Mwaka wa 9, Sijawahi kumuona mtu mwingine akitumia JamiiForums

Ni mwaka wa ku 9 tangu Nilipoanza kuutumia huu mtandao lakini sijawahi kukutana na mdau wa mtandao huu.

Leo nimejaribu kuwauliza colleagues Kama wanufahamu, wote walikiri kuufahamu lakini wakasema hawautumii.

Nikajiuliza iwapo ni kweli au wanaficha privacy zao. Je, uliwahi kumuona mtu live akitumia JamiiForums?
Kuna mdada tulikuwa naye kwenye 'mnuso' jinsi anavyo ongea/changia mambo mbali mbali katika mazungumzo moja kwa moja nikamfahamu.
 
Nshakutana na members kama6+.
Kakiwepo kadada flani kanaandama sana wanaume πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… tukakaa bar flani pale Kimara Korogwe. (Miti mitatu kama sikosei) Baada ya stories na 🍺🍻πŸ₯‚ πŸπŸ–nikagundua ni kasingo mama kenye watoto2 ila ni mwalimu wa Kisutu Primary (kama hakudanganya) akaanzaga mizinga nikakablock

Wengine washkaji wanapiga bizines, so tunachekiana tunafanya biashara tunaachana.

Kuna jamaa kwenye uzi wa "selfika" walicomment wapo 5N ya Kimara Temboni tukapeana location tukaonana maana na mimi nlikuwa hapo.

Mwingine tulikutana Kisoma Bar ya Magomeni kuna bidhaa alinketea tukagonga gambe tukaachana.

Sijawahi HIDE JF APP ipo juu kabisa
πŸ‘‡πŸ»πŸ‘‡πŸ»πŸ‘‡πŸ»πŸ‘‡πŸ»πŸ‘‡πŸ»πŸ‘‡πŸ»πŸ‘‡πŸ»πŸ‘‡πŸ»
 
Attachments

  • Screenshot_20230704-210140_One UI Home.jpg
    Screenshot_20230704-210140_One UI Home.jpg
    371.6 KB · Views: 6
Mi licha ya kujaribu kuwashawish friends watumie jf hakuna aliekubali πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Mwaka wa 7 huu sijawahi ona mtu ana app ya jf kwa simu yake πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Jf shida wamiliki wake wamekaa kisiasa, hawataki kuifanya jf as social media, au sehemu ya kibiashara na fun place πŸ˜‚πŸ˜‚
Na ndo mana natakaga niinunue jf one day nibadili kila kitu
 
Ni mwaka wa ku 9 tangu Nilipoanza kuutumia huu mtandao lakini sijawahi kukutana na mdau wa mtandao huu.

Leo nimejaribu kuwauliza colleagues Kama wanufahamu, wote walikiri kuufahamu lakini wakasema hawautumii.

Nikajiuliza iwapo ni kweli au wanaficha privacy zao. Je, uliwahi kumuona mtu live akitumia JamiiForums?
Leo nimejaribu kuwauliza colleagues Kama wanufahamu, wote walikiri kuufahamu lakini wakasema hawautumii.

Uliwaamini?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom