mungu

  1. A

    Mungu aliwaumba wanawake wawili tofauti

    Kutokana na Biblia, "Mwz: 1:27 ....... Mungu alimwumba mwanamume na mwanamke aliwaumba". Kwa maana aliwafinyanga. Vilevile "Mwz: 2:21, Bwana Mungu akamletea Adamu usingizi mzito nae akalala, kisha akatwaa ubavu wake mmoja akafunika nyama mahali pake. 22 na ule ubavu alioutoa kwa Adamu Bwana...
  2. M

    Umewahi kunusurika janga lolote au umekwepa kutapeliwa au kuibiwa kwa bahati au uwezo wa Mungu? Toa simulizi yako hapa

    Kuna siku nilipigiwa simu na mwanamke simfahamu na namba ngeni, akaniita jina fulani (Sio langu) nikamwambia umekosea namba, akakata simu. Wiki chache baadaye akapiga tena, mara hii akataja jina langu kabisa, ninapoishi na hata ninapofanyia kazi, akaniomba nikutane naye mahali kwa mazungumzo...
  3. M

    Kiasi gani kikubwa cha pesa umewahi poteza, au kuokota?

    Fungua huu uzi usome komenti unaweza kumpata aliyeokota pesa yako humu humu Mimi kiasi kikubwa nimewahi okota ni 15,000 na kupoteza ni 10,000
  4. M

    Ni wakati gani ulimpenda Mungu kwa kukiweka kifo?

    Mimi nilimpenda baada ya mtesi wa watu kufa
  5. M

    Utakubali Mungu afute kifo lakini maisha yako na cheo kibaki hivyo hivyo

    Ikitokea Mungu anakuuliza afute kifo au kiendelee tu kuwepo utamshauri nini Mimi namwambia kiendelee tu ili tuheshimiane
  6. Unajua kwanini binadamu hakuumbwa kwa neno moja tu la Mungu?

    Ipo hivi mifugo wezangu, hivi kwanini Mungu hakutamka tu hivi "na awe binadamu mwanaume na mwanamke na wakaishi kwenye bustani ya edeni” ikawa asubui ikawa jioni, siku ya sita? Mbona vitu vyote Mungu alikuwa anatamka neno tu na vinatokea lakini ilipofika siku ya sita kwenye kipengele cha...
  7. Tanzania trusted in God. Siku nchi ilipomuabudu Mungu wakati wa COVID-19

    TANZANIA TRUSTED IN GOD;SIKU TANZANIA ILIPOMUABUDU MUNGU WAKATI WA COVID 19. Leo 20:15hrs 06/07/2022 Mungu alimwambia Baba yetu Ibrahim,"Hata akiwepo mtu mmoja mcha Mungu katika nchi ya Sodoma na Gomola basi sitaichoma moto" Kwa mtu mmoja na neno lake,Tanzania ilipata neema na rehema mbele za...
  8. Tunamkosea sana Mungu kwa kucheza Amapiano na Sindimba madhabahuni

    Mmabo mengi waumini wenzangu tunayafanya kwa ama kutofikiria au kwa kuiga iga tu bila kutazama mantiki zake. Imeibuka hii tabia ya kucheza mitindo ya kwenye disco na sehemu za ufuska na maovu mengine tukiwa madhabahuni. Juzijuzi nimetoka kuona video vijana wanatwanga sijui ndiyo Amapiano ile...
  9. R

    Kutaka kumuua mtu mwenye Roho wa Mungu haiwezekani ni mpaka Mungu aruhusu

    Habari wanaJF, Mtu yeyote ambaye Mungu Amemweka kufanya kazi ya Mungu na Mungu Akampatia Roho Mtakatifu ndani yake huwezi kumuua ni mpaka Mungu Aruhusu. Kwa hiyo tujihadhari unaweza ukawa unanifuatilia mimi au yule na kumbe nina Roho Mtakatifu kwa ajili ya utume wa Mungu. Watu wenye Roho...
  10. M

    Ni upi wakati sahihi wa kuwasaidia wazazi wako?

    Wakati sahihi ni sasa maana ukisema unatafuta maisha mazuri kwanza ndo ukawasaidie vizuri ukumbuke time yao inakatika. Hivo utazipata lakini wao hawatafaidi maana watakuwa wameshakwenda kwa muumba hivo ni vema ukaanza sasa hivi hata kama ni kidogo. Wape hakuna wakati mwingine zaidi ya huu wa sasa.
  11. Samia ni mpango wa Mungu kwa Tanzania: Kwa hili atabarikiwa, Taifa litabarikiwa. Asante Mungu kwa Samia, Mungu mbariki Samia, Mungu ibariki Tanzania!

    Wanabodi, Kama kawaida yangu, kila nipatapo fursa, huja na Makala zangu elimishi za "Kwa Maslahi ya Taifa", Makala ya leo ni jinsi Rais Samia alivyo ni mpango wa Mungu kwa Tanzania: Rais Samia, Akifanikiwa kwenye hili, atabarikiwa sana na taifa la Tanzania, litabarikiwa! Natoa wito kwa wote...
  12. Namna ya kumshinda Shetani anapotumia neno la Mungu kukushawishi kutenda dhambi

    “Akamwambia, Ukiwa ndiwe Mwana wa Mungu jitupe chini; kwa maana imeandikwa, Atakuagizia malaika zake; Na mikononi mwao watakuchukua; Usije ukajikwaa mguu wako katika jiwe”, Mt 4:6 SUV Shetani alitumia Neno la Mungu kumjaribu Kristo kutenda dhambi. Pia lilikuwa ni jaribio la kumshawishi Yesu...
  13. Acha dhambi na utubu Ufalme wa Mungu umekaribia

    “Tubuni; kwa maana ufalme wa mbinguni umekaribia”, Mt 3:2 SUV. Toba maana yake ni “kugeuka”, kugeuka kutoka katika njia mbaya za uovu na kumgeukia Yesu Kristo, na kwa kupitia yeye, unamgeukia Mungu (Yn 14:1, 6; Mdo 8:22, 26:18). Uamuzi wa kugeuka kutoka katika dhambi na kugeukia wokovu katika...
  14. Kusudi la Mungu linaweza kusababisha matatizo makubwa kwa wengine wakauawa au wakapoteza vitu vya thamani

    “Ndipo Herode, alipoona ya kuwa amedhihakiwa na wale mamajusi, alighadhabika sana, akatuma watu akawaua watoto wote wanaume waliokuwako huko Bethlehemu na viungani mwake mwote, tangu wenye miaka miwili na waliopungua, kwa muda ule aliouhakikisha kwa wale mamajusi”, Mt 2:16 SUV. Jaribio la...
  15. N

    Inatosha ndugu yangu; Mshukuru Mungu kwa yote, rudisha vitabu kwa Mkuu wa shule, chukua jembe itafute njia ya Nanjilinji ukajilimie ufuta!

    Ulitoka makao makuu yetu ya wilaya kwenda huko mbali kisiwani kwa ajili ya kujitolea na umekuwa ukijitolea kuwasaidia watoto hawa eneo hili la kisiwa lenye changamoto ya elimu na linaloogopwa na kukimbiwa na watu kila siku kwa juhudi zote tangu 2018.... Ajira za 2018 zikatoka nawe...
  16. Ni Taarifa gani nzuri au kitu kizuri ulishawahi kuipata/kupata ukamshukuru Mungu/Mwenyezi Mungu?

    Hello wakuu, Habari ya weekend, hivi ni taarifa gani nzuri ulishawahi kupata ukaishia kumshukuru Muumba, Mimi nakumbuka kwenye matokeo ya std 7 st Kayumba, nilichaguliwa kidato cha kwanza kwenda boarding school, na mtaani kwetu ilikua ukifaulia mbali kidogo au boarding unaonekana noma,sasa...
  17. Wakatoliki, kama ulikuwa hujui hii ndio sehemu pekee ya kuongea na Mungu wako

    Ni pale kwenye Ekrarist takatifu(mageuzi) ambapo padre anasali peke ake na kuna ukimya wa hali ya juu. (Ule ukimya kama una imani utaona mpaka nywele zinasisimka) Pale ndipo sehemu pekee pakuongea na Mungu wako, kumwambia shida zako. Nilifanya hivyo siku moja na nikaona matokeo. Fanya siku moja.
  18. Kuoa/kuolewa na mtu wa imani tofauti na yako kunavyoweza kuharibu uhusiano wako na Mungu

    Hili sio jambo geni kwa wengi wetu, tunaweza kuwa tumeshuhudia au tumesikia, na wachache tunaweza kuwa hatujakutana na changamoto hii au hawajaona kabisa. Kijana ambaye hajaoa/hajaolewa anaweza asijue shida atakayokutana nayo baada ya kuoa/kuolewa na mtu wa Imani tofauti na yake. Imani ni...
  19. Dunia ina watu bilioni 8. Mungu hakuumba watu bilioni 8

    Dunia ina watu bilioni 8. Mungu hakuumba watu bilioni 8. Mungu aliumba watu wawili tu. Adam na Hawa. Sisi wengine bilioni 8 ni product ya kuzaliana. So ukiamua kuTrace bloodline yako, chimba chibuko la babu na mababu zako lakini mwishoe utaangukia kwa Adam na Hawa. Na Mungu alivyowaumba Adam na...
  20. Mungu ni muandaaji na muongozaji bora wa filamu za maisha yetu

    Leo 12:15hrs 19/06/2022 Maisha ya mwanadamu ni filamu "movie" ambayo Mungu ameiandaa na anaiongoza mpaka mwisho wake,binafsi naifurahia na naendelea kuifurahia filamu ya maisha yangu hadi hapo mwisho, naamini mmewahi kuangalia filamu "movie" fulani mkavutiwa nayo na mkapenda kujua muongozaji...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…