UN: Mlima Kilimanjaro hautakuwa na barafu mwaka 2040

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Feb 24, 2012
5,006
9,872
Umoja wa Mataifa(UN) umeripoti kuwa kasi ya barafu kuyeyuka katika milima ya Afrika Mashariki hakutakuwa na mlima utakaobaki na barafu kileleni kufikia mwaka 2040.

Milima yenye barafu Afrika Masharini ni Kilimanjaro(Tanzania), Ruwenzori(Uganda) na Mlima Kenya.

UN inatoa wito kwa nchi kupunguza uzalishaji wa hewa ya kaboni, pia wameshauri nchi zinazoendelea zisamehewe madeni ili kutumia fedha kupambana mabadiliko ya tabia nchi.

=======

East African glaciers will disappear in the next two decades because of climate change, a new United Nations (UN) backed report warned Tuesday.

The report from the World Meteorological Organisation and other agencies, released ahead of the UN climate conference in Scotland that starts October 31, forecast that at current rates all glaciers on Mt Kenya, Tanzania’s Kilimanjaro and Uganda’s Rwenzoris - would be gone by the 2040s.

Only three mountains in Africa are covered by glaciers: the Mount Kenya massif, the Rwenzori Mountains in Uganda, and the continent's highest Mount Kilimanjaro in Tanzania.

Even though the glaciers are too small to act as significant water reservoirs, WMO underlined their touristic and scientific importance.

Mount Kenya, an extinct volcano that is a key attraction site for tourists because of its glaciers, is Africa's second-highest peak after Kilimanjaro.

It is expected to be deglaciated a decade sooner, the WMO said, which will make it one of the first entire mountain ranges to lose glacier cover due to human-induced climate change, according to the report.

“The rapid shrinking of the last remaining glaciers in eastern Africa, which are expected to melt entirely in the near future, signals the threat of ... irreversible change to the Earth system,” WMO Secretary-General Petteri Taalas said in the report.

A report in 2017 said that the Lewis Glacier, the largest on Mt Kenya, has decreased by 90 percent in volume since 1934, with the highest rates of ice volume loss occurring around the turn of the century.

The State of the Climate in Africa 2020 report highlights Africa’s disproportionate vulnerability but also reveals how investing in climate adaptation, early warning systems, and weather and climate services can pay off.

It said climate change contributed to mounting food insecurity, poverty and displacement in Africa last year.

Apart from worsening drought which impacted agriculture, there was extensive flooding recorded in East and West Africa in 2020, the report noted, while a locust infestation of historic proportions, which began a year earlier, continued to wreak havoc.

In May this year, a separate report by British charity Christian Aid warned climate change is set to ravage tea production in Kenya, the biggest global supplier of black tea, threatening the livelihoods of millions of plantation workers and tea farmers.

The report looked at how shifting temperatures and rainfall patterns in tea-growing regions in Kenya, India, Sri Lanka and China could affect the quality and yield of the world's most popular beverage.

Kenya is highly vulnerable to climate change, with projections suggesting its average annual temperature will rise by up to 2.5 degrees Celsius between 2000 and 2050, said Christian Aid's report.

Ahead of crucial UN climate talks in Glasgow, campaigners are calling for countries to cut carbon emissions, cancel the debts of developing countries such as Kenya, and mobilise climate finance to help countries adapt.
 
utashangaa 2040 mlima unajaa barafu kupitilizaaaa

ivi ule moto wa rombo mkoani kilimanjaro umeishia wapi ama ndo tushasahauuuu ... siku unaamka asubuhi unakuta mlima kilimanjaro umezama na kutengeneza kaldera ka la ngorongoro
 
Hawa si ndio walisema Tanzania tutakufa kwa Corona maiti zitaokotwa barabarani!!?

Hakuna kitu kama hicho mwaka huu peke yake tigo wamepanda miti 28,000 kuuzunguka klm kila mwaka miti inapandwa hiyo barafu halafu hawaiweki wao.
 
Hawa si ndio walisema Tanzania tutakufa kwa Corona maiti zitaokotwa barabarani!!?

Hakuna kitu kama hicho mwaka huu peke yake tigo wamepanda miti 28,000 kuuzunguka klm kila mwaka miti inapandwa hiyo barafu halafu hawaiweki wao.
Wao ndio wazalishaji wa hewa chafu kwakis kikubwa.
 
Kwa mara ya kwanza niliona majabali ya barafu ( glaciers) nilipokua kilele cha Ml. Kilimanjaro pale Uhuru Peak.

Wakishamaliza kutoa hayo matamko hua ni kitu gani kinafuatia kuonyesha hatua za kupunguza uzalishaji wa hewa ya ukaa inayochangia mabadiliko ya tabia nchi?

Miti inaendelea kukatwa kwa ajili ya mkaa, umeme unazidi kupanda bei, gas usiguse. Uzaji wa hewa ya ukaa kutokana na viwanda unaongezeka siku hadi siku.

Hii vita inahitaji kuunganisha nguvu na kuchukua hatua za kimkakati kukabiliana na mabadiliko ya tabia nchi.
 
Kwa mara ya kwanza niliona majabali ya barafu ( glaciers) nilipokua kilele cha Ml. Kilimanjaro pale Uhuru Peak.

Wakishamaliza kutoa hayo matamko hua ni kitu gani kinafuatia kuonyesha hatua za kupunguza uzalishaji wa hewa ya ukaa inayochangia mabadiliko ya tabia nchi?

Miti inaendelea kukatwa kwa ajili ya mkaa, umeme unazidi kupanda bei, gas usiguse. Uzaji wa hewa ya ukaa kutokana na viwanda unaongezeka siku hadi siku.

Hii vita inahitaji kuunganisha nguvu na kuchukua hatua za kimkakati kukabiliana na mabadiliko ya tabia nchi.
Si kuna mwamba amegomea mkataba w Kyoto wa mwaka 2001, kila mtu kaufyata, husikii anayezungumza.

Bwawa la Nyerere hapo, wakina Januari wao ndo wakajifanya wameliumba wao lile limto na miviumbe yake, kwamba litaharibu! Mwamba akisema punguza hifadhi nataka kuchukua Uranium, yakaa kimyaa.

Leo wamesema barafu za milima ya East Africa haitakuwepo, mf mlima Kenya, Klm na Elgon kama sikosei, kesho utasikia wao ndo wataalamu wa kutuelimisha kuhusu Ozone layer, walikuwa wapi kabla, ugomvi!
 
Back
Top Bottom