Kuhusu upinde wa mvua

Kuhusu upinde wa mvua

nzalendo

Platinum Member
Joined
May 26, 2009
Posts
12,894
Reaction score
14,600
Kwa masikitiko shet'ani anatumia kila kitu kinachofanana na Mwenyezi Mungu ku 'brain wash' kizazi cha sasa.

Kwa imani mbalimbali upinde wa mvua ni Agano kati ya Mungu na wanadamu,,,Rastafarian na hata Wakristo,,,,,, (Mungu hataiangamiza dunia kwa gharika),

Sunday school kulikuwa na mafundisho yakiambatana na picha za upinde wa mvua katika mafundisho ya NUhu/Gharika etc.

Kwa sasa upinde wa mvua umebakwa na kubadilishwa maana na kutumiwa na mapunga a.k.a wafira na wafirwaji (kama ilivyoandikwa katika Biblia).

Kila mtu anaogopa rangi za upinde wa mvua sababu tiyari ni alama ya hao walaaniwa,,,,shetani anapata nguvu sana katika kupokonya mema ya Mwenyezi Mungu,

sasa sijui tunafanyaje?
 
Wewe sema tu ni Bara la Giza pekee km ilivyo Rangi ya ngozi za raia wake, ndio wanaamini 🌈au 🏳️‍🌈 ni 👨‍❤️‍💋‍👨.

Tatizo, ELIMU, ELIMU, ELIMU.
 
Back
Top Bottom