mungu

  1. B

    JamiiForums Tanzania Rasmi: Mbwana Samatta asaini miaka minne na nusu Aston Villa

    January 20, 2020 Birmingham England NEW SIGNING MBWANA SAMATTA Exclusive haya ni mahojiano ya Mbwana Samatta akiongea na chaneli rasmi ya klabu ya Aston Vill FC baada ya kukamilisha mkataba kuchezea klabu hiyo. Source: Aston Villa FC Habari kamili : Mchezaji wa kimataifa wa Tanzania...
  2. JamiiForums Tanzania Semina ya Mtumishi wa Mungu Mwalimu Mwakasege

    Semina hii ya siku moja inafanyikia katika ukumbi wa Diamond Jubilee na tayari watu wameshaanza kuingia kwa wingi ukumbini. Semina hii itakuwa live Upendo radio,upendo TV na kwenye internet.Usikose kushiriki umoja wenye maana.
  3. JamiiForums Tanzania Mafundi makochi Mungu anawaona!

    Unakuta kochi limemaliziwa vizuri linang'aa na kitambaa safi cha nguo, turubahi, au ngozi. Utadhani limetengenezewa Ulaya! Utapigwa hela ndefu seti 1.5million mpaka 5m. Sasa lipeleke nyumbani watoto waanze michezo yao! Utasikia mara ndani mbao zinaanza kukatika mara ukikaa unadumbukia kwenye...
  4. JamiiForums Tanzania Unakumbuka tukio gani ulilonusurika na ukaamini ni mkono wa Mungu umekunusuru?

    Nikiwa nimejilaza kitandani kwa kupumzika tu,miguu iko chini, yaani nilikaa kitandani halafu nikaamua kujilaza. Nilikaa kwa upande ambao mtu akiwa amelala kawaida huweka au kuelekeza miguu yake, baadae nikajilaza. Baada ya dakika kadhaa nilimuona nyoka akinitazama, akiwa amesimama upande wa...
  5. JamiiForums Tanzania Kisutu: Kesi ya Erick Kabendera yaendelea. Jamhuri yaweka kisiki Erick kushiriki msiba wa mama yake mzazi

    Awali: Erick Kabendera mwandishi wa Kujitegemea wa Habari za uchunguzi inaendelea leo Mahakama ya Kisutu. Kabendera anashtakiwa kwa Makosa matatu ikiwemo kukwepa Kodi, Utakatishaji Fedha na kujihusisha na genge la uhalifu. UPDATES MAHAKAMA YAOMBWA KABENDERA KUMUAGA MAMAKE HOJA SITA ZA...
  6. T

    JamiiForums Tanzania Viongozi Wakuu Wastaafu CCM nafsi ziwasute msiposimama kusema ukweli 2020

    Tunamshukuru Mungu ametupa pumzi sote tumevuka mwaka 2020. Naipongeza Serikali yangu na watanzania wote kwa amani na upendo baina yetu pamoja na misuko suko yote. Ndugu wazee wastaafu ktk ngazi ya juu ya Taifa nawaandikia ujumbe huu wala siwafichi wala sipepesi macho ila nasimama kusema...
  7. JamiiForums Tanzania Nawatakia heri ya Mwaka mpya wa 2020 Viongozi, wanachama na wapenzi wote wa Chadema nchi nzima. Mungu yuko pamoja nanyi

    Hakuna haja ya maneno mengi, kichwa cha habari kinajieleza. Nimeamua kwa moyo wa dhati kabisa uliojaa upendo mkuu kuwatakieni Heri ya: Viongozi , wanachama na wapenzi wote wa Chadema ikiwa ni pamoja vyama rafiki vyote tunavyoshirikiana navyo kwenye harakati za ukombozi wa nchi yetu ...
  8. JamiiForums Tanzania 2020 mwaka wa vilio majonzi katika historia ya siasa naomba Mungu atupiganie

    Ninaandika ili iwe kumbukumbu kwa vizazi vilivyopo kwamba. Mwaka 2020 utaweka historia ya vilio na majonzi kwa watu wa kada zote Uwe Ccm, uwe chadema, uwe hauna chama, watoto, vijana wazee, wake kwa waume hakika ni mwaka wa majonzi. Uwe mwanasiasa, uwe mfanyabiashara, uwe mkulima uwe...
  9. JamiiForums Tanzania Tujikumbushe asili ya Mungu

    Nianze kwa kuweka pembeni mafundisho ya dini yoyote kuhusu Mungu. Nitakupa maana yangu niliyoibuni nilipokuwa mdogo chini ya miaka 10. Nilimuuliza Bibi yangu mzaa Baba: Sisi tumeumbwa na Mungu. Je, Mungu aliumbwa na nani? Mungu alitoka wapi? Na kama hakuna Mungu ndo maana hakuna kitu, kila...
  10. JamiiForums Tanzania Tanzania yetu kuwa na watu zaidi ya milioni 200, Mungu tuepushe na gharika!

    Tanzania yetu ni moja kati ya nchi zinazoongoza Duniani kwa ongezeko la watu, kwa mujibu wa statista mwaka 2100 nchi yetu itakuwa zaidi ya watu milioni 200 na moja kati ya nchi kubwa kwa idadi ya watu Duniani. Najiuliza hao watu watakula nini? Wataishi wapi na kulala wapi? Duh, sipati...
  11. JamiiForums Tanzania Je baada ya Yesu Kristo kuondoka Duniani, Mungu alibadilika na kua 'radical'?

    Biblia inasema baada ya mpela mpela nyingi Duniani, Mungu aliamua kumtuma Mwanae pekee mwenye uwezo kama yeye aje Duniani kutangazaa neema na ukombozi, kuhubiri amani na upendo, kuasa watu kua wema na watende mema, wasiishi kwa mazoea ya Nabii Musa na mengine, wasilipe baya kwa baya bali walipe...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Edward Lowassa ni mtu mwenye maono, uthubutu na misimamo, anafaa kuwa Rais ajaye wa Tanzania, Mungu akutangulie, akulinde na akupiganie

    Awali ya yote napenda kukiri kwamba sijatumwa wala kutumika na yeyote kuandika juu ya hii mada, ni maoni na mtazamo wangu binafsi na pengine ni mtazamo wa wengine wengi wanaomtazama Lowassa kama ninavyomtazama mimi. Katika ulimwengu wa siasa, jambo dogo linaweza kujadiliwa kwa marefu na mapana...
  13. JamiiForums Tanzania Haipendezi mwanadamu kupewa sifa za KIMUNGU, imetosha sasa Magufuli kumfananisha na MUNGU

    Aman iwe nanyi wakuu Kwa kweli inchi yetu inaelekea shimoni aisee Rais anapewa sifa za Kimungu na hakemei Hakuna hata kiongozi mmoja wa dini ambaye kajitokeza na kukemea Ni kweli Rais anachapa kazi lakini siyo kwa sifa hizi anazopewa Nahofia siku moja mwenyezi atatupiga upupu kwa ushenzi wa...
  14. J

    JamiiForums Tanzania Prof Kabudi: Mh Rais Magufuli, jina la John maana yake ni ‘Mtu aliyependelewa na Mungu na kupewa baraka zote’

    Waziri wa Mambo ya Nje Prof. Kabudi ametoa tafsiri ya jina la John kwa mujibu wa Biblia kuwa ni mtu aliyependelewa na Mungu wa mbinguni na kupewa baraka zote. Tafsiri hii imetolewa na Prof Kabudi mbele ya Rais Magufuli, nami Johnthebaptist nakubaliana na huyu mzee wangu wa Kanisa pale St Alban...
  15. JamiiForums Tanzania Laana ya Mwenyezi Mungu kwa kuwaonea Wapalestina imempata Trump

    Kuingia madarakani kwa Donald Trump ilikuwa kwa nguvu na njama za Israel ili kukamilisha agenda zao za kuimeza Palestina. Na kweli tangu kuingia madarakani matarajio yote ya Israel yametimia. Amehamisha ubalozi ya Marekani kuupeleka mji wa Jerusalem ambao Wapelestina katika makubaliano yao ya...
  16. JamiiForums Tanzania Natafuta rafiki wa kike

    Natafuta rafiki wa kike ambae huenda baadae akawa mke wangu. Sifa zangu ni: 1. Mtaratibu 2. Mkarimu 3.Mrefu wastani 4.Mwenye ya mungu 5.Mwenye heshima na upendo 6.Umri wangu miaka 23 Awe na sifa angalau kati ya hizi 1.Awe na hofu ya Mungu 2.Mwenye kuvalia kawaida 3.Mkarimu 4.Mwenye...
  17. JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Ninaomba Mungu anisaidie misidentify kuwa na kiburi

    MUNGU ANISAIDIE NISIJE KUWA NA KIBURI - RAIS MAGUFULI "Siku zote nimekuwa nikimuomba Mungu anisaidie kamwe nisije nikawa na Kiburi, nikajiona mimi ni kiongozi. Nitaendelea kuwa mtumishi wenu na muda wangu ukimalizika nitarudi kijijini," - Rais Magufuli.
  18. JamiiForums Tanzania Bibi amuita Magufuli 'Mungu' baada ya kupewa msaada

    Kusema ukweli nimeona aibu kuiangali hii video, nimesoma tu heading kwenye video, maana ni aibu ilioje kuina na kusikia binadamu mwenzako akiitwa Mungu, nimeona aibu sana. Kwa wenye ujasiri wa kuangalia naomba muangali halafu mtuhadithie. Video ipo chini hapo.
  19. JamiiForums Tanzania Mnaojitunza mkimuomba Mungu awape wenzi, mulishawahi kujiuliza haya?

    1. Mungu hajibu hisia za mtu wala kukupatia unaempenda sana, bali anakupa mtu anaemtaka yeye na utakoma kwa sonona la miaka mingi. 2. Picha ulizo nazo kichwani tupa kule, Mungu ana picha zake akikupa moja utahangaika nayo hadi uzee wako na hutopona kisukari na presha. Kama upo kwenye mkesha wa...
  20. JamiiForums Tanzania Ili Kutomuudhi sana Mwenyezi Mungu sasa Wanaume ' hatuui ' tena Wapenzi wetu bali tunachoma tu Moto ' naniliu ' zao pekee

    Katika hali inayoonyesha kuwa Wanaume wa sasa tumeshachoka na Vitendo vya ' Uchepukaji ' na ' Dharau ' nyingi kutoka kwa Wanawake zetu ambao huwa wakianza tu Mahusiano ya Kimapenzi na Wanaume wengine sasa umekuja ' Ubunifu ' mpya ambapo Wanaume wa sasa ' hawauwi ' tena na badala yake wanachoma...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…