musa

  1. W

    JamiiForums Tanzania Ukistaajabu ya Musa utashangaa ya Firauni; aliyesingiziwa kufa aomba rambirambi zake huko Mtwara!

    Taharuki yatanda kwa wananchi wa kijiji na kata ya Nanganga mkoani Mtwara, baada ya kupata taarifa ya kifo cha Simon Mchekura maarufu ‘Samora’ ambaye mwili wake ulidaiwa kuokotwa na Jeshi la Polisi katika kijiji cha Nyengedi, mkoani Lindi, na kuhifadhi kwenye Hospitali ya Rufaa ya mkoa wa Lindi...
  2. mama D

    JamiiForums Tanzania Wajukuu wa Ibrahimu katika picha, Kuhani na Mwalimu Musa Richard Mwacha na Sheikh Mkuu Mufti Abubakar Zubeir

    Upendo + Umoja + Mshikamano = Amani MWANZO 17: 1-22 "Abramu akaanguka kifudifudi. Mungu akamwambia, akasema, Mimi, agano langu nimefanya nawe, nawe utakuwa baba wa mataifa mengi. Agano langu nitalifanya imara kati ya mimi na wewe, na uzao wako baada yako, na vizazi vyao, kuwa agano la...
  3. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Mbeya: Musa Pwele ashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma za Kumbaka mwanaye wa kumzaa

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linamshikilia Musa Pwele (47) Mkazi wa Jijini Mbeya kwa tuhuma za kuzini na maharimu. Kaimu Kamanda wa Polisi, ACP Christina Musyani amesema tukio hilo limetokea Mei 05, 2023 Jijini Mbeya baada ya mtuhumiwa kumtishia binti yake wa kumzaa kuwa hatampatia huduma...
  4. mama D

    JamiiForums Tanzania Kuhani na Mwalimu Musa Richard Mwacha akitoa darasa kwa mabinti na wanawake. Wanaume mnasemaje kuhusu hili!?

    Mimi nimekutana na malalamiko mengi na magomvi mengi ya mahusiano yanayotokana na hili. Hapa ndio pale mwenyezi Mungu aliwaambia wanaume waishi wanawake kwa akili. Usipotumia akili unaweza kuachwa sababu ya kukosa kazi na unaweza kuachwa sababu una kazi😁😁😁 Sisi ndio wanawake 😅😅 Cc...
  5. Katkit

    JamiiForums Tanzania Kipindi cha "Jahazi" cha Clouds FM kiongezewe muda

    Kwenu wadau... Kile kipindi cha ule utatu (Bantu, Gadner na Musa) kiukweli wamekipunja muda. Wale walevi wanafanya poa sana kudadeki zao, masaa 2 hayawatoshi kabisa. Uongozi wa CMG ulifanyie kazi hili suala. Wassalaam!
  6. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Nabii Musa hajawahi kumtaja Shetani mahali popote katika maandishi yake; Uasi ni uamuzi wa MTU na sio Shetani

    NABII MUSA HAJAWAHI KUMTAJA SHETANI MAHALI POPOTE KATIKA MAANDISHI YAKE; UASI NI UAMUZI WA MTU NA SIO SHETANI. Anaandika, Robert Heriel Kuhani Mhusika Shetani amekuwa zaidi maarufu katika vitabu vya Injili kuliko vitabu vya Torati, Zaburi na vitabu vya manabii wadogo kama kina Daniel, Yona...
  7. Kaka yake shetani

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli fimbo ya Musa iliyogeuka nyoka ilikwenda kukaa Congo ambako mpaka leo madini yanapatikana?

    Penye mali lazima kuwe nyoka. Hii haijadiliwi sana kwenye imani tulizopo nazo ila sehemu za upande wa nguvu za giza nyoka ni ishara ya utajiri na mali n.k. Kwenye pesa ishara nembo nyoka yupo,kwenye kila jambo lenye mafanikio nyoka utumika. Si wageni kusikia story au mengineyo sehemu yenye mali...
  8. mama D

    JamiiForums Tanzania Kuhani Musa Richard Mwacha ni Mwalimu bora kwa kizazi hiki kisicho na usikivu, kabla ya kukubali au kukataa tafuta kumjua na kuujua ukweli kwanza

    Niliwahi kuweka Uzi huku nikiuliza huyu mtumishi ni mtu wa aina gani, na kwa kuwa mimi napenda kufuatilia mafundisho mbalimbali yenye tija nimegundua 1. Kuhani Musa Richard Mwacha ni mtumishi wa Mungu na Mwalimu mzuri sana katika nyakati hizi kwa jamii yetu, ana mvuto au haiba ambayo inaweza...
  9. mama D

    JamiiForums Tanzania Mahubiri machungu na ya kutuponya toka kwa Kuhani na mwalimu Musa Richard Mwacha

    Vijana kuna tuition nzuri sana toka kwa Kuhani na Mwalimu Musa Richard Mwacha Mwanaume mwenye viwango vya juu kama kichwa cha familia. Big up kwa mwanaume yoyote mwenye bidii ya kazi. Eti umekula?? umekunywa maji?? Umelala??😂😂😂 Baadhi ya Watoto wa kike hawataki kutumia ubongo zao
  10. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Kuhani Musa Richard Mwacha ashitakiwe kwa kuwadhalilisha watoto wadogo

    Habari, Huyu jamaa Kuhani Musa Richard Mwacha wa Kimara temboni ni muhuni na hafai kuwa kiongozi wa dini. Kwanini nasema hivi? Kila siku ya leo ana ibada ambayo huenda mpaka saa nne hivi ya usiku. Na majira ya usiku katikati ya ibada kinawekwa kipindi cha shuhuda. Ukifuatilia kwa undani...
  11. utopolo og

    JamiiForums Tanzania Simba SC yamsajili Mshambuliaji wa Malindi, Mohamed Mussa "Manzoki wa Zanzibar"

    Klabu ya Simba almaarufu Wekundu wa Msimbazi leo imetangaza kumsajili Mshambuliaji kutoka Malindi ya Zanzibar kwa mkataba wa miaka miwili. Mchezaji huyo anayefahamika Kwa jina la Mohamed Mussa au Manzoki wa Zanzibar ndio kinara wa mabao kwenye ligi ngumu huko visiwani Zanzibar na inasemekana...
  12. DR Mambo Jambo

    JamiiForums Tanzania Does the Torah Pentateuch or Monoteuch (Je Torati ni vitabu vitano au kitabu kimoja?)

    Pengine wengine wanaweza kujiuliza nini maana ya Pentateuch. Pentateuch au "Πεντάτευχος" limetokana na lugha ya kiyunani yaani kigiriki linalomaanisha "penta" (πεντά au πεντά) yaani tano na "teuch" (τευχος) mafundisho au vitabu ama kwa lugha iliyozoeleka ni vitabu vitano vyaTorah au torati.. na...
  13. Shemasi Jimmy

    JamiiForums Tanzania Ijue Nehushtani, nyoka wa shaba aliyeabudiwa na Israeli

    IJUE NEHUSHTANI, NYOKA WA SHABA ALIYEABUDIWA NA ISRAELI. Joka la Shaba alilitengeneza Musa jangwani na kugeuka kuwa mungu wa Israeli. Na Shemasi Jimmy 0659 611 252 Bwana Yesu apewe sifa wapendwa. Ikiwa ni siku njema Bwana ametupa kibali cha kuiona siku hii ya leo, si kwa sababu sisi ni wema...
  14. I

    JamiiForums Tanzania Musa Zungu ndiye kirusi cha tozo

    Musa Zungu mbunge wa Ilala ndiye aliyependekeza na kushinikiza kuwepo kwa tozo kwa wananchi fukara wa Tanzania. Bila aibu yo yote alisimama bungeni kutoa hoja ya kuanzisha wizi wa fedha za wananchi huku yeye akiwa anaendeleza biashara zake haramu za madawa ya kulevya! Mwigulu akiwa amefikia...
  15. mama D

    JamiiForums Tanzania Kuhani Musa Richard Mwacha - Malezi mabovu, kujamiiana hovyo kunakopelekea kukataa mimba/kutelekeza watoto ni moja ya vyanzo vya panyaroad

    Kujamiiana hovyo kunapelekea kukataa mimba au kutelekeza watoto, pamoja na malezi mabovu kwenye jamii vyanzo vya panyaroad Wengi wa hawa tunaowaita panya wana baba zao na mama zao
  16. SANCTUS ANACLETUS

    JamiiForums Tanzania Maajabu ya Musa na Firauni: Tulimuona Raisi Magufuli “mshirikina” katika Suala la Uviko-19 na Sasa tunamuona “mama” Mwanasayansi katika suala la Mafut

    Ni lazima tuelezane ukweli wote watanzania. Muda wa kupewa Peremende kama Watoto wadogo kama njia ya kunyamazishana ilhali mahitaji yetu ni makubwa hayavumiliki na yanachosha.Kama ni mambo ya uchawa basi ni uchawa wa kishamba sana. Nina jambo nataka tufichuane akili. Tupeane Mangwa. Tusadiane...
  17. SANCTUS ANACLETUS

    JamiiForums Tanzania Tulimuona Raisi Magufuli “mshirikina” ktk Suala la Uviko-19 na Sasa tunamuona “mama” Mwanasayansi ktk suala la Mafuta

    Ni lazima tuelezane ukweli wote watanzania. Muda wa kupewa Peremende kama Watoto wadogo kama njia ya kunyamazishana ilhali mahitaji yetu ni makubwa hayavumiliki na yanachosha.Kama ni mambo ya uchawa basi ni uchawa wa kishamba sana. Nina jambo nataka tufichuane akili. Tupeane Mangwa. Tusadiane...
  18. L

    JamiiForums Tanzania Unapoenda kuabudu kwa kuhani Musa Kimara Temboni zingatia haya

    Iwapo unataka kwenda kuabudu kwa Kuhani Musa lazima uzingatie haya. 1. Hairuhusiwi kupiga picha au kutumia smart phone kwenye ibada. 2. Hairuhusiwi kusinzia ibadani. 3. Hairuhusiwi kuegemea kiti mbele yako. 3. Unapotoa ushuhuda salumu ni Bwana Yesu atukuzwe na sio Bwana Yesu asifiwe. Kuna...
  19. mama D

    JamiiForums Tanzania Kuhani Musa Richard Mwacha ni nani?

    Imani ni ufunuo wa Mungu kwa mwanadamu; ni ile hali ya akili ya mtu kupokea ukweli uliofunuliwa na Mungu akiambatanisha nafsi yake kwa Mungu. Kuhani Musa Richard Mwacha amejulikana kama mtumishi wa Mungu mwenye imani kwa Kristo. Na amekua na huduma yake katika jiji la Dar es salaam kwa miaka...
  20. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Ajali ya magari junction ya Salasala, Mbezi Beach na Kunduchi

    Hii imetokea leo asubuhi Salasala junction, Mbezi Beach/Kunduchi. Ile down ya Kunduchi, gari inaelekea imefeli breki.
Back
Top Bottom