Vodacom hawajatoa gawio la hisa mwaka huu, shida nini?

Freed Freed

JF-Expert Member
Jun 27, 2017
6,224
6,468
Kampuni ya mawasiliano kwa njia ya simu za mikononi Vodacom, hawakutoa gawio kwa wana hisa wake, shida nini?

Ni kawaida kutoa gawio mwezi June au July, lakini mwaka huu hakuna kitu.

Kunanini Vodacom?
 
Vodacom ni shirika mfu hilo,hamna pesa tena pale

Hata hayo magawio ya nyuma ilikuwa Mwendazake anachota hazina anaanda hafla anazikabidhiwa tena
 
Back
Top Bottom