMA NHIF na ndio maana wanatukataa wazee.
Hata daladala za Dar huwa nikipita na VX langu naona wazee wanaachwa, huo ndio ukweli huo
 
Mbona tusiowajua waishi kwenye nyumba zetu? Vipi kuhusu watoto wetu na wajukuu?
wanauza, kwani YULE TAJIRI WA KOKA KOLA , IT-VII, alijua akinia tu kaburini kabla hata hajaliwa na funza mke ataanza kupora mali za watoto wake akale ufaransa na serengeti boys?

wewe chuma, kufa ukiwa mbinguni utaona zinavyopondwa .
 
life span ni miaka 70 kwa sasa, ukitoboa 80 katoa sadaka na shukrani KANISANI.
by the way wazee tumekuwa mzigo kwenye mfuko wa BIMA NHIF na ndio maana wanatukataa wazee.
Hata daladala za Dar huwa nikipita na VX langu naona wazee wanaachwa, huo ndio ukweli huo
Miaka 70 ni wastani tu.Wapo watakaovuka hapo.Usijitishe.Mambo ya kujitisha ni ya ujima/medieval ages.
 
kati ya wazee 100 , watano tu ndio wanatoboa.
Mawaziri
Miaka 70 ni wastani tu.Wapo watakaovuka hapo.Usijitishe.Mambo ya kujitisha ni ya ujima/medieval ages.
, maraisi ambao hata akiskia chafya anapelekwa APOLLO india wanakufa na miaka 70 , sitaji jina ila refer marais wa nchi yako
 
kati ya wazee 100 , watano tu ndio wanatoboa.
Mawaziri

, maraisi ambao hata akiskia chafya anapelekwa APOLLO india wanakufa na miaka 70 , sitaji jina ila refer marais wa nchi yako
Wapo wengi tu wenye kuzidi 70.Mmoja nimetoka kumcharua si muda.Amebaki anacheka tu na mapengo yake.
 
Wapo wengi tu wenye kuzidi 70.Mmoja nimetoka kumcharua si muda.Amebaki anacheka tu na mapengo yake.
Zingatia ukweli kwamba hutakuwepo, kipindi hicho CCM itakuwa imesahaulika, kigamboni imemezwa na bahari, hakuna muungano tena wa upande wa pili na sisi, kila mwanamke atakuwa mwanaharakati akitaka haki sawa kwa asilimia 70, sasa givi wanataka 50/50.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom