mwaka

"Mwaka Moon" is a song by French rapper Kalash featuring Damso and Sfera Ebbasta released in October 2017. The song reached number one on the French Singles Chart.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Tetesi: Diamond kujiunga CHADEMA mwaka 2024 na 2025 kugombea Ubunge kupitia chama hicho

    Habari zenu wana JF wenzangu. Katika pitapita zangu maeneo fulan nimekutana na hii habari kutoka kwa mtu wa karibu mno wa msanii huyo, akidai kwamba Diamond yuko katika mchakato wa kulishangaza taifa hapo mwakani. Japo mimi sio mwanasiasa, lakini ningependa kumshauri ndugu yetu Diamond...
  2. JamiiForums Tanzania Taifa linapaswa kujua kiasi cha pesa kinachotumika kwenye michakato ya uchepukaji kila mwaka

    Amani iwe nanyi Ukiutafakari uchepukaji kwa makini ni reflection ya maendeleo, je uwekwe kwenye criteria za kupima maendeleo ya kaya? Baada ya kujiuliza hilo swala, mchakato wa uchepukaji una gharama kwenye household income and expenditure. Je hakuna sababu za ku establish total cost incurred...
  3. JamiiForums Tanzania Ripoti LHRC: Haki za Watoto zilikiukwa zaidi Nchini Tanzania mwaka 2022

    Utafiti uliofanywa na Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) umeonesha kuwa Watoto ndio waathirika wengi wa matukio yaliyoripotiwa na kurekodiwa ya ukiukwaji wa haki za binadamu nchini Tanzania kwa (47%), wakifuatiwa na wanawake (33%), wazee (10%) na Watu wenye Ulemavu (4%). Pia, kwa...
  4. JamiiForums Tanzania NGUVU YA MSAMAHA: Stori niliyosikia kwa January Makamba mwaka 2021

    Anasema mwaka 2008, akiwa Msaidizi wa Rais Kikwete, alikuwa ziarani Makete. Alikuwa anatumia gari na dereva wake wa Ikulu, aliyeazimwa kutoka Jeshini. Jioni moja, kuna document ya Rais alitaka aifanyie kazi na kumpelekee kesho yake saa 1:00 asubuhi. Akamwambia dereva amfuate saa 12:30 asubuhi...
  5. K

    JamiiForums Tanzania CAG tunaomba repoti za mwaka 2021/2022. Hizi za Magufuli kwanini haukuzileta mwaka jana?

    GAG tunaomba report za mwaka 2021/2022 tu. Nimekuwa nafatilia report ya CAG toka itangazwe karibu wiki moja iliyopita. Nilitegemea CAG atatupatia report ya Mwaka huu 2021/2022, lakini CAG anatupatia mpaka report za nyuma kabisa za Magufuli. Swali langu ni je, kwanini hizi report CAG hakuzitoa...
  6. JamiiForums Tanzania Mwaka 1988 Chakachaka alipiga show Makondeko Kibamba kiingilio kilikuwa 100,000

    Imepita miaka 35. Nimekumbuka kitu kimoja. Mwaka 1988 enzi hizo Ivon Chakachaka akiwa kwenye peak,kulikuwa na mmakonde mmoja akiitwa Dk Khalid Alex mbunge wa Mtama by then,sina uhakika na jimbo ila ni huko kusini ,alikuwa na ukumbi kule kibamba Luguruni maarufu kama Makondeko. Ule ukumbi...
  7. JamiiForums Tanzania Serikali yaahidi hakutakuwa na uhaba wa sukari mwaka huu

    Moja kati ya masuala ambayo yamezoeleka kusumbua na kuleta tafrani katika jamii ya Watanzania ni uhaba wa Sukari ambao umekuwa ukitokea mara nyingi tu katika miaka iliyopita. Katika kuhakikisha Watanzania wanasahau changamoto hiyo kwa kuhakikisha sukari inapatikana ya kutosha mwaka mzima...
  8. JamiiForums Tanzania Biashara gani inalipa kwa huu mwaka 2023?

    Leteni idea, mimi naona biashara ya mazao inalipa. Vipi mnaonaje?
  9. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mwaka 2025 watanzania tuchague wabunge wa CCM pekee maana CHADEMA na wenzoo ni sehemu ya CCM

    Hakuna upinzani sasa. Maana sio Chdema au wenzao wote ni sehemu ya CCM. Hili la maridhiano ni porojp tu na hizi ni uganga njaa wa kisiasa. Sasa kwa nini tuchague vyama ambavyo ni CCM b, c au d. Bora kuchagua CCM yenyewe tu kuliko kuchagua wanaoigiza upinzani feki Najua wanaChadema wengi...
  10. JamiiForums Tanzania Wakili Mahuna: Sabaya hajafungwa kifungo cha nje, ila Kapewa muda wa uangalizi wa mwaka mmoja

    Wakili wa Sabaya, Mh Mahuna amesema Sabaya alikiri kosa la uhujumu uchumi na hivo kwa mujibu wa makubaliano ya Plea Bargaining Sabaya anapaswa kumlipa Alex Swai kwa niaba ya mdogo wake Tsh 5,000,000/=. Mara baada ya hayo kesi ilienda kufail tena kwa makosa mawili ambayo ni "Kujitwawalia...
  11. JamiiForums Tanzania River United FC ya sasa ni Bora kuliko ya mwaka Juzi hivyo natangaza rasmi Kuishabikia

    Nichukue nafasi hii kuipongeza River United kwa Kupangiwa na Mpinzani yoyote yule aliyepatikana na kuna Uwezekano aliyepangiwa nae akapigwa nyingi Nigeria na za kutosha pia Kwao na kutupwa kabisa nje na River United FC kwenda Nusu Fainali na hata kuwa Mabingwa. Tutaelewana tu kuanzia hatua hii...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Ongezeko Wakulima wanaonufaika na mikopo ya kilimo kwa mwaka 2022/23

    Katika hotuba ya Waziri Mkuu, Mhe. Kassim Majaliwa kuhusu mapitio ya serikali na makadirio ya mapato na matumizi ya fedha za ofisi ya waziri mkuu na ofisi ya bunge kwa mwaka 2023/2024 amesema mikopo inayotolewa na benki ya maendeleo ya kilimo imetoa shilingi bilioni 78.54 kwa wakulima 119,797...
  13. JamiiForums Tanzania Ripoti ya makusanyo ya mapato kwa kipindi cha robo ya tatu (Januari-Machi) mwaka wa fedha 2022/2023

  14. JamiiForums Tanzania Wakati tulilalamika miti Milioni 2 (Bwawa la JKN) Marekani wanakata miti 31.1m kila mwaka ili itumike chooni

    Lets put things in perspective watu walilalamika hapa Rejea - Takribani miti milioni 3.5 ilikatwa kupisha ujenzi wa Umeme JNHP (Stieglers) Ingawa matumizi ya Toilet Paper yanachangia about 15% ya deforestation Sisemi tuache kutumia huduma hii muhimu lakini tukumbuke wakati tunalaumiana...
  15. JamiiForums Tanzania Tatizo tunaishi kwa mazoea! "Yanga ana mafanikio zaidi kimataifa kuliko simba mwaka huu

    Tatizo tunaishi kwa mazoea na usimba na uyanga Yanga wakati inaanza mwaka huu wa mashindano ilikuwa ya 75 Leo hii yanga ipo ndani ya top 20 best club in Africa. Wakishika nafasi ya 20 wakati simba kapanda nafasi 5 tu mwezie kapanda nafasi 55 tuendelee kuwepo lakini ukweli Yanga ya Sasa ni...
  16. JamiiForums Tanzania Hii ndio ‘Rockerfeller Document’ ya mwaka 2010 iliyotoa maelekezo ya kusambaza ugonjwa wa Corona duniani

    Familia ya Rockerfeller ndio familia ya kitajiri zaidi huko Marekani inayoshikilia sekta za Kibenki, Kiviwanda, Mafuta na Siasa. Inatajwa kwamba matajiri wote duniani wanaongozwa na kuendeshwa na familia hii, hasa hasa Billgates na wenzake. Mwaka 2010 walitotoa maelekezo kwa matajiri na...
  17. JamiiForums Tanzania Rais Kikwete alipodondoka jukwaani mwaka 2005 na jinsi itifaki za Kiusalama zilivyobadilika

    Mwaka 2005 wakati Jakay Mrisho Kikwete akijinadi kuomba kura katika uchaguzi mkuu, siku ya kufunga kampeni alianguka pale Jangwani. Hii ikaleta mabadiliko makubwa ya kiulinzi katika korido za PSU. Kabla ya Kikwete, yaani kuanzia Nyerere, Mwinyi hadi Mkapa walikuwa wakisimama jukwaani...
  18. JamiiForums Tanzania Wakati Wapinzani wa kule 'Zuzu Nation' wakimpitisha aliyeko kwa mwaka 2025 huko Kenya Odinga adai ameibiwa Kura 2022

    "Nilipata Kura Milioni 8 na Ruto alipata Kura Milioni 5 cha Kushangaza Tume mbovu ya IEBC ikamtangaza Yeye kuwa Mshindi wa Urais nchini Kenya" amesema Kiongozi wa Upinzani nchini Kenya Raila Odinga. Chanzo: Nipashe ya Radio One leo Pole sana Mzee Odinga ila nikuambie tu wakati Wewe...
  19. JamiiForums Tanzania Arsenal mbioni kuanza kumlipa Saka Tsh Bilioni 42 kwa Mwaka

    Arsenal ipo katika mazungumzo na Bukayo Saka kuhusu maboresho ya mkataba mpya ikidaiwa kuwa unaweza kumfanya apokee Pauni Milioni 15 (Tsh. Bilioni 43) kwa Mwaka ikiwa ni malipo ya mshahara na posho. Hilo likitimia atakuwa mchezaji anayelipwa vizuri zaidi klabuni hapo, mshahara kwa wiki...
  20. JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Mtoto wa Rais Museveni atangaza kustaafu utumishi wa Jeshi mwaka huu

    Mtoto mkubwa wa Rais wa Uganda Yoweri Museveni anasema kuwa atastaafu kutoka jeshi mwaka huu, baada ya karibu miongo mitatu ya kuhudumu ndani ya Jeshi. Muhoozi Kainerugaba, jenerali wa jeshi, alitoa tangazo hilo katika chapisho la Twitter. "Nitastaafu UPDF mwaka huu," alitweet. Alitoa tangazo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…