Tupongezane na kutakiana heri kwa mwaka ujao wa 2023

download.jpeg
 
Heri ya x-mass kwa kipenzi changu cha kale , Nyarusare, pichu kodada,.......na wengine weeengi kina financial services, to yeye sijui yuko wapi huyu!! masomoni Kamunyonge Musoma mujini, majita road!

Lina mizambwa, Maria sengoda, Grace Ntangu, Sylvia Mamkwe wa Temeke! sijui yuko wapi siku hizi huyu bidada! anae jua anifahamishe tu wajameni tafadhali namtafuta sana huyu dada!

hata humu huyu simuoni kabisaaaa!!
 
Back
Top Bottom