Inajulika miaka mingi mvua zikianza kunyesha ukanda wa Morogoro kwa wingi wanaodhurika na maji ya mvua hizo ni wakazi wa wilaya za Liwale na Kilwa, mkoani Lindi.
Kuna wakati mvua zinasababisha barabra kuu ya Mtwara-Dar kufungwa kutokana na kukatika kwa madaraja eneo la Somanga. Sasa kwa mvua...
Wanasema ndugu zangu waislamu kutembea ni elimu ni kweli kabisa ila tuliopo nao hawa watawala wamekwenda kupiga picha.
Kuna nchi ukienda unaweza kujiuliza wanaishi vipi wakati mimi nilipotoka kuna kila kitu.
Nchi yetu ndio ufahamu pesa zinaingizwa mfukoni na mpaka leo bila msaada wa wale...
Kwa machawa utasikia "mama kafanya" haya mwambieni kuhusu maji.
Hakuna Dar es Salaam wala mikoani ni yale yale tena kanda ya ziwa ndio kabisa yani shida ya maji ni mgao.
Wizara inapitisha bajeti kubwa ila uwezi kuona inafanyia nini zaidi ya kutegemea mvua.
Hivi kama nchi ina vyanzo kila kona...
Mamlaka ya hali ya hewa kanda ya Magharibi- Tabora imesema hali ya ukavu iliyojitokeza kwa wiki mbili katika mkoa wa Tabora ni mabadiliko ya kawaida ya hali ya hewa ambayo hutokea katikati ya msimu wa masika. Akizungumza na CG FM Menena wa mamlaka ya hali ya hewa kanda ya Magharibi Tabora...
Alianza nasisi vizuri tu. Hata ile Oct 29 aliifanya kuwa siku nzuri kwa makundi yote. Waliotoka na waliotiki. Haikunyesha mvua siku hiyo.
Kisha damu nyingi sana ya wasio na hatia ikamwagwa ndani ya siku hizo tatu. Bila shaka kitendo hicho kilimsononesha na kumuudhi sana.
Usiku wa oct 31...
Wakazi wa Luponde halmashauri ya mji wa Njombe na watumiaji wa barabara ya Njombe - Ludewa wameiomba serikali kufanya marekebisho ya muda mrefu ili kuondoa adha ya magari kukwama wakati wa kipindi hiki cha mvua.
Wito huo umetolewa na baadhi ya wakazi wa Luponde akiwemo Colbina Mligo ambapo...
Salama wakuu Leo hii tarehe 21 November.
RUAHA CATHOLIC UNIVERSITY hapo Iringa Wana jambo Lao pale, graduation ya kukata na shoka sasa kwa bahati mbaya kuna mvua kubwa inaendelea kunyesha naona kabisa shughuli kuharibika.
Band maarufu kutoka Los Angels Marekani inayopiga mziki wa Hard...
Wakuu
Nimekumbuka ile dhana ya muda mrefu kuwa mvua ikinyesha basi ni ishara kuwa simba anazaa huko porini. Je wewe ulisikia nini kuhusu jambo hilo? Na je uhalisia ni upi?
Mara nyingine mungu hututendea kwa njia zisizo elezeka,tunapoingia katika siku ya maamuzi. Iwe ni uchaguzi au maandamano tunasahau kuwa nguvu kuu ya mbinguni inaweza kutuliza vishindo vyote vya binadamu. mvua ni baraka...
Baada ya Mdau wa JamiiForums.com kulalamikia eneo la Mtemi Beda, Wilaya ya Mpanda akieleza limekuwa kero kero ya muda mrefu kutokana na changamoto ya ubovu wa Barabara ya Mtaa wa Misukumilo kwenda Kitongoji cha Milala Shongo Kijiji cha Milala, ufafanuzi umetolewa sababu ya kukwama kwa mradi huo...
Kuna taarifa za kuaminika mifumo ya ulinzi wa anga ya Iran imesikika kwenye mitaa ya Tehran, Tunasikia wanaume wameshaingia huko ku Test Mitambo “ Yajayo yanafurahisha”
Radi inaweza kupiga hata kama hakuna mvua inayoonekana mahali ulipo, na hali hii huitwa "dry lightning" (radi kavu). Hii hutokea kwa sababu:
1. Radi hutokea mbali na mvua:
Radi inaweza kusafiri hadi kilomita 10–15 kutoka kwenye mawingu yanayotoa mvua.
Unaweza kuwa kwenye eneo kavu, lakini...
IWE MVUA IWE JUA, FOMU YA UBUNGE YACHUKULIWA JIMBO LA VUNJO.
Maelfu ya wananchi wa Jimbo la Vunjo wamejitokeza kwa wingi kushuhudia tukio la kihistoria la Mgombea Ubunge kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Enock Koola, akichukua fomu ya kugombea nafasi ya Ubunge.
Shughuli hiyo iligeuka kuwa...
Hii siyo ya kusimuliwa na watu niliona kwa macho yangu.
Katika mkoa wa Geita wilaya ya Nyang'hwale kata ya kafita na kijiji cha Lushimba.
Msanii wa nyimbo za Asili Bhudagala alikuwa akitoa show katika kijiji hicho.
Basi wingu zito lilitanda likiashiria mvua kubwa sana itashuka muda sio...
Naim Qassem ambaye ni kiongozi wa Hizbullah amesema kundi lake halijaona umuhimu wa kusalimisha silaha zake kwa serikali ya Lebanon wakati Israel imevunja mkataba wa kusitisha vita na inaenndelea kuishambulia Lebanon.
Katika hotuba yake kupitia televisheni,kiongozi huyo ameitaka serikali ya...
Na kamwe usidanganyike au kupotoshwa na yeyote kuhusu jambo hili muhimu sana la kitaifa my friends, ladies and gentlemen,
Tayari imekwisha amuliwa na kuthibitishwa na mkutano mkuu maalumu wa ccm Taifa, mkutano mkuu ambao ni wa juu zaidi wa maamuzi yote ya CCM ukilinganisha na mikutano au vikao...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.