mwaka

"Mwaka Moon" is a song by French rapper Kalash featuring Damso and Sfera Ebbasta released in October 2017. The song reached number one on the French Singles Chart.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Uzi maalum wa kusherehekea ushindi wa kombe la Dunia (FIFA) utakochukuliwa na Tanzania mwaka XXXX

    Uzi huu utakuwa ni maalum kwa waTanzania wote duniani kote kusheherekea ushindi wa Kombe la dunia la mpira wa miguu linaloandaliwa na FIFA kila baada ya miaka mi4. Hata kama ni mwaka 2500 au mwaka 2900, potelea mbali, cha msingi huu uzi utunzwe hadi kipindi hicho ambapo tutakuwa tumelibeba...
  2. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kali ya mwaka; Kenya Overtakes US as World Leader in Crypto Trade

    Tuko front kwenye yote na vyote, chochote kinachohusu matumizi ya ubongo. Kenya has emerged among countries to watch globally after a report by Chainalysis ranked it top in peer to peer (P2P) cryptocurrency trading. The report published on August 18, indicated that Kenya was the leading...
  3. JamiiForums Tanzania Hali halisi ya pato halisi (GDP) la Tanzania

    Katika kipindi cha mwaka 2001-2010 pato halisi la Tanzania(GDP) limeonyesha kiwango cha wastani wa kukua cha 7%. Ukuaji ulishuka mwaka 2009 na kuwa 6.0%, hasa kutokana na kudorora sana kwa ukuaji wa uchumi duniani. Hata hivyo ulirudia kwenye 7% mwaka 2010. Sekta zilizoonyesha viwango vya...
  4. JamiiForums Tanzania Ni mwaka wa tatu sijapata kitambulisho cha NIDA

    Nilijiandikisha NIDA tangu March,2019. Mwaka Jana 2020 nikapata namba, nikaambiwa kitambulisho Bado. Mwaka huu nimefuatilia sana naambiwa tu subiri kikiwa tayari utapigiwa simu. Mbaya zaidi watumishi wa pale wala lugha mbaya sana. Ukiuliza swali kwa ustaarabu wanakujibu kama ugomvi vile. Eti...
  5. E

    JamiiForums Tanzania IET na ERB zinatuangusha wahandisi

    Wahandisi tutoke vipi? taasisi ambazo zingekuwa zinatusaidia tupige hatua zimesinzia kabisa. Kazi yao ni kuandaa safari za kutalihi tu kwenye miradi. Mimi nilitegemea labda tusikie taasisi hizi zikipendekeza namna gani jamii inaweza kuwatumia wataalamu Mimi nilitegemea kusikia labda...
  6. JamiiForums Tanzania ELIMIKA: TRA wanaangalia Mwaka au Bei au Model?

    TRA WANAANGALIA BEI YA GARI AU NI MWAKA NA MODEL TU? Na Kimomwe Motors (T) Ltd- Waagizaji Magari Swali hilo muhimu liliulizwa na mmoja wa wadau wetu na majibu yake ni kama ifuatavyo. Kwa ufupi ni kwamba Ushuru wa gari yako utaamuliwa na vitu vyote vitatu yaani Bei ya gari, mwaka na model...
  7. JamiiForums Tanzania Kwa mara ya kwanza mwaka huu nimeingia Ikulu ya Magogoni

    Habari wadau..! Mwaka huu nimepata bahati ya kutinga moja kwa moja white house mjengoni pale Magogoni, asikwambie mtu ikulu patamu. Wapo wanaosema 2025 mama hatagombea mimi nawaambia ni uongo, yaani hata ningekuwa mimi nisingekubali kuondoka kirahisi mjengoni kuna raha. Mama atagombea na...
  8. F

    JamiiForums Tanzania Mwaka wa kwanza wanaripoti UDsm na Ardhi lini?

    Habari wadau. Mwaka wa kwanza wanaripoti chuo lini?
  9. JamiiForums Tanzania Mbowe alijichimbia kaburi la kisiasa mwaka 2015

    Kitendo cha kufanya sarakasi za kisiasa na kumfanya Lowassa mgombea mwaka 2015 ni laana ambayo haitamuacha Mbowe. Watu tuliyoa uhai kwa ajili ya chama lakini tamaa ya pesa ikamfanya akaribishe uchafu Tuhuma lukuki za kifisadi kutafuna michango ya makamanda hii nayo ni laana. Hii laana...
  10. JamiiForums Tanzania Hii ilikuwa mwaka 2008, shule ya bweni ya wavulana "Bwiru boys sec" walitucharaza bakora

    Tulicharazwa bakora na wanafunzi wa sekondari ya bweni "Bwiru Boys". ILIKUWA HIVI... Kulikuwa na upinzani mkali wa kabumbu kwa timu za shule kati ya shule yetu ya sekondari yaani "KITANGIRI SEC" na shule ya bweni ya wavulana yaani "BWIRU BOYS SEC". Bwiru Boys wana viwanja viwili vya mpira...
  11. JamiiForums Tanzania Mada za mwaka huu na experience yangu humu wakati nipo single

    Humu mada nyingi nizakuachwa. Umri sio tatizoo tatizoo ni kuwa makini katika uchaguzi . Mke mwema huja mwenyewe asilimia kubwa tatizo hao mnawapuuzia mnaishia kupata wanawake ambao bila hela wewe sio kitu. Mwanamke anayekupenda niyule ambaye ukiishiwa anakujali hata kimawazo hakukimbii. Wakati...
  12. JamiiForums Tanzania Babu Tale: Naweka V8 ya mwaka 2020, Mwakinyo apigane na Kiduku

    Mbunge wa Morogoro Kusini, Khamis Tale maarufu kama Babu Tale amesema ataleta gari aina ya V8 ya mwaka 2020 ili kuwashindanisha Hassan Mwakinyo na Twaha Kiduku Maneno hayo ameyasema baada ya Twaha kumtwanga Dulla Mbabe kwa mara nyingine, huku lengo likiwa ni kupambana na Mwakinyo Mwakinyo...
  13. JamiiForums Tanzania Naukumbuka mwaka wa 1957

    NAUKUMBUKA MWAKA WA 1957 Alfajir. Baada ya sala ya Alfajir wengi wetu tukirudi nyumbani kutoka msikitini kitu cha kwanza, Bismillah mkono unakwenda kwenye simu kuangalia kuna ujumbe gani. Mimi simu yangu kuna program moja hata sijui imeingiaje lakini siichukii kwani hunipa mengi katika yale...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Katika Bajeti ya mwaka wa fedha wa 2024/2025, watafuta tozo zote huku wakidai Serikali yao ni sikivu

    Hawa watu wanajua uchaguzi bado uko mbali na ndio maana wanafanya yote haya licha ya kelele zote zinazopigwa na msitarajie watabadili chochote katika kipindi hiki(wakibadili, basi ni kidogo sana). Watachofanya ni kusubiri Bajeti ya kuelekea mwaka wa uchaguzi(Bsjeti ya 2024/2025) ndio watakuja...
  15. JamiiForums Tanzania Lissu kama una lengo la kweli la kushinda Urais 2025, basi njia hii hapa...

    Kwanza kabisa napenda kuwasalim wana jf wenzangu mliopo humu. Ama baada ya salam, niende sasa kwenye mada. Ndugu zang leo nimekuja na ushauri, au njia mbadala itakayomsaidia ndugu yetu Lisu na chama chake kuingia Ikulu kiulaini kabisa bila kutumia katiba mpya, tume huru, wala maandamano yoyote...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa CCM kuelekea uchaguzi wa Serikali za mitaa na uchaguzi mkuu wa mwaka 2025

    Ushauri kwa Chama Cha Mapinduzi kuelekea uchaguzi wa Serikali za mitaa na uchaguzi mkuu wa mwaka 2025: 1. IGP Simon Sirro aendelee kuimarisha jeshi la polisi na kuhakikisha anaendelea kutetea Chama Cha Mapinduzi, 2. Tume ya Taifa ya Uchaguzi iendelee na utaratibu wa kukata majina ya wagombea...
  17. J

    JamiiForums Tanzania Gazeti la Uhuru: Rais Samia hana wazo la kugombea Urais 2025

    Rais wa JMT Mh Samia Suluhu Hassan amesema hana wazo la kugombea urais katika uchaguzi mkuu wa 2025. Chanzo: Gazeti la CCM, Uhuru PIA, SOMA: CCM: Gazeti la Uhuru limepotosha; Rais Samia hakusema kuwa hatogombea 2025 News Alert: - CCM yasimamisha uchapishaji wa gazeti la Uhuru kwa siku 7 na...
  18. JamiiForums Tanzania Hali tete thamani ya Shilingi ya Tanzania ukilinganisha na Dola ya Marekani kwa kipindi linganifu cha mwaka mmoja uliopita (2020)

    Wanajamvi, salaam Naenda moja kwa moja kwenye point Hali halisi ya thamani ya pesa yetu inazidi kushuka kwa kasi sanaa ukilinganisha na miaka kadhaa iliopita, ukichukua takwimu za Benki kuu (BOT) kwa haraka tu utaona na kudhibitisha hayo, ukiangalia kwa mwezi July mpaka August 2020 utagundua...
  19. B

    JamiiForums Tanzania Mwaka mmoja baada ya uchaguzi wa 2020, CCM Bado inakwamishwa au imekwama?

    CCM walituambia upinzani wa kupinga kila kitu umekwamisha maendeleo Kati ya 2015 Hadi 2020. Wakaamua kusiwe na uchaguzi kuwe na uchafuzi. Leo hii tunaelekea mwaka mmoja toka wakae wenyewe kwenye kila secta naikiwemo Bungeni. Kwa maoni yako ni kweli wapinzani walikuwa wanawakwamisha au...
  20. JamiiForums Tanzania Lionel Messi akubali kujiunga na PSG kwa mkataba wa miaka miwili, kulipwa £ milioni 25 kwa mwaka

    Messi (34) amekubali kujiunga na PSG baada ya kuondoka katika Klabu ya FC Barcelona aliyoichezea kwa miaka 21 Inaelezwa atasaini mkataba wa miaka 2 wa thamani ya kulipwa Paundi Milioni 25 (baada ya kodi) kwa mwaka. --- ✍Lionel Messi amefikia makubaliano na PSG kujiunga nao akiwa mchezaji huru...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…