Wakuu,
Kwa taarifa nilizo nazo, ni kuwa muda si mrefu Rais Magufuli atalihutubia Taifa.
Kama hii itatokea, itakuwa mara ya kwanza tangu aingie madarakani kuhutubia Taifa.
Tutarajie nini?
Stay tuned...
=======
LIVE:
VIDEO:
Rais Magufuli anasema;
=> Baada ya kuibuka Ugonjwa wa Corona...
Tatizo kubwa hapa nchini ni kwamba pale inapotokea janga, mlipuko wa ugonjwa basi wafanya biashara hutumia nafasi hiyo kujinufaisha. Kuna vifaa kama hand sanitizer, medical face masks vimekuwa katika uhitaji mkubwa sana kwa ajili ya kujikinga na virusi vya corona.
Serikali kupitia waziri wa...
Rais Magufuli ameishukuru serikali ya Germany kwa msaada walioutoa kujenga karakana hiyo ya kisasa.
Pia Rais Magufuli amempa balozi barua maalumu ya shukrani kwa counvillor Mikael wa Germany.
Kadharika Rais Magufuli ametumia fursa hiyo kuwataka watanzania wajihadhari na ugonjwa huo hatari.
Rais...
Polisi wakihakikisha Usalama wa Katibu Mkuu wa CCM Taifa Bashiru Ally akiwa ziarani Mkoani Mtwara mapema leo hii.
Je, inawezekana kwa Katibu Mkuu wa chama cha upinzani mathalani CHADEMA, John Mnyika kusindikizwa hivi?
Wakuu nawasalim,
Ni dhahiri kwa sasa kila pande ya dunia ugonjwa wa corona madhara yake yamekuwa makubwa zaidi na kila nchi inajaribu kupambana kwa uwezo wake wote ilimradi tu kuuondoa au kupunguza madhara ya huu ugonjwa.
Idadi ya vifo ni vingi zaidi, licha yakuwa taarifa zinazotolewa na...
Nasema "alitaka kumuua" kwa sababu ukiangalia yale matundu ya risasi upande wake wa gari utajua kuwa hawa watu hawakutaka kumtishia tu. Walidhamiria kumuua.
Niungane na Watanzania wenzangu kumuombea Tundu Lissu dua/sala ili apone kikamilifu, Amin.
Nimejiuliza maswali mengi kuhusu shambulio...
Sehemu ya Kwanza
Nikiwa tayari nimekaa kwenye kiti changu ndani ya Basi, nasubiri muda ufike tuanze Safari kuelekea jijini Mwanza, tukitokea jiji la Dar es salaam.
Natazama nje ya Basi naona abiria wakielekea maeneo tofauti tofauti hapa kituoni Ubungo kupanda mabasi mbalimbali yanayoelekea nje...
Sheikh wa mkoa wa Dsm Alhad Musa Salum amesema CCM imepewa upendeleo na mwenyezi Mungu kwa sababu wanatumia rangi ya kijani ambayo ndio rangi pekee iliyobarikiwa na Mungu.
Alhad Musa amesema hayo wakati akiiombea dua CCM katika katika sherehe za miaka 43 ya chama hicho inayofanyika kitaifa...
Rais Moi na mkewe walioana wakiwa watu wa dini sana. Walikuwa walokole wakisali kanisa la African Inland Church.
Moi alipopanda cheo kuwa Makamu wa Rais wa Kenya tatizo kwenye ndoa likatokea hadi kusababisha ndoa kuvunjika.
Tatizo lenyewe lilikuwa Moi alianda sherehe ambapo mgeni rasmi...
Kama yasemwayo kuhusu mabeberu kutaka kusaidia kufanikisha mabadiliko yana ukweli wowote,binafsi naunga mkono kwasababu zifuatazo:
Wizi,rushwa ufisadi na kulindana
Kikundi hiki cha watu ndio kimetawala hii nchi tangu uhuru na baadhi yao wana tuhuma nyingi za wizi,ufisadi na ubadhirifu wa...
Katika kujifunza nimejaribu kubaini kuwa maombi yetu leo yana uelekeo wa aina moja "Baba nipe hiki au kile na siyo ya kusikiliza maelekezo"
Tunatumia muda mwingi kuomba na siyo kusikiliza ndiyo maana hata tunapopatiwa maelekezo ya namna ya kupata mahitaji yetu tutakuwa nje ya usikivu "we don't...
Ni swala la uelewa tu na wala halihitaji nguvu kubwa wala kutunisha msuli.
Ni kwamba hakuna binadamu mwenye uwezo wa kulichanachana au kulichoma moto NENO la Mungu.
Kwahiyo tusikuze mambo ambayo kimsingi tulipaswa kuyapuuza. Si vema, busara wala haki kuruhusu mihemko ya kidini isiyo ya lazima...
Wanabodi za asubuhi!
Tangu zamani sana nyakati zile za biblia Mungu aliwafunulia waja wake kuhusu hatma yao ya matukio ya mbeleni kwenye maisha kupitia watumishi wa mungu kama manabii na mitume!!Nakumbuka kisa cha nabii Eliya cha kutabiri kutokunyesha mvua miaka mitatu na nusu kutokana na taifa...
Alijua athari ya kujipendekeza kwa Mabeberu nini kingetokea
Jiulize kwa mfano wanasema wanamwekea Vikwazo asisafiri yeye Magufuli kwenda Marekani Dunia ingewashangaa
Magufuli ukiangalia Safari yake ya kisiasa ni hatua ambazo mwenyezi Mungu alimpangia azipite na mpaka kusudio LA Mungu...
1. Ondoa Takataka Sugu iliyopo Ilala Boma inayopendwa sana na Mazingira ya Magogoni/ Kivukoni
2. Mtumikie Mungu kweli wa Ibrahim, Isaka na Yakobo na acha Kupenda Ushirikina kupitia Lucifer
3. Usikubali na usipende sana kupokea Ushauri wa ' Matege Mbanio ' na ' Mimacho Mimate ' unaowaamini
4...
Bado sijajua kwanini Chadema ilichelewa kumpa cheo hiki , kwa muda mfupi sana alioingia ofisini ametenda makubwa mno , amefanikiwa kupenya kwenye vyombo vyote vya habari vyenye ushawishi , huu ni ushindi wa kwanza kabla ya ushindi mkubwa zaidi .
WANAMUOGOPA MZUNGU KULIKO MUNGU, WANAJIIBIA WENYEWE KURA
Jana nimemsikiliza mama Anna Makinda. Alizungumza jambo la msingi sana. Aliwakumbusha wabunge kuwa mtu yeyote anayedharau au kuombea nchi yake balaa hudharaulika hata kama wanaomsikiliza wanatabasamu! Akatoa mfano wa nchi ya Marekani...
7 WAYS TO DISCOVER THE WILL OF GOD IN MARRIAGE
A lot of things have been said and written about the will of God in marriage. Many people, especially Christians, are concerned about marrying the will of God for their lives and not making a marital mistake. This man writing is not an exception...
Binafsi nimekua mfuasi mkubwa wa mwanaharakati na mtumishi na mmiliki wa kituo cha kulelea watoto yatima cha Bembeleza kutoka Arusha bi.
Irene Mbowe.Jana kwa mshtuko mkubwa nimepokea habari za kufariki ghafla kwa mumewe bw.
Sebastian Malya maarufu kama baba Neema au Ice Kyubu.Mpaka sasa...
January 20, 2020
Birmingham England
NEW SIGNING MBWANA SAMATTA
Exclusive haya ni mahojiano ya Mbwana Samatta akiongea na chaneli rasmi ya klabu ya Aston Vill FC baada ya kukamilisha mkataba kuchezea klabu hiyo.
Source: Aston Villa FC
Habari kamili :
Mchezaji wa kimataifa wa Tanzania...