Uhakika Bro
JF-Expert Member
- Mar 29, 2022
- 2,365
- 3,022
Leo nilikuwa natafuta swali la jumla ya idadi ya nishati ulimwenguni, imepelekea kunistua na kuyumbisha concept ya draga ya God is the ENERGY na kuipaisha concept ya a4afrika ya God is the LOGIC. Na kuibakisha imara kabisa concept ya Uhakika Bro ya kwamba God is the IDEA!!
Someni hii scientific fact from livescience:
''.....it seems that the total energy in the universe must be an inconceivably vast quantity. But it's not; it's probably zero.
Light, matter and antimatter are what physicists call "positive energy." And yes, there's a lot of it (though no one is sure quite how much). Most physicists think, however, that there is an equal amount of "negative energy" stored in the gravitational attraction that exists between all the positive-energy particles. The positive exactly balances the negative, so, ultimately, there is no energy in the universe at all....''
Sasa bwana Draga ukibakia na concept yako ya God is energy huoni ambavyo unaruhusu mtu kama Scars na Kiranga kifizikia kuifuta hiyo concept yako na kusema hakuna energy, so hakuna Mungu?
Halafu mimi naendelea; God is the IDEA, the idea that is conscious and intelligent too, that conceived and used[wait, I am somehow wrong bout that, because when an idea is concious and intelligent it is therefore automatically logical too!] LOGIC to devide zero into positive one and negative one ENERGIES so we got something out of nothing, the total of which remains zero. Still logically consistent!! Pure genious, in fact more than genious👊
Uumbaji: Yaani kwamba Mungu ni WAZO, wazo ambalo linajitambua na lina akili pia, lililotunga na kutumia MANTIKI [No, nimekosea kuhusu kutunga!! maana ukishasema tu ni wazo lenye kujitambua na kuwa na akili inamaanisha kiotomati mantiki ipo pale!] kuigawanya sifuri kuwa NISHATI za hasi moja na chanya moja hivyo tukapata kitu kutoka katika hamna-kitu, jumla yake ikibakia ziro. Bado imebakia na ukamilifu wake wa kimantiki!! Hii ndiyo hekima iliyo kuu kabisa. God is Great, the greatest.
Mathematically;
0 / 2 = +1 + -1 + 0 which is also equal to zero [0]
Proof: +1 + -1 + 0 = 0
Mwisho wa dunia: Wanaosema mwisho wa dunia ni pale dunia [ulimwengu*] itakapokunjwa kama karatasi ni kwamba pale Mungu ataruhusu/atavikusanya na kuviweka pamoja vi hasi na chanya basi vitu vitaacha kuwepo. Vitapotea vuup! Ndiyo unakuwa mwisho. Lakini usisahau kwamba wazo lolote li nje ya huo uvitu, uhasi na uchanya though!
Uzima wa milele: Lakini kwa kuwa wazo ni tofauti na vitu na linao uwezo wa kuwepo pasi na vitu[hasi/chanya] bali tu kuwe na WAZO linalowaza hilo wazo. Basi mawazo mazuri yanayojielewa yatasavaivu hizo material na energy death😊. Yataendelea kuishi pamoja na Mungu wao ambaye ndio WAZO kuu. Hayatakuwa Mungu bali yataendelea kuwa sehemu ya Mungu. Labda yataenda katika hatua nyingine[tunaita mbinguni uweponi mwa Mungu] [another dimension] maana unajuaje labda sifuri haikugawanywa mara mbili? labda iligawanywa mara tatu tukapata matokeo saba[0, +3, +2, +1,-1,-2,-3]! au iligawanywa mara saba, au mara arobaini elfu na zaidi !!!? ad infinitum!
Tukirudi kwenye baibo kujaribu kusynchronize hizi concept zetu zote angalia inavyokaa kiutamu hapa.
Tunasema Yesu ni NENO[LOGIC] ni mwana wa MUNGU [IDEA] pasipo yeye hakikufanyika kitu, kila kitu cha chini huku ulimwenguni kwetu kilifanyika kupitia yeye NENO/LOGIC.
Utatu mtakatifu: Kama ambavyo mantiki[logic] na wazo sahihi/zuri[good idea] vinavyoleta taabu kuvitofautisha hadi mtu anaweza kusema tu ni kitu kimoja, Ndivyo ambavyo BABA na MWANA wanavyokuwa ni MMOJA na ROHO MTAKATIFU pia!. Suala la nafsi kuwa tatu litaeleweka pale ukitambua kwamba kiuhai/kibaiolojia/kiuwepo moja jumlisha moja mara nyingi ni tatu! Hii part ni kwa ajili ya Kisai na nani yule mwenye avatar ya Yesu kashika bastola?
BioMathematically;
A + B = A + B + AB [Three items] yaani baba jumlisha mama sawasawa na baba, mama na mtoto [3] na wote ni mwili mmoja yaani familia.
Na ni kweli yeye[LOGIC] ndio NJIA, KWELI na UZIMA. Kutokeza hizo hasi na chanya ni kazi za kimantiki UWEPO na KUTOKUWEPO. Energy na negative energy. Na vyote BABA yao ni mmoja ni lile WAZO HAI. The I AM THAT I AM 👊💪.
Ndugu zangu wa dini nyingine sijawaacha mbali ni kwamba haikatai hata tukisema kwamba Yesu kama mtu au Nabii/Mtume wa Mwenyezi Mungu alikuja duniani kuwasilisha/kulingania na kuwakilisha NENO/LOGIC ya Mwenyezi Mungu. Aliishi vizuri na kikamilifu hadi waliokuwa karibu naye wakakiri kuwa kwa kweli tumeona ambavyo huyu mwamba ni NENO/LOGIC iliyochukua mwili na ikakaa kwetu. Huyu ni Mwana wa Mungu [wakimaanisha huyo NENO alochukua mwili wa Yesu] ambaye vyote viliumbwa naye.
Vile Mungu anaweza kusema kuwa na ikawa basi lile neno 'kuwa na iwe' ndiyo lipo kimantiki inayozungumzwa hapa sheikh wangu. Wooote tunamtii Mungu ambaye ni mmoja tu na hakuna mwingine. The IDEA is the father of all including LOGIC and ENERGY and EVERYTHING that is seen or not seen. God is Great.
UPDATE: Suala la ENERGY tusilitoe umuhimu wala kulishusha thamani hata kidogo hasa tukiwa katika hii material universe. Maana kwa kuwa hakuna matter bila energy [E = mC2]. To a materialist energy is everything, but it is chaotic. Because he recognizes nothing beyond this. Energy guided logically following a good idea is all that thereis to a believer, it is purposefully orderly. Au energy ndio Roho Mtakatifu katika utatu nini? Wajuzi mnisaidie, binafsi naona inakujakuja. Nipeni go ahead hapa nisummarize kuwa IDEA, LOGIC and ENERGY are..... no, not are IDEA, LOGIC and ENERGY IS ONE.!!!?
Mini UPDATE: Kama ambavyo sisi ni vyoote vinavyoundaa miili yetu[MIKONO, MIGUU, UBONGO, MACHO] na zaidi yake nje na ndani ya mwili[can you locate your consciousness?] basi pia hata huo mkusanyiko itakuwa Mungu ni vyoote hivyo[IDEA,LOGIC,ENERGY] na zaidi yake ndani na nje ya creation[GOD]! Sisi finite creatures tuna ukomo. Our highest concept of God will remain smaller than his true Greatness. God is the greatest🙏.
UPDATE II: Baada ya majadiliano na Draga, amefanikiwa kurudisha umsingi wa energy kupower hayo mambo yote. Basi tumeweza kutengeneza hali ya 'kuku na yai kipi kilianza?🐣'. Na mi umsingi wa wazo lenye mantiki ili energy imake sense, ijiexpress au iwepo kweli. Tungeendelea kujisumbua kung'angana kuwa ilianza WAZO, au ilianza ENERGY, au ilianza LOGIC tusingemaliza. Basi tumeishia ni vyote vipo ni 'MOJA' na haikuanza wala haitakwisha. Basi hiyo sifuri ziro ilogawanywa mwanzo wetu ni ENERGY pia ilokuja kujigawanya kupata nishati hasi-1 na nishati chanya+1 [hapa ulimwenguni] na NISHATI 0[of which we can not comprehend] pia ambalo hilo tayari ni WAZO lenye MANTIKI. Tunagundua shida yetu ipo kwenye kuanza kuwaza mwanzo ulikuwaje kwa vitu ambavyo kiuhalisia havina mwanzo wala mwisho ndio maana inakuja ku-make sense both directions [which is the definition of not making sense🤭]. AKILI mtu wangu akili tu.
NB: Natambua Mungu hafananishwi na hata hizi concept tunazitunga ili kujaribu kumuelewa kwa kiwango chetu hapa duniani. Tunamuomba Mungu atujalie kumjua kwa uzuri zaidi kadri tunavyokua. Maana Yeye ajua zaidi.