mwaka

"Mwaka Moon" is a song by French rapper Kalash featuring Damso and Sfera Ebbasta released in October 2017. The song reached number one on the French Singles Chart.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Mkataba wa Versailles uliomaliza WWI ilipotiwa sahihi mwaka 1919

    Mkataba huu ulitiwa sahihi miaka mitano baada ya kifo cha Archduke Franz Fernand aliyekua mrithi wa Ufalme wa Hungary, Bosnia na Austria, hii ilikua falme moja kabla ya mgawanyiko. Sababu ya mauwaji ilikua vuguvugu la wanafunzi wa Bosnia waliotaka Bosnia iwe huru kutoka katika utawala wa...
  2. JamiiForums Tanzania Mwaka 2020 askari polisi 13 waliuawa wakitekeleza majukumu ya kulinda raia

    Polisi wana kazi ngumu ya kulinda raia na mali zao, kubaini na kuzuia uhalifu, kukamata na kuwalinda wahalifu hadi wanapofikishwa mahakamani pia kulinda amani ya nchi. Hata hivyo takwimu za makosa ya uhalifu januari hadi disemba 2020 zinazotolewa na NBS zinaonesha mwaka 2020 polisi 13 waliuawa...
  3. JamiiForums Tanzania Hii nyumba ilijengwa mwaka 1509 katika kijiji cha Argentan, Ufaransa

  4. JamiiForums Tanzania Hivi kuna limit ya kiasi ambacho Serikali inaweza kukopa kwa mwaka?

    Kawaida serikali hasa za kidemokrasia zinapenda sana kukopa. Wanakopa na kutumia watakavyo wakijua watakaolipa madeni ni wengine kabisa. Huu ni mfumo mbaya sana kama hakuna udhibiti. Sasa kwa nchi yetu, je, kuna limit ya kiasi cha pesa ambacho serikali inaruhusiwa kukopa? Au kuna limit kwa...
  5. C

    JamiiForums Tanzania Edouard Mendy vs Mohamed Salah Mchezaji bora wa Mwaka Afrika nan anastahili?

    NAWEKA MJADALA MEZANI: Bila ya kuweka ushabiki mbele, hivi kati ya Golikipa wa Chelsea Edouard Mendy na mshambuliaji wa Liverpool Mohammed Salah yupi anastahili kupata tuzo ya mchezaji bora wa mwaka katika bara la Afrika 2021?
  6. JamiiForums Tanzania Matukio ya Mapinduzi barani Afrika ndani ya Mwaka 2021

    Katika muda wa mwaka mmoja, wanajeshi wametwaa mamlaka katika nchi tatu kusini mwa jangwa la Sahara. Wanajeshi wa kikosi maalumu walipindua serikali ya kiraia ya Mali ambapo Kanali Assim Goita alijitangaza rais. Miezi michache baada ya Kanali Goita kuongoza mapinduzi Mali, wanajeshi walitwaa...
  7. JamiiForums Tanzania Jenerali Ulimwengu: Mtanzania anamkagua vizuri zaidi mbuzi wa kuchinjwa kesho kuliko anavyomkagua kiongozi atakayemtumikia kwa miaka 5

    Sikiliza…..
  8. JamiiForums Tanzania Matokeo ya CO mwaka wa pili yashikiliwa NACTE Tanzania nzima

    Taarifa rasmi ni kwamba matokeo ya mwaka wa pili ya udaktari CO yameshikiliwa NACTE kwa vyuo vyote vya afya baada ya kusemekana paper kuvuja Tanzania nzima pamoja na marking scheme kupelekea GPA kuwa juu mnoo! Yaaan madogo wangekuwa washachomoka! Maoni yangu serikali KWANZA ibaini chuo...
  9. G

    JamiiForums Tanzania Gerson Msigwa: Ndege nyingine 5 kufika kabla ya mwaka 2023, zimelipiwa keshi

    Namsikiliza Gerson Msigwa katika kipindi cha the Big Agenda anasema serikali imetoa order ya kutengenezewa ndege nyingine tano ambapo zote zitakuwa zimewasili kabla ya mwaka 2023. Ameongeza kwa kusema zimelipiwa kabisa. My take. Hii nchi aliyeturoga kafa. Tuna midege tuliinunua haijawahi...
  10. JamiiForums Tanzania Serikali iangalie upya suala la usajili wa meli za kigeni baada ya kusitishwa mwaka 2018

    Usajili wa Meli (Ship registration) hiki ni kitendo Cha kuipa meli uraia katika nchi Fulani na kurusiwa kutumia bendera hiyo iwapo baharini. Meli iliyosajiliwa na Tanzania italazimika kufata Sheria na katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Mfano endapo meli itakiuka jambo lolote itaadhibiwa...
  11. JamiiForums Tanzania Tuongee kiume: Kwanini mipango inayowekwa mwaka mpya haitimii?

    Tunakwenda kumaliza mwaka, vipi nikikwambia kuna mahali sasa hivi yupo mwanaume mwenzetu anakula viapo, anajiambia mwakani naacha pombe, au naacha sigara, au naacha mambo ya wanawake, michepuko na nyumba dogo, au naacha mambo ya kufuatana na marafiki kama mtoto wa sekondari, au mwakani naacha...
  12. JamiiForums Tanzania Nitashangaa kama hizi degree na mwaka huu zimepewa wanafunzi

    Hizi degree hapa chini hazina kazi tena mtaani, kumsomesha mwanao ama serikali kukubali vijana wake wazisome basi ni uhujumu rasilimali-vijana. Hizi zinatakiwa zibaki kwa wale wanaoenda ku-upgrade tuu. Huwezi kuruhusu nguvu kazi ya taifa ikapoteze miaka 3/4 kwenye maarifa ambayo ni useless ama...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Jarida la Muslim 500 lamtaja Rais Samia kama Mwanamke wa mwaka mwenye ushawishi mkubwa kwa 2022

    Jarida maarufu nchi Uturuki na Ulaya la “The Muslim 500” limemtaja Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan kama kiongozi bora Mwanamke wa Mwaka mwenye ushawishi Duniani kwa Mwaka 2021-21. Jarida la “The Muslim 500” hutoka kila baada ya Mwaka mmoja na husomwa Dunia...
  14. JamiiForums Tanzania Mtaa wa Fugerrei haujapandisha bei ya nyumba kwa miaka 500, ukilipa dola 1 unakaa mwaka mzima

    Nyumba zilizoko Fuggerei, Augsburg Ujerumani zilijengwa mwaka 1521 na Jacob Fugger ambapo tangu hapo hadi leo bei ya kuishi humo haijapanda. Unalipa dola 1 (Tsh. 2300) kukaa mwaka mzima. Masharti ya kukaa kwenye nyumba hizo ni lazima uwe mkatoliki, umuombee Jacob Fugger mara tatu kwa siku, pia...
  15. JamiiForums Tanzania UN: Mlima Kilimanjaro hautakuwa na barafu mwaka 2040

    Umoja wa Mataifa(UN) umeripoti kuwa kasi ya barafu kuyeyuka katika milima ya Afrika Mashariki hakutakuwa na mlima utakaobaki na barafu kileleni kufikia mwaka 2040. Milima yenye barafu Afrika Masharini ni Kilimanjaro(Tanzania), Ruwenzori(Uganda) na Mlima Kenya. UN inatoa wito kwa nchi kupunguza...
  16. JamiiForums Tanzania Arusha: Rais Samia atoa TZS 520BL sawa na 80% ya bajeti nzima ya maji ya Taifa ya mwaka

    Hakika mahaba ya Rais Samia kwa watu wa Kaskazini usipime, ametoa TZS 520BL za maji Arusha ikiwa ni zaidi ya 80% ya bajeti nzima ya maji ya Taifa ya mwaka. " Hakuna kama Samia " Hakika kasi ya Rais Samia Suluhu Hassan haikamatiki,Rais ametoa Jumla ya Tshs 520BL zaidi ya 80% ya bajeti nzima ya...
  17. JamiiForums Tanzania Bodi ya mikopo (HESLB) yawapangia wanafunzi 37,731 mkopo awamu ya kwanza kwa mwaka 2021/2022

    Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) imetangaza leo (Jumapili, Oktoba 17, 2021) orodha ya Awamu ya Kwanza yenye wanafunzi 37,731 wa mwaka wa kwanza waliopangiwa mikopo yenye thamani ya TZS 99.9 bilioni kwa mwaka wa masomo 2021/2022 unaotarajiwa kuanzia wiki ijayo. Mkurugenzi...
  18. JamiiForums Tanzania Wanaotathimini Umaskini Mkoa wa Kagera waongo. Ukikusanya nyumba zote zilizojengwa mwaka 2015-2021 unapata mji wa Arusha

    Wana Jf Nimefanya ziara ya kiutafiti wa sehemu inayoweza kustawisha zao la kibiashara kwa ubora wa juu. Nilishangazwa kukutana na maendeleo yaliyopo mkoa wa kagera. Hususani nyumba za kifahari ambazo ukikusanya unaweza kupata mji wa Arusha. Nlijiuliza kwanini wahaya hawajengi mji. Kumbe wana...
  19. JamiiForums Tanzania Dear Nyerere hatujalipwa mafao yetu na nauli zetu toka mwaka jana mwezi wa kumi na moja

    Dear Nyerere tunakukumbuka Baba yetu, ulale mahala pema peponi. Baba PSSSF chini ya Serikali iliyopo madarakani haijatulipa MAFAO yetu sisi na ma Askari Polisi tulio staafu mwezi wa 11 Mwaka jana hadi leo hii tarehe 14/10/2021 zikiwemo na Nauli ambazo zipo kisheria kwamba tupewe turudi...
  20. R

    JamiiForums Tanzania Kongamano la uwekezaji katika sekta ya misitu kufanyika Iringa Novemba 10 - 12

    Mkoa wa Iringa ambao una miliki 40% ya misitu ya nchini Tanzania unatarajiwa kufanya Kongamano kubwa la wawekezaji na wadau wa sekta ya misitu tarehe 10 hadi 12 Novemba 2021. Akizindua maandalizi ya Kongamano hilo Mkuu wa Mkoa wa Iringa Mh Queen Sendiga alisema ‘’ Mkoa wa Iringa ni kinara wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…