Huu mwaka 2023 kuna watu bado wanamsikiliza Issa Shivji?

The Boss

JF-Expert Member
Aug 18, 2009
49,111
115,905
Miaka zaidi ya 25 iliyopita ISSA Shivji alikuwa miongoni mwa watu waliiongoza mijadala ya kupinga ubinafsishaji uliokuwa inafanywa na serikali ya Mkapa...aliendika Makala nyingi Sana na midahalo mingi Sana alishiriki...Issa Shivji, Jenerali Ulimwengu na wengine Wengi....cha ajabu kabisa juzi wakati kajitokeza tena kwenye kupinga Dpworld...cha ajabu kabisa ISSA Shivji karudia maneno yake yale Yale ya kupinga ubinafsishaji kabisa ...akisema namnukuu".. Bandari ni Sawa na mabenki" na Mimi naamini biashara ya bandari kama ilivyo Benki "ifanywe na serikali...ni hatari ikifanywa na watu wengine nje ya Serikali".....

Yaani sometimes kutofautisha proffesa na mganga wa Kienyeji huku Africa ni kama impossible...

Issa Shivji aliongoza kabisa privatisation ya banking industry....licha ya hiyo industry kuja kuwa most reliable na stable Tanzania ..miaka 25 baadae bado anaongea habari za "kuamini"...kweli?? Kwa miaka zaidi ya 25 toka Rais Mkapa alipoibadili sekta yote ya Benki Tanzania hizo hatari alizokuwa anazisema Issa Shivji na wenzie si ndo zingejitokeza ndani ya hiyo miaka 25 na Leo akawa anatukumbusha "maono na maonyo yake na wenzie"?...zile hatari alizo hubiri miaka 25 iliyopita za Ku privatise banking industry Leo hii si ndo angekuwa anatuambia "nilisema"..

Leo miaka 25 later anarudi na story za "kuamini kuna hatari"??Proffesa wa heshima kama yeye amefanya research za hatari aliyotuhubiria miaka 25 iliyopita ukweli wake ukoje Leo hii??na sasa kabisa bila haya anatuletea habari za "hatari ingine "ya bandari...yaani Sura kavu anakuja kuleta habari za kuamini badala ya kuleta habari zenye facts na evidence Kwa sababu amekuwa anaongea mambo Yaleyale lakini tunaona "matokeo"ni tofauti na hatari alizotutisha nazo miaka 25 iliyopita?..

Kibaya zaidi Kila mara anapoulizwa "solution" ya kila shirika linalo taka kubinafsishwa anakuja na theory za farasi aliekufa " Dead horse theory"...kwamba serikali ifanye hiki serikali ifanye kile..wakati dunia nzima hizi theory zimeshathibitika ni 'dead horse theory "...kumchapa fimbo zaidi farasi aliekufa haitasaidia kumfanya ainuke aanze kukimbia ili ufike unapotaka kwenda".....

Inakuwaje mwaka huu 2023 Issa Shivji anazungumza Umuhimu wa bank za Serikali kama vile hazipo kabisa?au hajui kuwa Kikwete alijaribu tena kurudisha Benki za Serikali na zikafa tena mara ya pili?? Iko wapi TIB? Iko wapi women's Bank? Iko wapi Bank ya wakulima aliyoanzisha Kikwete??..

Shivji hajui kuna bank ya serikali imeenea nchi nzima inaitwa TCB zamani ilikuwa inaitwa Bank ya Posta lakini "ina perform chini ya uwezo wake"?...Shivji hajui bank inaweza ingiza faida lakini bado ikawa ina perform ovyo???..

Why kila siku serikali inatangaza Kwa mbwewe gawio la Crdb na NMB lakini hawasemi gawio la TCB??...watu wenye mawazo ya ki communism kama Shivji wanawezaje kuwa na watu wanawasikiliza dunia ya sasa mwaka huu 2023...??idea zake zote zime prove failure Kwa ushahidi kabisa Kwa miaka zaidi ya 25...mtu kama huyu anawezaje kupata ujasiri wa kuhubiri tena hizi dead horse theory tena na tena miaka 25 na zaidi???...kibaya zaidi hata kwenye suala la Bandari anaongea uwongo na kuji contradict mwenyewe bila aibu.

Mara aseme mkataba ule wa IGA hatuwezi vunja ..halafu aseme tena Bunge linaweza kuvunja mkataba ule ..na akaongeza njia zingine nne za kuvunja mkataba......Mkapa alikuwa sahihi kabisa kum ignore huyu Issa Shivji na mawazo yake yalio pitwa na wakati...only time will tell Kama kwenye hili la Bandari kuna lolote la maana jipya alilo shauri....zaidi ya kutaka serikali "iendelee kufufua farasi aliekufa"....
 
AMEANDIKA MALISA GJ

#TimuYaWananchi
1. Profesa Anne Tibaijuka (Waziri Mstaafu, Mkurugenzi wa zamani UN Habitat, Mhadhiri mstaafu vyuo vikuu mbalimbali)
2. Profesa Issa Shivji (Nguli wa Sheria, Mwanamajumui wa Afrika, Mwanazuoni)
3. Tundu Lissu (Wakili Msomi, Mwanasiasa hodari, Rais mstaafu wa TLS)
4. Dr.Rugemezela Nshala (Wakili Msomi, Rais Mstaafu wa TLS, Mwalimu wa Law School aliyemfundisha Tulia Akson)
5. Dr.Charles Kitima (Katibu mkuu TEC, Mwanazuoni hodari, VC mstaafu Chuo kikuu SAUT)
6. Dr.Fredrick Shoo (Mkuu wa KKKT, Mhadhiri mstaafu vyuo vikuu mbalimbali, Mwanazuoni)
7. Sheikh Abubakar Zubeir (Sheikh Mkuu Tanzania, Mwanazuoni)
8. Freeman Mbowe (Mwanasiasa mbobevu, Mwenyekiti Chadema)
9. Jaji Joseph Sinde Warioba (Waziri Mkuu mstaafu, Jaji mstaafu, Mwanamajumui wa Afrika)
10. Dr.Wilbroad Slaa (Mwanasiasa Nguli, Balozi mstaafu, Katibu mkuu mstaafu Baraza la Maaskofu, katibu mkuu wa zamani Chadema).

#TimuYaMakasuku
1. Baba Levo (Chawa Mwandamizi)
2. Mwijaku (Chawa mwandamizi daraja la kwanza)
3. Zembwela (Msanii wa Futuhi aliyevamia taaluma ya habari)
4. Hando (Mwandishi aliyeamua kuharibu heshima yake ili kujaza utumbo mpana)
5. Kitenge (Dalali Mwandamizi daraja la kwanza)
6. Isaa Azam (Mtuhumiwa wa upinde)
7. Sophia(ni) Juma (Mtuhumiwa wa upinde)
8. Tivu ake (Msanii wa Futuhi)
9. Msukuma (darasa la 7 anayeamuni ana PhD bila kwenda darasani)
10. Kibajaji (Kepteni wa timu ya kusifu watawala ili kushibisha utumbo mpana)

Mechi ni dakika ya 25 kipindi cha kwanza, Timu ya Wananchi inaongoza bao 3 bila. Ukipenda sema tatu sifuri, au tatu nunge, au tatu yai, au tatu duara, au tatu bashite. Ngoma bado mbichi hii, hata half time bado.!
 
Miaka zaidi ya 25 iliyopita ISSA Shivji alikuwa miongoni mwa watu waliiongoza mijadala ya kupinga ubinafsishaji uliokuwa inafanywa na serikali ya Mkapa...aliendika Makala nyingi Sana na midahalo mingi Sana alishiriki...Issa Shivji, Jenerali Ulimwengu na wengine Wengi....cha ajabu kabisa juzi wakati kajitokeza tena kwenye kupinga Dpworld...cha ajabu kabisa ISSA Shivji karudia maneno yake yale Yale ya kupinga ubinafsishaji kabisa ...akisema namnukuu".. Bandari ni Sawa na mabenki" na Mimi naamini biashara ya bandari kama ilivyo Benki "ifanywe na serikali...ni hatari ikifanywa na watu wengine nje ya Serikali".....

Yaani sometimes kutofautisha proffesa na mganga wa Kienyeji huku Africa ni kama impossible...

Issa Shivji aliongoza kabisa privatisation ya banking industry....licha ya hiyo industry kuja kuwa most reliable na stable Tanzania ..miaka 25 baadae bado anaongea habari za "kuamini"...kweli?? Kwa miaka zaidi ya 25 toka Rais Mkapa alipoibadili sekta yote ya Benki Tanzania hizo hatari alizokuwa anazisema Issa Shivji na wenzie si ndo zingejitokeza ndani ya hiyo miaka 25 na Leo akawa anatukumbusha "maono na maonyo yake na wenzie"?...zile hatari alizo hubiri miaka 25 iliyopita za Ku privatise banking industry Leo hii si ndo angekuwa anatuambia "nilisema"..
Leo miaka 25 later anarudi na story za "kuamini kuna hatari"??Proffesa wa heshima kama yeye amefanya research za hatari aliyotuhubiria miaka 25 iliyopita ukweli wake ukoje Leo hii??na sasa kabisa bila haya anatuletea habari za "hatari ingine "ya bandari...yaani Sura kavu anakuja kuleta habari za kuamini badala ya kuleta habari zenye facts na evidence Kwa sababu amekuwa anaongea mambo Yaleyale lakini tunaona "matokeo"ni tofauti na hatari alizotutisha nazo miaka 25 iliyopita?..

Kibaya zaidi Kila mara anapoulizwa "solution" ya kila shirika linalo taka kubinafsishwa anakuja na theory za farasi aliekufa " Dead horse theory"...kwamba serikali ifanye hiki serikali ifanye kile..wakati dunia nzima hizi theory zimeshathibitika ni 'dead horse theory "...kumchapa fimbo zaidi farasi aliekufa haitasaidia kumfanya ainuke aanze kukimbia ili ufike unapotaka kwenda".....

Inakuwaje mwaka huu 2023 Issa Shivji anazungumza Umuhimu wa bank za Serikali kama vile hazipo kabisa?au hajui kuwa Kikwete alijaribu tena kurudisha Benki za Serikali na zikafa tena mara ya pili?? Iko wapi TIB? Iko wapi women's Bank? Iko wapi Bank ya wakulima aliyoanzisha Kikwete??..
Shivji hajui kuna bank ya serikali imeenea nchi nzima inaitwa TCB zamani ilikuwa inaitwa Bank ya Posta lakini "ina perform chini ya uwezo wake"?...Shivji hajui bank inaweza ingiza faida lakini bado ikawa ina perform ovyo???..
Why kila siku serikali inatangaza Kwa mbwewe gawio la Crdb na NMB lakini hawasemi gawio la TCB??...watu wenye mawazo ya ki communism kama Shivji wanawezaje kuwa na watu wanawasikiliza dunia ya sasa mwaka huu 2023...??idea zake zote zime prove failure Kwa ushahidi kabisa Kwa miaka zaidi ya 25...mtu kama huyu anawezaje kupata ujasiri wa kuhubiri tena hizi dead horse theory tena na tena miaka 25 na zaidi???...kibaya zaidi hata kwenye suala la Bandari anaongea uwongo na kuji contradict mwenyewe bila aibu...
Mara aseme mkataba ule wa IGA hatuwezi vunja ..halafu aseme tena Bunge linaweza kuvunja mkataba ule ..na akaongeza njia zingine nne za kuvunja mkataba......Mkapa alikuwa sahihi kabisa kum ignore huyu Issa Shivji na mawazo yake yalio pitwa na wakati...only time will tell Kama kwenye hili la Bandari kuna lolote la maana jipya alilo shauri....zaidi ya kutaka serikali "iendelee kufufua farasi aliekufa"....
Unajishushia heshima
 
Well narrated. Matokeo ya ubinafsishaji wa Mwinyi na Mkapa ni TBL, TCC, NMB, Airtel.

Ni upuuzi kuwa na Shirika la Umma ambalo hali PERFORM
 
Kuuelewa, (to interpret) mkataba wa DPWORLD kwa Tanzania huhitaji kusoma shule ya sheria .Unyumbu ni tabia ya watu wanao fikiri vizuri kuahirisha kufikiri kwasababu ya uoga, (amygdala), kuogopa viongozi, ama kutumikia kundi fulani, (CCM). Herding behavior is an occurrence of thoughtful people suspending their individual reasoning because of fear, (amygdala), in this case fearing their leaders or in favor of group objective, (CCM)
 
.only time will tell Kama kwenye hili la Bandari kuna lolote la maana jipya alilo shauri....zaidi ya kutaka serikali "iendelee kufufua farasi aliekufa"....
Umehitimisha andiko lako vizuri hapa.

Lakini nilivyosoma harakaharaka andiko lako, inaonekana dhahiri maandiko yake mengi hukuyaelewa na bado huyaelewi, au pengine unaamua tu kushabiki unakolalia wewe katika uamini wa mfumo fulani.
Nami kwa uhakika kwa kusoma viandishi vyako vifupi fupi humu JF, sina shaka ni wapi unapopakia siagi mkate wako.

Kama wewe unaona ubinafsishaji umefana sana hapa tokea enzi za Mkapa, kuna mifano mingi inayoonyesha udhaifu mkubwa na hasara zilizotokana na ubinafsishaji katika baadhi ya maeneo.
Kwa hiyo usiuze dhana hiyo kuwa ndiyo 'gold standard' kwa maendeleo ya nchi yetu.

Naomba usinirundike kwenye kundi hilo unalodhani linamhusu Prof. Shivji, kama upo sahihi. Mimi sijakataa uwekezaji; nisichotaka ni kuwa 'fanatic' na kupoteza akili yangu kuhusu kazi hiyo hata mahali ambapo mazingira yetu hayafaidiki na ubinafsishaji huo.
 
Miaka zaidi ya 25 iliyopita ISSA Shivji alikuwa miongoni mwa watu waliiongoza mijadala ya kupinga ubinafsishaji uliokuwa inafanywa na serikali ya Mkapa...aliendika Makala nyingi Sana na midahalo mingi Sana alishiriki...Issa Shivji, Jenerali Ulimwengu na wengine Wengi....cha ajabu kabisa juzi wakati kajitokeza tena kwenye kupinga Dpworld...cha ajabu kabisa ISSA Shivji karudia maneno yake yale Yale ya kupinga ubinafsishaji kabisa ...akisema namnukuu".. Bandari ni Sawa na mabenki" na Mimi naamini biashara ya bandari kama ilivyo Benki "ifanywe na serikali...ni hatari ikifanywa na watu wengine nje ya Serikali".....

Yaani sometimes kutofautisha proffesa na mganga wa Kienyeji huku Africa ni kama impossible...

Issa Shivji aliongoza kabisa privatisation ya banking industry....licha ya hiyo industry kuja kuwa most reliable na stable Tanzania ..miaka 25 baadae bado anaongea habari za "kuamini"...kweli?? Kwa miaka zaidi ya 25 toka Rais Mkapa alipoibadili sekta yote ya Benki Tanzania hizo hatari alizokuwa anazisema Issa Shivji na wenzie si ndo zingejitokeza ndani ya hiyo miaka 25 na Leo akawa anatukumbusha "maono na maonyo yake na wenzie"?...zile hatari alizo hubiri miaka 25 iliyopita za Ku privatise banking industry Leo hii si ndo angekuwa anatuambia "nilisema"..
Leo miaka 25 later anarudi na story za "kuamini kuna hatari"??Proffesa wa heshima kama yeye amefanya research za hatari aliyotuhubiria miaka 25 iliyopita ukweli wake ukoje Leo hii??na sasa kabisa bila haya anatuletea habari za "hatari ingine "ya bandari...yaani Sura kavu anakuja kuleta habari za kuamini badala ya kuleta habari zenye facts na evidence Kwa sababu amekuwa anaongea mambo Yaleyale lakini tunaona "matokeo"ni tofauti na hatari alizotutisha nazo miaka 25 iliyopita?..

Kibaya zaidi Kila mara anapoulizwa "solution" ya kila shirika linalo taka kubinafsishwa anakuja na theory za farasi aliekufa " Dead horse theory"...kwamba serikali ifanye hiki serikali ifanye kile..wakati dunia nzima hizi theory zimeshathibitika ni 'dead horse theory "...kumchapa fimbo zaidi farasi aliekufa haitasaidia kumfanya ainuke aanze kukimbia ili ufike unapotaka kwenda".....

Inakuwaje mwaka huu 2023 Issa Shivji anazungumza Umuhimu wa bank za Serikali kama vile hazipo kabisa?au hajui kuwa Kikwete alijaribu tena kurudisha Benki za Serikali na zikafa tena mara ya pili?? Iko wapi TIB? Iko wapi women's Bank? Iko wapi Bank ya wakulima aliyoanzisha Kikwete??..
Shivji hajui kuna bank ya serikali imeenea nchi nzima inaitwa TCB zamani ilikuwa inaitwa Bank ya Posta lakini "ina perform chini ya uwezo wake"?...Shivji hajui bank inaweza ingiza faida lakini bado ikawa ina perform ovyo???..
Why kila siku serikali inatangaza Kwa mbwewe gawio la Crdb na NMB lakini hawasemi gawio la TCB??...watu wenye mawazo ya ki communism kama Shivji wanawezaje kuwa na watu wanawasikiliza dunia ya sasa mwaka huu 2023...??idea zake zote zime prove failure Kwa ushahidi kabisa Kwa miaka zaidi ya 25...mtu kama huyu anawezaje kupata ujasiri wa kuhubiri tena hizi dead horse theory tena na tena miaka 25 na zaidi???...kibaya zaidi hata kwenye suala la Bandari anaongea uwongo na kuji contradict mwenyewe bila aibu...
Mara aseme mkataba ule wa IGA hatuwezi vunja ..halafu aseme tena Bunge linaweza kuvunja mkataba ule ..na akaongeza njia zingine nne za kuvunja mkataba......Mkapa alikuwa sahihi kabisa kum ignore huyu Issa Shivji na mawazo yake yalio pitwa na wakati...only time will tell Kama kwenye hili la Bandari kuna lolote la maana jipya alilo shauri....zaidi ya kutaka serikali "iendelee kufufua farasi aliekufa"....
Shivji ana akili sana na michango yake ina ukweli 100% wewe unayemponda Shivji umelifanyia nini Taifa?
 
Umehitimisha andiko lako vizuri hapa.

Lakini nilivyosoma harakaharaka andiko lako, inaonekana dhahiri maandiko yake mengi hukuyaelewa na bado huyaelewi, au pengine unaamua tu kushabiki unakolalia wewe katika uamini wa mfumo fulani.
Nami kwa uhakika kwa kusoma viandishi vyako vifupi fupi humu JF, sina shaka ni wapi unapopakia siagi mkate wako.

Kama wewe unaona ubinafsishaji umefana sana hapa tokea enzi za Mkapa, kuna mifano mingi inayoonyesha udhaifu mkubwa na hasara zilizotokana na ubinafsishaji katika baadhi ya maeneo.
Kwa hiyo usiuze dhana hiyo kuwa ndiyo 'gold standard' kwa maendeleo ya nchi yetu.

Naomba usinirundike kwenye kundi hilo unalodhani linamhusu Prof. Shivji, kama upo sahihi. Mimi sijakataa uwekezaji; nisichotaka ni kuwa 'fanatic' na kupoteza akili yangu kuhusu kazi hiyo hata mahali ambapo mazingira yetu hayafaidiki na ubinafsishaji huo.
Watanzania hamuwezi kujiendesha wenyewe. UBINAFSISHAJI ndiyo njia pekee ya kuukuza uchumi. Na tunaona mafanikio hayo. Kama wewe huoni ni upofu huo sasa
 
Safari hii utapata tabu sana,kama umekula pesa ya DPW utaitema tu.Utaandika makala zote lakini wengi wetu tushajielewa,hatutaki mikataba ya kipuuzi hivyo.Njoo na makala nyingine tena ila kwa kuja na ngonjera za kumnanga Prof Shivji haindoi ukweli wa alichokosoa kwa ule mkataba.
 
Miaka zaidi ya 25 iliyopita ISSA Shivji alikuwa miongoni mwa watu waliiongoza mijadala ya kupinga ubinafsishaji uliokuwa inafanywa na serikali ya Mkapa...aliendika Makala nyingi Sana na midahalo mingi Sana alishiriki...Issa Shivji, Jenerali Ulimwengu na wengine Wengi....cha ajabu kabisa juzi wakati kajitokeza tena kwenye kupinga Dpworld...cha ajabu kabisa ISSA Shivji karudia maneno yake yale Yale ya kupinga ubinafsishaji kabisa ...akisema namnukuu".. Bandari ni Sawa na mabenki" na Mimi naamini biashara ya bandari kama ilivyo Benki "ifanywe na serikali...ni hatari ikifanywa na watu wengine nje ya Serikali".....

Yaani sometimes kutofautisha proffesa na mganga wa Kienyeji huku Africa ni kama impossible...

Issa Shivji aliongoza kabisa privatisation ya banking industry....licha ya hiyo industry kuja kuwa most reliable na stable Tanzania ..miaka 25 baadae bado anaongea habari za "kuamini"...kweli?? Kwa miaka zaidi ya 25 toka Rais Mkapa alipoibadili sekta yote ya Benki Tanzania hizo hatari alizokuwa anazisema Issa Shivji na wenzie si ndo zingejitokeza ndani ya hiyo miaka 25 na Leo akawa anatukumbusha "maono na maonyo yake na wenzie"?...zile hatari alizo hubiri miaka 25 iliyopita za Ku privatise banking industry Leo hii si ndo angekuwa anatuambia "nilisema"..
Leo miaka 25 later anarudi na story za "kuamini kuna hatari"??Proffesa wa heshima kama yeye amefanya research za hatari aliyotuhubiria miaka 25 iliyopita ukweli wake ukoje Leo hii??na sasa kabisa bila haya anatuletea habari za "hatari ingine "ya bandari...yaani Sura kavu anakuja kuleta habari za kuamini badala ya kuleta habari zenye facts na evidence Kwa sababu amekuwa anaongea mambo Yaleyale lakini tunaona "matokeo"ni tofauti na hatari alizotutisha nazo miaka 25 iliyopita?..

Kibaya zaidi Kila mara anapoulizwa "solution" ya kila shirika linalo taka kubinafsishwa anakuja na theory za farasi aliekufa " Dead horse theory"...kwamba serikali ifanye hiki serikali ifanye kile..wakati dunia nzima hizi theory zimeshathibitika ni 'dead horse theory "...kumchapa fimbo zaidi farasi aliekufa haitasaidia kumfanya ainuke aanze kukimbia ili ufike unapotaka kwenda".....

Inakuwaje mwaka huu 2023 Issa Shivji anazungumza Umuhimu wa bank za Serikali kama vile hazipo kabisa?au hajui kuwa Kikwete alijaribu tena kurudisha Benki za Serikali na zikafa tena mara ya pili?? Iko wapi TIB? Iko wapi women's Bank? Iko wapi Bank ya wakulima aliyoanzisha Kikwete??..
Shivji hajui kuna bank ya serikali imeenea nchi nzima inaitwa TCB zamani ilikuwa inaitwa Bank ya Posta lakini "ina perform chini ya uwezo wake"?...Shivji hajui bank inaweza ingiza faida lakini bado ikawa ina perform ovyo???..
Why kila siku serikali inatangaza Kwa mbwewe gawio la Crdb na NMB lakini hawasemi gawio la TCB??...watu wenye mawazo ya ki communism kama Shivji wanawezaje kuwa na watu wanawasikiliza dunia ya sasa mwaka huu 2023...??idea zake zote zime prove failure Kwa ushahidi kabisa Kwa miaka zaidi ya 25...mtu kama huyu anawezaje kupata ujasiri wa kuhubiri tena hizi dead horse theory tena na tena miaka 25 na zaidi???...kibaya zaidi hata kwenye suala la Bandari anaongea uwongo na kuji contradict mwenyewe bila aibu...
Mara aseme mkataba ule wa IGA hatuwezi vunja ..halafu aseme tena Bunge linaweza kuvunja mkataba ule ..na akaongeza njia zingine nne za kuvunja mkataba......Mkapa alikuwa sahihi kabisa kum ignore huyu Issa Shivji na mawazo yake yalio pitwa na wakati...only time will tell Kama kwenye hili la Bandari kuna lolote la maana jipya alilo shauri....zaidi ya kutaka serikali "iendelee kufufua farasi aliekufa"....
wasiomsikiliza shivji ni watu ambao ubongo wao upo kwenye masaburi tu. kwa mtu mwenye akili timamu anajua kuwa anachoongea shivji ni cha faida kwa taifa na yeye hana maslahi yeyote kama watetezi walivyo.
 
Back
Top Bottom