Nitashangaa kama hizi degree na mwaka huu zimepewa wanafunzi

Jerlamarel

JF-Expert Member
Sep 14, 2021
843
2,517
Hizi degree hapa chini hazina kazi tena mtaani, kumsomesha mwanao ama serikali kukubali vijana wake wazisome basi ni uhujumu rasilimali-vijana. Hizi zinatakiwa zibaki kwa wale wanaoenda ku-upgrade tuu.
Huwezi kuruhusu nguvu kazi ya taifa ikapoteze miaka 3/4 kwenye maarifa ambayo ni useless ama tayari soko liko saturated nayo, ni heri hiyo nguvu kazi ungeipeleka ikasomee japo ufundi mbalimbali japo kwa mwaka mmoja kisha wawezeshwe waanze kuyakabili maisha mtaani.

1. Degree ya Ualimu wa Masomo ya Sanaa
2. Degree ya Uuguzi na Ukunga
3. Degree za Masomo ya Sanaa
4. Degree ya Somo la Historia

Hizo ni kwa uchache tuu lakini vyuo vingi vinatoa degree ambazo kimsingi zilitakiwa zitolewe na chuo kimoja tuu ambacho kingetosheleza soko la ajira kwa kozi husika.​
 
Elimu ni haki ya mtu siyo chaguo la Serikali kwa watu.

Kila mtu ana haki kujielimsha bila kupangiwa na yeyote au Serikali
Yes uko sahihi kabisa.

Hata darasa la saba pia ni elimu, csee ni elimu pia, acsee ni elimu pia.

Ila elimu ya chuo ni tofauti na hizo level hivyo serikali ina matakwa ya ku-intevene kwa ajili ya wellbeing ya wanaosoma na taifa kwa ujumla.
 
Hizi degree hapa chini hazina kazi tena mtaani, kumsomesha mwanao ama serikali kukubali vijana wake wazisome basi ni uhujumu rasilimali-vijana. Hizi zinatakiwa zibaki kwa wale wanaoenda ku-upgrade tuu.
Huwezi kuruhusu nguvu kazi ya taifa ikapoteze miaka 3/4 kwenye maarifa ambayo ni useless ama tayari soko liko saturated nayo, ni heri hiyo nguvu kazi ungeipeleka ikasomee japo ufundi mbalimbali japo kwa mwaka mmoja kisha wawezeshwe waanze kuyakabili maisha mtaani.

1. Degree ya Ualimu wa Masomo ya Sanaa
2. Degree ya Uuguzi na Ukunga
3. Degree za Masomo ya Sanaa
4. Degree ya Somo la Historia

Hizo ni kwa uchache tuu lakini vyuo vingi vinatoa degree ambazo kimsingi zilitakiwa zitolewe na chuo kimoja tuu ambacho kingetosheleza soko la ajira kwa kozi husika.​
Kuna watu hapo wanapoteza muda wao.
 
Elimu ni haki ya mtu siyo chaguo la Serikali kwa watu.

Kila mtu ana haki kujielimsha bila kupangiwa na yeyote au Serikali
wafanyabiashdara mnajulikana tuu, mmeifanya elimu biashara mpate wanafunzi, ili muendelee kulipwa mishahara minono sio eeee.
 
Mimi nashauri vijana wasome hadi kidato then waende VETA kusomea skills mbalimbali zitakazo weza fanya ajiajiri kwa urahisi.. skills kama ufundi ujenzi, carpentry, kuchomelea, ufundi magari na pikipiki nk
Hii ndio mbinu bora ya kukomboa kizazi cha sasa!
 
miaka ya nyuma ndugu yangu mmoja aliwahi kuhitimu hiyo degree pale chuo cha mwalimu nyerere, kigamboni.

anajijutia mpaka leo.mapema sana akajiingiza kwenye kazi ndogondogo za kuiiajiri. kwa sasa yupo kitaa ana survive na maisha.
Mtu anakosa Exposure analaumu elimu. Elimu ni Sawa na funguo, usipoingiza kwenye kitasa na kuzungusha mlango haufunguki
 
Elimu ni haki ya mtu siyo chaguo la Serikali kwa watu.

Kila mtu ana haki kujielimsha bila kupangiwa na yeyote au Serikali
Elimu ni haki ya mtu lkn pia nchi inaweza kuwa na Strategic plan ya kuzalisha wataalum mbalimbali kwenye sekta flani...

mfano huwez sema kuwa unataka ukuaji wa teknolojia nchini ikiwa unazalisha watu wa hovyo wa sosholoji, sanaa, na upuuzi mwingine Badala yake wanaweza wakaongeza gepu kweny masomo ya engineering na ufundi sanifu(techician) ili vijana kazi waweza kujaza taifa la wataalum kwa maana ya slogan "TANZANIA YA VIWANDA " Invention zikawa nyingi mfano pale chuo cha DIT

N:B mtazamo wangu ewe mwenye degree ya ualimu usilete povu apa..

Sent from my Infinix X683 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom