Kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nawaslaimu raia wenzangu.Waziri wa afya mchengerwa tunaomba majibu juu ya huduma kwa awajawazito mkoa wa Kigoma GUNGU hospitali ya kikungu.
Hivi huduma ya kujifungua ni bure au? kwani nimepeleka mke wangu kujifungua kwa bahati mbaya hakufanikiwa...
Kuyaruhusu na kuyarahisisha maandamano, ndo mbinu nzuri ya kuzuia machafuko yanayotokana na maandamano.
Maandamano yakifanywa kuwa kitu cha kawaida kwa watanzania; basi ustaarabu wa kuandamana utajengeka kwa watanzania; kwa makundi mbalimbali kwenye jamii (wafanyakazi, wanafunzi, wazee, vijana...
Ningependa kupata muongozo, yaani kwa hapa Dsm tunakutania wapi? Au unajitokea tu kwa rodi unawasikilizia wenzio. Ningependa kupata muongozo nisije kutoka na bango langu na kuwa chambo wa mfano kwa wengine.
Na vipi siku hiyo kwa wafanyabiashara nao wanafungua biashara zao au wanafunga kuonesha...
Habari wakuu.
Nikitaka kuanzisha na kufanikiwa katika kutoa huduma ya massage nizingatie nini?
1). Kibali kinatolewa baada ya kukamilisha nini?
2). Profesional Masseuse /masseur wanakua na cheti cha level gani?Mishahara yao ikoje?
3). Natakiwa niwe na nini?
Natanguliza shukrani
1. Tunafanya kazi masaa ya ziada kama tunavyopangiwa ila cha ajabu tunakatwa malipo ya stahiki zetu. Mfano: Kama umefanya masaa ya ziada kwa siku sita unalipwa mbili tu. Hizi nne hazilipwi na hazitolewi maelezo.
2. Tunaomba Wizara ya Afya na mwajiri wetu Katibu Mkuu Kiongozi itupe muogozo na...
Anonymous
Thread
afya
bila
hospitali
katibu
katibu mkuu
katibu mkuu kiongozi
kiongozi
mkapa
mkuu
muongozo
pamoja
stahiki
watumishi
wizara
wizara ya afya
Jina langu kwenye vyeti vyangu vyote ,pamoja na nida linafanana,yan mfano john kulwa sembo,
na taarifa za jina la baba kwenye nida yake pamoja na cheti changu cha kuzaliwa ni Frank kulwa sembo je kuna athari zozote kwenye bodi ya mikopo 2025 2026
Habari jamani
Naomba muongozo wa kuuza vinywaji vikali kwa bei ya jumla mtaji wangu ni 20m wapi wanatoa mzigo na muongozo wa biashara kwa ujumla nami nianze biashara ningependa kupata mawazo yenu kwa wenye ufahamu
Habari za mchana wana jamvi naomba kuuliza vidonda vya tumbo na hylori ni vitu vinavyotegemea?namaanisha kwamba unaweza kupima h-pylori hlf kwenye kipimo iko iko doctor akagundua una vidonda vya tumbo?
Muongozo kwa Vijana ambao mmetoka Chuo na Ambao mnajiandaa kuingia katika soko la ajira /Kazi.
Ikiwa wewe ndo umetoka Chuo na unajiandaa kuingia mtaani na katika soko la ajira /kazi.
Baada ya kuhitimu masomo yako jambo la kwanza ni Kufanya ibada ya shukrani kwa Imani yako , kwakuwa katika...
Habari Zenu wakuu!!!!
Nataka anzisha biashara ya MICROFINANCE lakini Nimefanya utafiti nimeona lazima niwe na mtaji wa 20M ndo nipate kibali BOT , Sasa apa nikipiga hesabu kufikisha 20M ,Ni mpaka mwakani 2026, kwa savings zangu nazofanya kwa Sasa!
Swali Je, hii biashara huwezi kuiendesha...
Je, umekuwa ukifanya Biashara ya Madini ya Vito pasina faida au kutokuzitambua Thamani zake halisia ?
T-TanzaniteGram Blog ndio suluhisho la pekee. Nunua Vitabu vitakavyo kupatia mwongozo wa Thamani za Madini ya Vito aina zote kwa mwaka 2025.
WATAALAMU.
Thamani zilizo orodheshwa ndani mwa...
Husika na kichwa Cha Habari
Wadau naombeni muongozo hapa, je hii kitu ni sawa?
Kwenye makazi ya watu mtu nyumbani kwake anachanganya sumu Kali zenye harufu Kali za kuua wadudu mashambani na kwenye mazao , hivyo harufu inasambaa kwa majirani na watoto are present
Hivi hizi sumu si ndio...
Tanzania iko mbioni kutunga sheria na kuweka muongozo wa kutekeleza mfumo wa kitaifa wa mtandao wa simu, ujulikanao kama National Roaming.
Kupitia mfumo huu mpya, mtumiaji wa simu ataweza kuunganishwa na mtandao wowote uliopo karibu; bila kujali kampuni ya simu ambayo amesajili laini yake.
📶...
TUNAPOENDA KUANZA MWEZI JUNE; AYA HII IKUSAIDIE, IWE MUONGOZO KWAKO.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
Isaya 48:17
Bwana, mkombozi wako, mtakatifu wa Israeli, asema hivi; Mimi ni Bwana, Mungu wako, nikufundishaye ili upate faida, nikuongozaye kwa njia ikupasayo kuifuata.
Nisikie!
Mungu...
Wanabodi
Niko hapa hoteli ya Four Points by Sheraton jijini DSM kuwaletea uzinduzi wa muongozo mpya wa ufanyaji biashara wa Baraza la Taifa la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi (NEEC) ili Kurasimisha Biashara Ndogo Ndogo na Biashara ZIsizo Rasmi za Sekta Binafsi.
Karibuni
Paskali
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.