R Retired JF-Expert Member Joined Jul 22, 2016 Posts 52,578 Reaction score 103,348 Mar 1, 2026 #1 Msimu ndio huu! Kuna matumaini ganinya mbua, hasa ukanda wa Pwani maana ndiko kuna shida kubwa ya mvua.
Msimu ndio huu! Kuna matumaini ganinya mbua, hasa ukanda wa Pwani maana ndiko kuna shida kubwa ya mvua.
jiwe angavu JF-Expert Member Joined Aug 28, 2015 Posts 22,464 Reaction score 43,438 Mar 1, 2026 #2 Mvua ya kutosha,mpunga tutapata
LOTH HEMA JF-Expert Member Joined Dec 6, 2015 Posts 29,654 Reaction score 47,145 Mar 1, 2026 #3 Inanyesha vizuri tu, mabwawa yamejaa maji
MAWEED Platinum Member Joined Oct 11, 2016 Posts 4,627 Reaction score 16,413 Mar 1, 2026 #4 Mwaka huu mpaka wajinga watavuna mpunga na ndio tutakapouza kilo 800