muongo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Manara ukiwa muongo usiwe msahaulifu, teknolojia imekuumbua

    Hata sisi wengine hatukuwa na imani na MO , na mimi nimeweka maandiko mengi sana humu kuhusu utapeli wa MO kwenye masuala ya Simba , nilikuwa Team Kilomoni (wanaofuatilia jf wanajua) , Lakini sijawahi kuisaliti Simba. Hebu jiangalie kwenye video hizi halafu utueleze yaliyokukuta.
  2. J

    JamiiForums Tanzania Mnyika atakiwa kujieleza kwa Msajili wa Vyama vya Siasa kisa kusema Rais Samia alisema uongo

    Msajili wa Vyama vya Siasa amemtaka Katibu Mkuu wa CHADEMA J J Mnyika kujieleza kufuatia kauli yake kuwa katika mahojiano ya BBC Rais Samia alisema uongo. Msajili amesema lugha hiyo dhidi ya Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania ni kinyume kabisa cha maadili. Mnyika ameandika katika ukurasa...
  3. G

    JamiiForums Tanzania Mwambieni Shaka A Shaka atulie, kazi yake siyo kumtetea na kumsemea Rais Samia

    Shaka A. Shaka tangu amepewa nafasi hiyo amekuwa bize kujibu kila mashambulizi yanayoelekezwa ama kwa rais SSH moja kwa moja au kwa serikali yake. Jana baada ya BBC swahili kurusha maoni ya J. J . Mnyika kuhusu kauli ya rais SSH wakati akihojiwa na chombo hicho hicho mara tukaona Shaka A. Shaka...
  4. hiram

    JamiiForums Tanzania Picha: Mashabiki wa PSG waiiga Yanga, wampokea Messi Airport

  5. K

    JamiiForums Tanzania Rais mtoe IGP Sirro, Watanzania hawamuamini

    IGP Sirro ni ukweli Watanzania wengi hawamuamini kuanzia kwa kutekwa kwa Mo, kupigwa risasi kwa Lissu na matukio mengine ambayo Polisi mpaka leo hawana jibu. Kuongeza imani kwa Watanzania ni wakati muafaka wa kumpumzisha IGP Sirro au umpe ubalozi. Kwa sasa Sirro anacheza kwenye rope na si...
  6. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Ni kwasababu alikuwa na Akili sana, siyo Mnafiki, Msomaji mzuri, hakuogopa Kukosolewa, alijiamini na hakuwa Muongo kama wengine

    Mkapa alikuwa haogopi mijadala ya kimataifa- Rais @SuluhuSamia Chanzo: EastAfricaTV Ninachojua tu GENTAMYCINE ni kwamba Siku zote ukiwa na Akili sana, Unajiamini, Msomi na Msomaji mzuri wa Vitabu, una 'Exposure' ya Kutosha, siyo Mnafiki wala Muoga, Mcha Mungu hasa na siyo Mchanganya Mungu na...
  7. Mtoto wa Nyerere

    JamiiForums Tanzania Magufuli alikuwa muongo sana

    Ni lini mishahara ililipwa tarehe 15 au 20 ya mwezi unaofuata? Mimi sikumbuki aisee kwenye utawala wa Kikwete sikumbuki nasisitiza kama kuna mtu anakumbuka aniambie.
  8. sam green

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naomba ushauri: Mpenzi wangu ana tabia ya uongo

    Habari kaka zangu na dada zangu katika jukwaa hili, Nahtaji ushauri, nimekuwa na mpenzi wangu ambaye mara nyingi anakuwa muongo sana hataki kuweka mambo yake wazi, japo sio sana. Sasa hili ndio babu kubwa, kuna siku amepata safari walisafiri na dada yake. Siku hiyo alioamba nauli tulikwazana...
Back
Top Bottom