didy muhenga
JF-Expert Member
- Nov 8, 2022
- 2,106
- 3,585
Baada ya sheria ngowi kuachana na yanga, yanga walipata designer mpya ila cha ajabu hizi jersey za msimu huu ni kituko cha muongo kama sio karne kabsa. Kwenye jersey ety wameweka mwenge sa sjui unafanya nin mwenge wa kichaw wa Nyerere. Ni aibu na haujapendeza kabsa.
Ushauri wa bure mnatakiwa ukawapime ubongo wote waliopitisha hii design.
Saidia fundi
Ushauri wa bure mnatakiwa ukawapime ubongo wote waliopitisha hii design.
Saidia fundi