muonekano

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Luxe Light Craft

    Je, unahitaji taa za kisasa kwa ajili ya Finishing ya Nyumba yako?

    Je, Unahitaji Taa Za kisasa kwaajiki ya Finishing ya Nyumba yako? Luxe Light Craft, tumekuja kwaajili yako. Karibu ujipatie taa bora na za kisasa kutoka kwetu. Tunazo Taa Aina zote! Tunapatikana kariakoo📍 Wasiliana nasi kwa whatsapp namba +255764379293
  2. Hharyson

    IPE NYUMBA YAKO MUONEKANO WA KISASA KWA LANDSCAPE KALI KUTOKA KWETU 0624004650

    IPE NYUMBA YAKO MUONEKANO WA KISASA KWA LANDSCAPE KALI KUTOKA KWETU 0624004650 HAPA TUMEHUSIKA FROM DESIGN IDEAS PERGOLA AND OUTDOOR LOUNGE POOL CONSTRUCTION TUPIGIE UPATE KAZI BORA
  3. Nicolas J Clinton Gabone

    Mageuzi ya muonekano wa viwanja vya Uhuru na Benjamin Mkapa kuelekea CAF 2027

    MAGEUZI YA MUONEKANO WA VIWANJA VYA UHURU NA BENJAMIN MKAPA KUELEKEA CAF 2027 Imeandaliwa na, Nicolas Jovin Clinton Gabone Serikali ya Tanzania na Shirikisho la Mpira wa Miguu (TFF) wameshiriki kikamilifu katika ukarabati wa viwanja vikuu vya Uhuru na Benjamin Mkapa, wakiweka mkazo mkubwa...
  4. kavulata

    Mzee warioba mpaka sasa anaona ilikuwa sawa kwa watu kuivamia nchi nzima kuharibu mali za umma na watu binafsi bila idadi wala ukomo

    Mzee huyu amewahi kuwa Makamu wa Rais na Waziri Mkuu kwa nyakati tofauti. Mzee huyu alikuwa kiongozi wa ngazi ya juu wakati watanzania wanaandika Katiba hii ya sasa na hata wakati wanaifanyia mabadiliko Katiba ili kuwa ya vyama vingi. Wakati wote huo alikuwa na sauti ya kutoa mapendekezo yake...
  5. Fbn

    Muonekano wa raisi Cyril Ramaphosa mapumzikoni.

    Kumbe suti zinazeeshaga watu.Jamaa ni bishoo
  6. Mad Max

    Wazee wa Mapikipiki: Kati ya Yamaha R1, Honda CBR1000RR na BMW S100RR ipi kali kwa muonekano na performance?

    Tukiacha specifications za kwenye makaratasi, kati ya hizi chuma tatu ipi kali? Yamaha YZF R1 Honda CBR1000RR Firebrade BMW S1000RR Zote cc998, zote speed na acc kali sana.
  7. B

    Ukweli mchungu: Wanaume kuna muonekano ukiwa nao, huwezi kuja JF kulalamika kuwa kila mdada unayemtongoza anakuomba omba hela

    Habarini, Tofauti na kichwa cha habari, katika pitapita zangu TikTok nlikutana na account ya jamaa mmoja mtanzania, anajiita Dr Julian sio mwanamziki wala sio muigizaji, hapost maisha expensive, ila aloo hiyo idadi ya wadada wanao-andika thirst comments kwenye picha za huyo mkaka , na...
  8. Mwizukulu mgikuru

    Nina muonekano ambao watu wakiniona hupenda kunishtakia matatizo yao hasa wazee

    Nikiwa bar au hata kwenye vijiwe vya wacheza bao wazee hupenda kunishtakia matatizo yao, na muda mwingine watu wa usalama kama askari polisi huwa wanahisi mimi ni mwenzao sasa sijui huwa nina sura ya kikuda?.
  9. haszu

    Online dating ni kwa ajili ya wenye muonekano mzuri na stylish life.

    Kama wewe sio photogenic, basi utulie na udili na wamtaani tu. Kuna watu hata wavae vipi, wakipiga picha unaona kabisa huyu ni mlugaluga. Ukimfata mrembo online cha kwanza anakuomba umtumie picha akuone, anataka ajue, je unaonekaje? Unasura personal au unavutia? akiona unasura personal...
  10. M

    Muonekano mpya wa Beyonce wazua tafrani, bado ana vigezo vya kujiita "black woman" ?

    Taharuki hii ilianza baada ya binti mzungu anayeitwa Sweeney kuwekwa kwenye tangazo la American Eagle. Tangazo hilo limefanya vizuri sana kibiashara, lakini kwa upande mwingine, lilizua kilio kikali. Marekani imegawanyika pande mbili chama cha Republicans, ambacho kwa sasa kinaongozwa na Rais...
  11. Hharyson

    MTEJA AMETUPIGIA NA KUWA ANAHITAJI NYUMBA KUBWA (6BEDROOMS)NA YENYE MUONEKANO WA KISASA AMBAO SI SIMPLE SISI TUMEMPA HIZI OPTION 3 WEW UMEPENDA IPI ?

    6BEDROOMS SEBULE KUBWA NA NDOGO JIKO 2 (WET KITCHEN AND DRY KITCHEN) DINING WITH PATIO MASTER WITH PATIO TUPIGIE KWA HUDUMA NZURI 0624004650 TUNAPATIKANA SINZA DAR ES SALAAM
  12. haszu

    Kama huna muonekano mzuri jitahidi uvae na unukie vizuri

    Kuna wengine tunapendeza kwa jitihada ndogo mana muonekano unatubeba, sasa kama wewe huna muonekano, jitahidi uvae vizuri na unukie vizuri. Mtu anaenda jumuia kama anaenda shamba, halafu watu waki “pay attention “ kwetu mnaanza kushangaa. Kama unajua una sura personal na irregular shape, then...
  13. Loading failed

    Ukitoa rangi, ni upi muonekano mzuri wa nyumba kwa nje ambao hautozeeka haraka wala kupitwa na wakati

    Ndugu zangu . Kama kichwa cha habari kinavyosema Ni upi muonekano mzuri wa nyumba kwa nje ukitoa rangi.
  14. Roving Journalist

    Mafunzo ya vitendo kwa kutumia Mdoli wenye muonekano wa binadamu (Manikin) uliounganishwa na teknolojia

    Mganga Mkuu wa Serikali Dkt. Grace Magembe akiangalia mdoli wenye muonekano wa binadamu (Manikin) ambao umeunganishwa na teknolojia inayowezesha mdoli huo kujieleza namna inavyoumwa wakati huduma ikitolewa. Midoli hii ambayo inatumika kwa mafunzo kwa vitendo (Skills Lab) katika Chuo Kikuu cha...
  15. haszu

    Nawezaje kugeuza muonekano kua chanzo cha kipato? Kihalali.

    Genuine question, matusi sio uungwana. Watu wanatumia akili zao, kipaji kuingiza hela. Je kama unamuonekano mzuri, na unatake attention ya watu, unaeezaje kugeuza hiyo attention ya watu kua chanzo cha kipato, kihalali?
  16. R

    POTOSHI Muonekano wa sasa hivi wa Justin Bieber amedhohofika kwa sababu ya dawa za kulevya

    Wakuu, Kwenye pitapita zangu nimekutana na hii post uko mtandaoni, jamani kama hali yake ndo hii inasikitisha sana na inaumiza hatima ya madawa ya kulevya Naomba mnisadie kutambua kama ndo hali aliyofikia kwa sasa, ili tujifunze jamani
  17. M

    Hivi kwanini Nissan Fuga licha ya muonekano wake mzuri lakini ni gari adimu sana mitaani... Shida ni nini wataalamu?

    Kichwa cha habari chajitosheleza... 1. Bei sio kali sana 2. Muonekano ni luxury sana 3. Space ndani ya kutosha Ila wamiliki ni wachache sana shida ni nini?
  18. snipa

    Muonekano wa Logo ya Vodacom wanayotumia X kuunga mkono Ushoga.

    Kampuni zinapofanya modifications kwenye logo zao nakuzitumia, kunakuwaga na mawazo tofauti, lakini hili la vodacom litaleta mitizamo tofauti hasa kwa tusiosupport LGBTQ. Hii ni account ya X inayomilikiwa na kampuni mama ya Vodacom SA ambao ndio wamiliki wa Vodacom TZ
  19. W

    iPhone ni kama mkoba wa Gucci au Luis Vuitton wenye buku jero ndani. Ni muonekano tu lakini unabanwa matumizi, Sijutii kuhamia Android

    Nimezitumia Iphone kwa mudamrefu, nilikuwa sisikii wala sioni simu nyingine nje ya iphone, ila baada ya kuhamia android sijioni kabisa nikirudi nilikotoka. Simu za android hapa nazoziongelea ni zile topbrand Samsung, Google Pixe, One Pus, Xiaomi, Mitandao ya simu inakubana ukitumia Iphone...
  20. Waufukweni

    CAF wazindua Kombe jipya la CAF Champions League (CAFCL), huu ndio muonekano wake

    CAF wamezindua Kombe jipya la CAF Champions League (CAFCL), huu ndio muonekano wake.
Back
Top Bottom