Mtaa wa Fugerrei haujapandisha bei ya nyumba kwa miaka 500, ukilipa dola 1 unakaa mwaka mzima

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Feb 24, 2012
5,009
9,874
Nyumba zilizoko Fuggerei, Augsburg Ujerumani zilijengwa mwaka 1521 na Jacob Fugger ambapo tangu hapo hadi leo bei ya kuishi humo haijapanda. Unalipa dola 1 (Tsh. 2300) kukaa mwaka mzima.

Masharti ya kukaa kwenye nyumba hizo ni lazima uwe mkatoliki, umuombee Jacob Fugger mara tatu kwa siku, pia wakazi hutakiwa kuwa nyumbani saa nne usiku, zaidi ya hapo mageti hufungwa.

Fugger aliyekuwa tajiri wa kipindi hiko alijenga nyumba hizo ili kuwasaidia wasio na uwezo (Giving back to the community)

shutterstock_510388300-650x434.jpg
 
Nyumba zilizoko Fuggerei, Augsburg Ujerumani zilijengwa mwaka 1521 na Jacob Fugger ambapo tangu hapo hadi leo bei ya kuishi humo haijapanda. Unalipa dola 1 (Tsh. 2300) kukaa mwaka mzima

Masharti ya kukaa kwenye nyumba hizo ni lazima uwe mkatoliki, umuombee Jacob Fugger mara tatu kwa siku, pia wakazi hutakiwa kuwa nyumbani saa nne usiku, zaidi ya hapo mageti hufungwa

Fugger aliyekuwa tajiri wa kipindi hiko alijenga nyumba hizo ili kuwasaidia wasio na uwezo (Giving back to the community)

shutterstock_510388300-650x434.jpg
Hapo ni mwendo wa house party tu na music in low voice
 
Sipati picha hizi nyumba zingekua bongo. Baada ya huyo fugger kufariki' NHC wangeshajimilikisha kitambo sana halafu wawaambie masikini kua nyumba hizo ni kwaajili yao na kodi ni nafuu kabisa. Milioni 80 tu unakaa daima.

Sent from my SM-J530F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom