mungu

  1. SoC01 Kuna ukweli kuhusu Mungu?

    Moja kati ya mijadala ambayo imezua ugomvi mkubwa duniani na kusababisha vifo kwa watu wengi ni katika suala zima la kuwepo au kuto kuwepo kwa Mungu mmoja.kila imani imejaribu kueleza kivyake kuhusu mtazamo wake juu ya suala la imani ya Mungu lakini katika mengi basi lazima lipo jawabu sahihi...
  2. Mzee Lugemalira Mungu anakulinda!

    Hii sakata la Mzee Lugemalira limenifanya nifikiri sana juu ya uwezo mkubwa wa Mungu kuweka level playing field. Mze Lugemalira baada ya kukaa ndani miaka mitano, ametolewa bila masharti yoyote. Kukaa gerzani ni mateso, matesoyaliyo andaliwa na binadamu. Cha ajabu wengi wa waliokuwa madarakani...
  3. Dhana ya uwepo wa Mungu na mbingu

    Habari wakuu, Huu mjadala ni mpana sana na upo tangu miaka mingi sana, nitaeleza nadharia ya uwepo wa mbingu na Mungu jinsi ulivyoibuka, nitatumia mifano ya sasa na ya kale ili niweze kueleweka, Nitaanza na concept ya mbingu. Fikiria maisha jinsi yalivyo magumu, fikiria changamoto za kimaisha...
  4. SoC01 Usipomkimbilia na kumtumikia Mungu, shetani atakukimbilia na kukutumikisha

    Habari ewe mwanadamu. Ninamshukuru Mungu kwaajili yako, pole pia kama upo katika magumu yoyote kwa fikra na macho ya kibinaadamu. Moja kwa moja niende kwenye kusudi la kuanzisha nyuzi hii ambayo naamini endapo utaisoma vyema na kuitendea kazi kazi basi utayaona Mabadiliko kwenye maisha yako...
  5. Hayati Dkt. Magufuli aliletwa duniani mahsusi na Mungu ili kuleta masomo fulani tujifunze

    Mungu Kuna watu anawatumia hapaduniani Kama shule kwa umma wake ili uongoke au ujifunze Jambo fulani magufuli ni mmoja wao. Somo la kwanza Ndugu pataneni mnapogombana maana mkishindwa mnampa nafasi adui kuneemeka na ugomvi wenu.Mtifuano wa kina lowasa ndani ya ccm ndio uliompa JPM kula kwamba...
  6. Ndugu zetu wakipata nafasi wanakuwa na hofu ya Mungu

    Sijawahi kufurahi kama ninapoona ndugu zangu upande wapili wakipata nafasi kadhaa. Nimefanya kazi nafasi mbalimbali na ukweli wao wakifanikiwa kupata nafasi kwanza wana hofu ya Mungu. Pili wana utu wa ubinadamu Tatu.Wako radhi kuhakikisha waliojuu yake wanasaidiana kusaidia wananchi zaidi...
  7. Unamjua Mungu?

    :):)
  8. B

    Anayeishi "condemned cell" anaweza kuishi salama na aliye uraiani akatwaliwa. Mungu huyu ni fundi!

    Familia ya Mbowe imethibitisha kupitia ukarasa wa tweeter kwamba baba yao amechanganywa na wafungwa wanaosubiri kunyongwa. Tunaamini waliofanya haya hawataweza kumnyonga ila wanaweza kumweka kigungoni milele. Lakini aishivyo Mwenyenzi Mungu alimweka huyu Condem pia anaweza akatwaliwa katika...
  9. Nahitaji kazi katika kampuni za ujenzi wowote

    Mungu ni Mwema kila wakati. Wakuu tusaidiane mimi ni kijana ambaye nahitaji kazi katika kampuni za ujenzi wowote. Naomba mwenye msaada aniunganishe. Kiufupi nipo na Huwezo mkubwa wa kufanya kazi za nguvu katika site za ujenzi ....Mfano ujenzi wa barabara,Majumba n.k Nb hata maswala ya...
  10. Chadema walianza na Mungu na wanamaliza na Mungu

    Habari ya usiku huu watu wa Mungu naimani mpo salama kabisa, kwangu Mimi Mniombee Sana tu maana naandika uzi huu Hali haiko sawa . Nimekuja kwenye jukwaa hili na kujaribu kuutangazia uma wote mjue japo si wote wataelewa na wengine watakebehi pia. Lakini kwa vyovyote vile ila nataka ujue kuwa...
  11. Historia ya Ukristo na kuenea kwa neno la Mungu Tanzania

    Ukristo nchini Tanzania ulianzishwa na wamisionari wa Shirika la Mt. Agostino kutoka Ureno walioongozana na Vasco da Gama mwaka 1499 hadi Zanzibar. Huko walijenga konventi ya shirika lao ili kuhudumia kiroho Wakristo toka Ulaya tu. Misheni ilipingwa na Waarabu Waislamu na e kukoma mwaka 1698...
  12. 254 kinazidi kuumana, Uhuru aandaa RATO la kumchapia RUTO....akihepa na hilo amshukuru Mungu.

    Ni visa juu ya visa kama ungependa kutumia maneno kama hayo, au wengine husema "kaa n mbwai ni mbwai" kwa lafudhi ya kisambaa.
  13. K

    Hakuna namna ya kumshurutisha Mungu ili aje arekebishe hizi 'bugs' zilizotokea kwenye uumbaji wake?

    Vita Ufisadi Tozo Mauaji Ukabila Uchawi Wizi Ukahaba Makafara Husda Usengenyaji Utapeli List goes on...
  14. Spika Ndugai aomba radhi Wakristo kwa kauli yake kuhusu Yesu

    Spika wa Bunge Job Ndugai amewaomba radhi wakristu kwa kauli aliyotoa leo bungeni alipokuwa akielezea alivyotembelea Israel Katika maelezo yake alisema "Yesu alitembea na mke wake kutoka Nazareti kwenda Yerusalemu kuhesabiwa" ambapo amesema alimaanisha Yusufu alitembea na mke wake sio Yesu kama...
  15. Viongozi muwe na hofu ya Mungu, vinginevyo yatakayowapata msimlaumu

    Kiongozi ni mtu yeyote atazamwaye na wananchi waliowengi kwa nia ya kuongozwa au kufika kule wanakotarajia na kunakotazamiwa na wananchi hao. Kiongozi anamajukumu makubwa zaidi kuliko miiko tu ya kazi, anaongoza roho za watu. Kiongozi ni nani? Kiongozi ni yule mwenye madaraka makubwa au...
  16. S

    Wizara ya Fedha, salary slip kupitia salary slip portal za kila mwezi ziwe zinatoka mapema kuliko hivi sasa

    Wizara ya Fedha mmefanya jambo jema na la kupongezwa kwa kuanzisha utaratibu wa watumishi wa umma kupata salary za kila mwezi online kupitia salary portal. Hii ni tofauti na miaka ya nyuma ambapo zilipokuwa zinatolewa na Hazina na kisha kusambazwa kwenye idara,wizara na taasisi za umma au...
  17. M

    Ashukuriwe Mungu mke wangu amejifungua salama salmini

    Ashukuriwe mungu! Mke wangu amejifungua salama salmini! Nawashukuru wote mlionipa support ya ushauri na maarifa kwenye uzi wangu nilioomba msaada wa fikra na ushauri juu ya kupita siku za kujifungua kwa mama mtoto wangu! Amefanikiwa kujifungua jana mtoto wa kiume! Bila upasuaji wowote...
  18. P

    CHADEMA wakumbushwe: Mungu si mfuasi wa vyama na hana kadi ya chama

    Mandiko yanasema, Watu wangu wanaangamizwa kwa kukosa maarifa, Hivi mandiko yanaposema hivyo huwa inamaanisha nini? Mambo yanayohitaji utumie nguvu zako kuyakabili na inawezekana kufanya hivyo, fanya, yale yanayohitajika kuyafanya kutumia akili zako na upo upenyo wa aina hiyo fanya, Mungu ni...
  19. Dhambi ya kuua humchukiza sana Mwenyezi Mungu

    Kitendo cha kutoa uhai wa mtu mwingine makusudi kinamchukiza sana Mwenyezi Mungu. Kitendo hiki kinaingilia na kuvuruga uumbaji na mipango ya Mungu kwa mwanadamu duniani. Kabla ya kushushwa kwa Amri kumi za Mungu, watu waliuana sana. Waliuana katika kuteka miji na utawala, visa vya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…