mwaka

"Mwaka Moon" is a song by French rapper Kalash featuring Damso and Sfera Ebbasta released in October 2017. The song reached number one on the French Singles Chart.

View More On Wikipedia.org
  1. C

    JamiiForums Tanzania Wana simba tukiingia robo fainali CAFL mwaka huu tuchinje tembo kabisa na kufanya party kubwa

    Yes ndiyo nimesema kwa sababu ya mechi ya utopolo, nimegundua tu kwamba mzungu wetu ni very stubborn yaani ana ka system chake fulani hakana plan b Tusijipe ugonjwa wa moyo kwamba eti nusu fainali WE SHOULD FORGET ABOUT IT hii ngoma inaweza kufia makundi kabisa hata robo fainali tukifika tuombe...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Kwa Yanga hii ubingwa wa mwaka huu wanauchukua

    Hongereni sana Timu ya Wananchi(Dar Young Africans). Mchezo mliouonyesha imeonyesha kuwa Timu ya Simba bado sana na inabidi wajipange kisawasawa. Usajili wa mwaka huu kweli kama mashabiki tumeridhika sana. Ubingwa mwaka huu ni wetu kinachotakiwa ni kuongeza juhudi. HONGERENI SANA.
  3. HUKU ABROAD

    JamiiForums Tanzania Upewe million ukae Mwaka mzima bila kutumia simu, utaweza?

    Millioni ipo mfuko wa shati hakuna kuingia jamiiforum , Facebook , Instagram wala kupiga simu kwa mtu yoyote yaani simu ikae flight mode mwaka mzima utaweza weweeee
  4. MSAGA SUMU

    JamiiForums Tanzania Rick Ross na Trina mwaka 2002

  5. TheDreamer Thebeliever

    JamiiForums Tanzania PICHA: Cheti cha chanjo dhidi ya pandemic kipindi cha utawala wa Sultan Abdulhamid II wa Ottman mwaka 1908/1326 AH

    Habari wadau...! Katika pita pita zangu maktaba nimekutana na hii document ya chanjo kumbe haya mambo ya kuchanjana yalianaza kitambo sana sasa sijuhi hawa wanaokataa kuchanja wanapata wapi ujasiri. Chanjo ilikuwa dhidi ya ugonjwa wa Plague ugonjwa ulisumbua sana dunia ukaenea Afrika mpaka...
  6. Its Pancho

    JamiiForums Tanzania Tuambie hapa orodha ya ma DJ's waliofanya poa mwaka huu

    Mwaka ukiwa unaishia hivyo kwa wapenzi wa burudani yaani music na wale wa bata batani, viwanja. Hebu weka top 3 yako hapa ya ma dj waliofanya powa na kukurusha kama sio kukukonga nyonyo na hata kupelekea unywe bia nyingi kama sio kitimoto kilo 2. Ni vizuri pia tukikumbuka mchango wa hawa watu...
  7. Mr Dudumizi

    JamiiForums Tanzania Hawa ndio Wapinzani wanaoweza kui-challenge CCM mwaka 2025

    Habari zenu ndugu zangu, Ndugu zanguni kama ilivyo ada mgombea wa chama nilichokitaja hapo juu ameshafahamika. Sasa hawa ni baadhi wa wapinzani ambao ikitokea wakachaguliwa na vyama vyao kuviwakilisha katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2025, basi wanaweza kum challenge japo sio kumshinda mgombea...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Rais Samia anavyowaandaa wanawake wamchague mwanamke 2025, vyama pinzani navyo viruhusiwe kufanya siasa kupambana na huyo Mwanamke

    Rais ametangaza rasmi kwamba wanawake watakuwa na kazi yakumpata Rais mwanamke 2025 means kwa kauli hii amewaambia chama chake kwamba mgombe atakuwa mwanamke aidha yeye au mwanamke mwingine. Hii inatoa tafsiri ya wazi kwamba wanaume kwa upande wake awataruhusiwa kupambana na mwanamke...
  9. D

    JamiiForums Tanzania COSOTA kuanza kuchaji mirahaba desemba mwaka huu

    COSOTA imesema wasanii watapata 70% na serikali itachukua 30% ya mirahaba itakayokusanywa kutoka kwenye vituo vya redio, TV na maeneo mengine yanayocheza nyimbo za wasanii kuanzia Desemba 2021. Serikali imeeleza hiyo 30% itaiwezesha kufika maeneo mengi zaidi kukusanya fedha hizo.
  10. F

    JamiiForums Tanzania Vodacom hawajatoa gawio la hisa mwaka huu, shida nini?

    Kampuni ya mawasiliano kwa njia ya simu za mikononi Vodacom, hawakutoa gawio kwa wana hisa wake, shida nini? Ni kawaida kutoa gawio mwezi June au July, lakini mwaka huu hakuna kitu. Kunanini Vodacom?
  11. Wa Katutura

    JamiiForums Tanzania Mwenye Rangerover ya mwaka 1988-1994

    Ina hitajika aina hii ya Land rover Rangerover
  12. M

    JamiiForums Tanzania Kukaa na line ya simu nje ya nchi kwa zaidi ya mwaka bila kufungiwa

    Wadau, Kwa wenye ufahamu naomba kujua ikiwa nataka kusafiri na line ya simu (sim card), nifanyeje ili niweze kukaa nayo nje ya nchi kwa muda mrefu bila kufungiwa. Natanguliza shukrani
  13. J

    JamiiForums Tanzania Dodoma: Rais Samia anazindua Mkakati wa Uhamasishaji wa Sensa ya Watu na Makazi 2022

    Tukio liko mubashara ITV, TBC na Channel ten Rais Samia anazindua zoezi la uelimishaji na uhamasishaji wa sensa ya watu na makazi 2022 katika uwanja wa Jamhuri Dodoma. ===== Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema bila kuwa na hesabu au takwimu sahihi, haiwezekani kugawa rasilimali na...
  14. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Uzi maalum wa kusherehekea ushindi wa kombe la Dunia (FIFA) utakochukuliwa na Tanzania mwaka XXXX

    Uzi huu utakuwa ni maalum kwa waTanzania wote duniani kote kusheherekea ushindi wa Kombe la dunia la mpira wa miguu linaloandaliwa na FIFA kila baada ya miaka mi4. Hata kama ni mwaka 2500 au mwaka 2900, potelea mbali, cha msingi huu uzi utunzwe hadi kipindi hicho ambapo tutakuwa tumelibeba...
  15. MK254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kali ya mwaka; Kenya Overtakes US as World Leader in Crypto Trade

    Tuko front kwenye yote na vyote, chochote kinachohusu matumizi ya ubongo. Kenya has emerged among countries to watch globally after a report by Chainalysis ranked it top in peer to peer (P2P) cryptocurrency trading. The report published on August 18, indicated that Kenya was the leading...
  16. mahunduhamza

    JamiiForums Tanzania Hali halisi ya pato halisi (GDP) la Tanzania

    Katika kipindi cha mwaka 2001-2010 pato halisi la Tanzania(GDP) limeonyesha kiwango cha wastani wa kukua cha 7%. Ukuaji ulishuka mwaka 2009 na kuwa 6.0%, hasa kutokana na kudorora sana kwa ukuaji wa uchumi duniani. Hata hivyo ulirudia kwenye 7% mwaka 2010. Sekta zilizoonyesha viwango vya...
  17. Masai wa Town

    JamiiForums Tanzania Ni mwaka wa tatu sijapata kitambulisho cha NIDA

    Nilijiandikisha NIDA tangu March,2019. Mwaka Jana 2020 nikapata namba, nikaambiwa kitambulisho Bado. Mwaka huu nimefuatilia sana naambiwa tu subiri kikiwa tayari utapigiwa simu. Mbaya zaidi watumishi wa pale wala lugha mbaya sana. Ukiuliza swali kwa ustaarabu wanakujibu kama ugomvi vile. Eti...
  18. E

    JamiiForums Tanzania IET na ERB zinatuangusha wahandisi

    Wahandisi tutoke vipi? taasisi ambazo zingekuwa zinatusaidia tupige hatua zimesinzia kabisa. Kazi yao ni kuandaa safari za kutalihi tu kwenye miradi. Mimi nilitegemea labda tusikie taasisi hizi zikipendekeza namna gani jamii inaweza kuwatumia wataalamu Mimi nilitegemea kusikia labda...
  19. KIMOMWEMOTORS

    JamiiForums Tanzania ELIMIKA: TRA wanaangalia Mwaka au Bei au Model?

    TRA WANAANGALIA BEI YA GARI AU NI MWAKA NA MODEL TU? Na Kimomwe Motors (T) Ltd- Waagizaji Magari Swali hilo muhimu liliulizwa na mmoja wa wadau wetu na majibu yake ni kama ifuatavyo. Kwa ufupi ni kwamba Ushuru wa gari yako utaamuliwa na vitu vyote vitatu yaani Bei ya gari, mwaka na model...
  20. TheDreamer Thebeliever

    JamiiForums Tanzania Kwa mara ya kwanza mwaka huu nimeingia Ikulu ya Magogoni

    Habari wadau..! Mwaka huu nimepata bahati ya kutinga moja kwa moja white house mjengoni pale Magogoni, asikwambie mtu ikulu patamu. Wapo wanaosema 2025 mama hatagombea mimi nawaambia ni uongo, yaani hata ningekuwa mimi nisingekubali kuondoka kirahisi mjengoni kuna raha. Mama atagombea na...
Back
Top Bottom