mwaka

"Mwaka Moon" is a song by French rapper Kalash featuring Damso and Sfera Ebbasta released in October 2017. The song reached number one on the French Singles Chart.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania Kusubiri uchaguzi wa mwaka 2025 ni mbali sana, kuna namna tunaweza kuwaondoa madarakani hawa wanaCcm kabla hawajakomba mali za taifa letu?

    Ukweli ndio huu, mpaka tuje tufanye uchaguzi mkuu mwaka 2025 tutakuwa tumeshaumizwa sana. Maana kuna dalili za safu ya kulipiga na kulimaza kabisa hili taifa. Sasa kuna uwezekano wa kutumia bunge au nguvu ya umma wakaachia ngazi? Maana tusikubali kuibiwa na kufanywa watwana.
  2. JamiiForums Tanzania Dondoo za hatua za kupata hati ya umiliki wa ardhi hapa Tanzania kwa mwaka 2022

    Utangulizi. Cheti cha umiliki wa ardhi. Ni nakala itolewayo kwa mtu ikionyesha haki yake ya kukodishiwa ardhi husika ndani ya miaka fulani. Anayepewa hati hii anakuwa amekodishiwa ardhi na Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Ardhi hiyo husimamiwa na raisi wa Jamhuri kwa niaba ya watanzania wote...
  3. JamiiForums Tanzania CCM imetudhihirishia kuwa ni chama Dola. Rais na Spika ni watu tofauti na Taaisisi ya Urais na Bunge ni vitu vingine

    Kitendo cha Spika wa Bunge la JMT kuandika barua yenye utata ya kujiuzulu na kisha kujitokeza hadharani kutamka kumwomba radhi raisi Samia Hassan, kina maana kubwa. Job Ndugai ametojitokeza ameomba radhi na kisha amejiuzulu na kuondoka. Huyu Spika si yule marehemu Adam Sapi Mkwawa na wala si...
  4. JamiiForums Tanzania Namna ya kuwa tajiri mwaka huu, hii biashara inalipa ni kiboko huhitaji kafara!

    Zinahitajika ngozi za nyoka wafuatao; 1- kifutu 55'' to 61'' shs 380,000/= kwa ngozi 2- sawaka 155'' to 655'' shs 200,000/= kwa ngozi 3-nyoka wa kijani(boomslang) 100'' to 155'' shs 400,000/= kwa ngozi 4- koboko 255'' to 400'' shs 600,000/= kwa ngozi 5-moma 100'' to 200'' shs 300,000/= kwa ngozi...
  5. T

    JamiiForums Tanzania Iphone 14 ya mwaka 2022 kuja na notch punch hole front camera badala ya notch.

    Kuna fununu kwamba mwaka huu, 2022 Apple atatoa simu za Iphone 14 pro yenye punch hole camera cutout kama zilivyo simu nyingine za Android tofauti na notch ama dirisha kwenye simu zake za sasa. Mtindo huo mpya utakua kwenye simu za Pro ila nyingine zitabaki na notch. Kwenye design ama mitindo...
  6. JamiiForums Tanzania Uchumi wa Tanzania umekuwa kwa 5.3%,tutegemee Neema zaidi Mwaka 2022 Chini ya Rais Samia.

    Matunda ya Uongozi wa Rais SSH yaanza kuonekana kutokana na ukuaji wa Uchumi. Hongera Sana Mama juhudi zako zimeanza kuzaa matunda,Watanzania tutegemee Neema zaidi kwa miaka ijayo
  7. M

    JamiiForums Tanzania Ndugai huu mwaka kaomba msamaha mara mbili kulikoni!!!?

    Alianza kuomba msamaha wakristu wote kwa kumsingizia Yesu kwamba alikuwa na mke,wakristu walimsamehe!!! Mara nyingine kagusa pabaya,,amejaribu kumdharau rais kisa tu ni mwanamke hapa mfumo dume umemponza,,, ameomba msamaha ila naona msamaha umedunda!!! Je,ataomba msamaha kwa lipi tena???
  8. L

    JamiiForums Tanzania Waziri wa mambo ya nje wa China afanya ziara ya mwanzo wa mwaka barani Afrika

    Waziri wa mambo ya nje wa China Bw. Wang Yi anafanya ziara yake ya kwanza ya kidiplomasia barani Afrika mwaka huu, ziara ambayo imekuwa ni desturi kwa waziri wa mambo ya nje wa China kwa miaka 32. Ziara hii inafanyika ikiwa ni sehemu za mpango wa muda mrefu wa China wa kuimarisha uhusiano wa...
  9. JamiiForums Tanzania Zoa zoa ya bure mwaka mpya

    BAADHI ya majina ya mastaa wakubwa kabisa kwenye soka yatakubali kujiunga na klabu yoyote wanayotaka kuanzia keshokutwa Jumamosi na hakuna kitu kitafanywa na klabu zao za sasa kuzuia jambo hilo. Kylian Mbappe, Paul Pogba na Gareth Bale ni baadhi ya masupastaa wa soka la dunia kwenye orodha hii...
  10. JamiiForums Tanzania Hapo zamani, unakumbuka nini?

    Mwaka wa baraka
  11. JamiiForums Tanzania Dkt. Charles Kimei: Bajeti ya Kwanza ya Rais Samia ni ya kuanzia mwaka wa fedha 2022/2023

    Akishiriki mjadala wa Mizani ya Wiki inayorushwa na Azam TV via Channel ya UTV Kuhusu hotuba ya Rais Samia,amesema bajeti inayotekelezeka sasa ilikuwa tayari imeshapangwa hapo kabla. Kwa muktadha huo basi akasema wananchi wasubirie bajeti ya kwanza ya Rais Samia ya mwaka 2022/2023.. Wale watoa...
  12. JamiiForums Tanzania Mwaka 2021 ulikuwa ni Mwaka wa Majanga kwa Tanzania. Mwaka 2022 uwe Mwaka wa Mabadiliko, Watanzania tubadilike! Happy New Year!

    Wanabodi, Hii ni makala yangu ya Salaam za Mwaka Mpya, Imechapishwa kwenye gazeti la Nipashe la Leo. Jana ndio tumeuanza mwaka mpya wa 2022, hivyo nianze kwa kuwatakia heri ya mwaka mpya wasomaji wangu na Watanzania wenzangu, “Happy New Year”. Wakati tukitakiana heri ya mwaka mpya, sio...
  13. JamiiForums Tanzania Ushauri wangu kwako kwa mwaka 2022.

    Usimuamini yeyote chini ya jua kila mtu mchukulie kwa tahadhari. Hata mama yako mzazi usimuamini. Utakuja nishukuru siku yakikukuta. Talking from experience.
  14. M

    JamiiForums Tanzania Chama Tawala nchini Tanzania Chawatakia Wananchi wake heri ya Mwaka mpya 2022

    === Chama Cha Mapinduzi Tanzania ambacho ndio Chama Tawala cha nchi hiyo kimewatakia heri Wananchi wa nchi hiyo katika kuufika mwaka mpya wa 2022, CCM chini ya Mwenyekiti wake Mhe Samia Suluhu Hassan ambae pia ni amiri Jeshi mkuu na rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kimewatakia heri raia...
  15. JamiiForums Tanzania Computer4Sale Laptop aina mbalimbali zinauzwa

    HP MIN LAPTOP 300,000/= TU INa RAM 2 GB HDD 160 SCREEN SIZE 10.1 Refuerbished Ina Kaa na charge Masaa 10 Call Me 0716889489
  16. JamiiForums Tanzania Msaada tutani: Nimekuta hivi vidonge kwenye mkoba wa dem wangu. Je, vina kazi gan?

    Misoprostol tablets!!
  17. JamiiForums Tanzania Kufunga Mwaka 2021: Jamii Forums na kusanyiko la watoto takribani 600 wa dini mbalimbali

    Katika kufunga Mwaka 2021, Jamii Forums mnamo Desemba 30 ilidhamini kusanyiko la watoto takribani 600 wa dini mbalimbali waliokutana Magomeni jijini Dar na kula, kunywa na kucheza pamoja kwa furaha kuuaga mwaka 2021. Kusanyiko hili liliwezekana kwa kubuniwa na kuratibiwa na Padre Christian...
  18. JamiiForums Tanzania Chukua hii: 2022 ujio wa Tundu Lissu utaleta Kimbunga

    Ujio wa TL utaleta kimbuga kikubwa mno kwa Samia hasa Tundu atakapoanza zile rabsha zake za maneno ya kukwaza lkn ya kweli. Tundu ni mtu aliyenyooka na muwasilishaji hoja zake kwa ukali huku akijiamini kupitiliza na huwa hajali. Samia ajiandae kuitwa majina asiyoyatarajia. Haitashangaza Tundu...
  19. JamiiForums Tanzania Tuma salamu za Mwaka Mpya 2022 kwa members watatu wa jukwaa hili la michezo

    Mimi nawatakia heri ya mwaka mpya members wafuatao 1.Gentamycine 2.Scars 3.Renzo barbera
  20. JamiiForums Tanzania Tukio gani hautolisahau mwaka 2021?

    Naam Wakuu nadhani baadhi yetu tukiwa sehemu mbali mbali za dunia au nchini tulijaribu namna moja kuvuka kutoka 21 kwenda 22. Kila mtu akifanya kwa namna yake Kama lengo la kichwa hapo juu ni tukio gani lilikunyoosha mpaka kufikia hatua ya kutolisahau au ni tukio gani ulikutana nalo lilikuinua...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…