mungu

  1. JamiiForums Tanzania Mwenyezi Mungu akusimamie, akulinde na akubariki

    Unapoelekea kwenye kazi, majukumu na mahangaiko ya kujitafutia kipato. Namshukuru Mungu kwa zawadi ya uhai na afya alizotujalia mimi na wewe, hata tumeamka salama na akatukutanisha humu jukwaani kwa wasaa huu. Mungu wa Rehema akusimamie na akulinde utekeleze wajibu wako kwa maarifa, nguvu...
  2. JamiiForums Tanzania Ukipigwa vitani kwasababu ulikuwa unampigania Mungu wako inamaanisha nini?

    Kila nchi hapa duniani kuna madhabahu na mungu wa hiyo madhabahu. Kila jamii ina ibada na kuna maagizo yakufuata. Wale ambao wanampigania mungu wao na kupigwa inakuwa na tafsiri gani? Yule mungu kashindwa?
  3. JamiiForums Tanzania Kama unaomba hivi, imani yako itashuka na utamchoka Mungu mapema

    Maombi ni moja ya njia ya kuondoa wasiwasi na kuongeza imani katikati ya changamoto na sintofahamu za maisha. Lakini kama hujui kuomba vizuri unaweza kujikuta yanakuongezea stress, wasiwasi, hata kushusha imani yako kwa Mungu. Na hii imepelekea watu kucheza miguu miwili. Mmoja kwa Mungu...
  4. JamiiForums Tanzania Nikiweza kutoboa hadi mwezi wa pili 2024 basi itakuwa ni kwa neema ya Mungu

    yaani kiujumla ni hivyo tu kuanzia mwezi wa kwanza ni makadirio ya kupata mtoto wa pili mungu akipenda lakini mpaka sasa bado sijasevu hata 100 ndani leo ndo nimepunguza miezi miwili ya kudaiwa kodi toka miezi minne. Eeeh Mwenyezi Mungu tupunguzie hii mizigo na changamoto tunazozipitia wengi...
  5. JamiiForums Tanzania Kama unamuamini Mungu na huamini haya mambo matano ni afadhali uache kumuamini au uanze upya

    1. Miujiza Miujiza na uwezo wa Mungu kufanya kitu ambacho kibinadamu hakiwezekani. Mfano Kufufua mtu aliyekufa, kutembea juu ya maji, kupasua bahari, e.t.c kama huamini miujiza humiamini Mungu. Ni afadhali uache kuamini uungane na wapinga Mungu au uanze upya. 2. Kiyama cha dunia hii Hii...
  6. JamiiForums Tanzania Makonda nashauri utumie usafiri wa fisi Kanda ya Ziwa, utakuwa mwamba usiotikisika milele!

    Ushatumia aina nyingi za usafiri kama vile bodaboda, bajaji, ndege, kimbinyiko, farasi n.k. Upo kanda ya ziwa sasa kwa nini upande fuso? Huo sio usafiri wa wajanja huko kanda ya ziwa, wajanja wa huko hawatumii fuso wala gari la aina yoyote ile bali hutumia fisi. Jaribu kutumia Fisi kama...
  7. JamiiForums Tanzania Majirani ni maadui sana hata kuliko alivyoelekeza Mwenyezi mungu

    Nije kwenye mada. Nemeona kabisa mubashara jirani ana wivu wa kijinga sana. Cha kushangaza nde mwenye uwezo kifedha kuliko mimi ila anaonesha tamaa za ajabu. Ana magari manne mm nina moja tu. Nina moja kwa sababu nina priority zangu. Ningekuwa na magari hata 7 ningetaka. Kwa kifupi mungu...
  8. N

    JamiiForums Tanzania Arusha wanachomana visu

    WA SALAAMU.. mimi nimezaliwa Arusha Nimekulia Arusha Nimesomea Arusha. Ila sasa naogopa hata kurudi nyumbani wajuba,kumekuwa na matukio ya hatari sana,vijana wanauwana hali inatisha Arusha,kipindi naishi nyumbani chugah mambo ya kuuwana yalikuwa sio kama sasa,kuna kizazi kimeibuka cha...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Inabidi mtu awe mpumbavu kushawishika na kusema kuwa hakuna Mungu!

    Biblia inasema kwenye Zaburi 24:1. "Mpumbavu amesema moyoni mwake hakuna Mungu .........". Kuna watu wanaamini kabisa kuwa hakuna Mungu!! Wanashawishika kwa mioyo yao yote kuwa hakuna Mungu!! Ukimwuliza kwa nini vitu vilivyopo ulimwenguni huitwa VIUMBE? Maana yake vimeumbwa, je muumbaji ni...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Tuiombee nchi ya Israel: Haikanushiki kuwa Israel ni Taifa teule la Mungu. Hii haina maana kuwa Waisrael wote hawana makosa, tuwaombee

    Tatizo la msingi la Wayahudi ni kauli yao hii waliyoisema juu ya Yesu: Math 27:25. Wakasema damu yake na iwe juu yetu na juu ya watoto wetu! Tuwaombee Mungu awape kutubu na kupokea rehema. Natamani Mungu awajalie kutubu kama taifa la NINAWI lilivyotubu kwa mahubiri ya Nabii Yona!
  11. M

    JamiiForums Tanzania Je, Mungu wa Wakatoliki amebadilika au Wakatoliki wamepata Mungu mwingine?

    Biblia inasema Mungu ni yeye yule jana na leo na hata milele, yaani Mungu habadiliki wala habadilishi misimamo yake. Mwaka juzi papa alipoulizwa kama kanisa Katoliki linaweza kubariki ndoa ya jinsia moja, alijibu haiwezekani KWA SABABU MUNGU HAWEZI KUBARIKI DHAMBI: ROME (AP) — The Vatican...
  12. JamiiForums Tanzania TFF na Bodi ya Ligi mipango yenu ya kuipangia Yanga ratiba ngumu ili idondoshe point imezikwa rasmi, Mungu sio Athumani

    Kwakweli Hawa watu ni makatili sijawai Kuona, walikuwa wametega mtego mbaya sana dhidi ya yanga lakini wameferi na wameshindwa vibaya sana. Hii ratiba aikupangwa kwa bahati mbaya bali walikuwa wamedhamilia na walikuwa na Nia mbaya kabisa, yanga kacheza na Azam baada ya siku tatu kacheza na...
  13. JamiiForums Tanzania Mungu ametupuuza sana watu weusi

    Hello! Kuna mtu mweusi na kuna Mwafrika, hawa ni watu wawili tofauti. Unaweza ukawa mwafrika lakini usiwe mtu mweusi na unaweza kuwa mtu mweusi lakini usiwe mwafrika. Nazungumzia mtu mweusi bila kujali ni raia wa nchi/bara gani. Mtu mweusi amepuuzwa na MUNGU, kwa lugha rahisi tuseme ameshushwa...
  14. JamiiForums Tanzania Mikao hii yote ya maombi ni halali na ina heshima sawa mbele za Mungu. Sio lazima upige magoti au usujudu katika kuomba

    Unaweza 1: KUOMBA UMESIMAMA NA KUNYOOSHA MIKONO JUU. 2: Kuomba umelala kitandani kama hujiwezi kama mfalme Hezekia. 3: Kulala chini kifudifudi au kulala kama Yesu gethsemane. 4: Kuomba umeketi kama daudi. 5: Kuomba ukiwa katikati ya watu umesimama kama Nehemia, walio na wewe wasijue kama...
  15. B

    JamiiForums Tanzania Kwanini Mungu alituumba sisi wanadamu, iwapo alijua kuwa tutamuasi na atatupeleka motoni?

    Habarini wadau, Binafsi naamini Mungu yupo, ni mwema, ndo aliumba vyote, anajua vyote past present and future, na ni muweza wa vyote, hakuna alie zaidi yake. Uislamu na ukristo unafundisha kuwa mwisho wa sisi wenye dhambi ni kwenye moto wa milele, sasa mimi najiuliza. 1)Mungu akituchoma sisi...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Siwezi kupoteza muda kujadili mpira wakati mimi sina uhakika wa maisha

    Nauza kangala kwenda mbela. Hapa sasa hivi kuna walimu wanakula kangala , wanachanganya na ambiance na Shimha. Siwezi kupoteza muda kujadili simba na Yanga wakati mimi sina uhakika wa maisha bila kuganga njaa. Ni upuuzi na ujinga. Kujadili Ligi ya Uingereza, Ufaransa, Bundesliga mpaka koo...
  17. JamiiForums Tanzania Huyu Kijana Mungu alimpa kipaji cha Kuimba mno!

    Hebu sikiliza hiyo sauti aiseee
  18. JamiiForums Tanzania Israel si taifa la Mungu, Palestina taifa teule?

    Miaka 2000 ya kuwa kwenye diaspora Israel hawakupoteza identity yao, lugha yao wala dini yao. Warumi chini ya Kaisari Nero wali besiege Jerusalem na kuwatawanya kwenye dola yao maana walikuwa wakaidi hawakukubali kuabudu miungu mingi ya kirumi walikuwa jamii pekee iliyoamini katika Monotheistic...
  19. JamiiForums Tanzania Kuna watu wanaomwabudu chatu?

    Ilitokea mkoani Geita mwaka 2019. Walimtolea sadaka na kumwomba awabariki. Kwao, nyoka aina ya chatu si kiumbe cha kawaida, bali ni mungu. Lakini miaka minne imeshapita sasa tokea hicho kituo kitokee Geita. Bado huo utamaduni upo Tanzania?
  20. JamiiForums Tanzania Ndoa na Familia yenye furaha na amani ina Mungu. Yenye mafarakano huzuni na chuki ina shetani

    NDOA NA FAMILIA YENYE FURAHA NA AMANI INA MUNGU. YENYE MAFARAKANO, HUZUNI NA CHUKI INASHETANI. Anàandika, Robert Heriel Mtibeli Ukiona Mkeo/mumeo mnapendana, mnafuraha na amani. Mnataniana. Ni marafiki. Mnashrikiana kwa karibu kila kitu. Mnakula pamoja. Yaani ninyi maisha yenu kwa asilimia 80%...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…