mungu

  1. JamiiForums Tanzania Ninamshangaa Rais Magufuli anapotaja taja jina la Mungu madhabahuni!

    Kwa lipi hadi utaje taje Jina la Mungu? 1. Kagera walipopatwa na tetemeko uliwaambia kuwa CCM wala Serikali hawajaleta tetemeko. Hiyo siyo kauli ya mtu anayemcha Mungu. 2. Tundu Lissu aliposhambuliwa kwa risasi wewe kama kiongozi wa kitaifa hujawahi kuja na hatua yoyote dhidi ya tukio hilo...
  2. T

    JamiiForums Tanzania Siasa zinatufanya tumkufuru Mungu hata kuhusu corona

    Wengine tuliofiwa na Ndugu tokana na gonjwa hili la Covid 19 ndiyo tunajua machungu yake. Serikali yetu, naapa mbele za Mungu Wetu, ilipoamua kusimamisha kupima maambukizi ilificha mengi. Halijaisha juma moja nina uhakika na kifo cha Ndugu yangu mwingine kuwa kilisababishwa na corona. Ni kweli...
  3. JamiiForums Tanzania Kitabu cha Mungu kinapokuwa kimbilio la wanasiasa wakati wa matatizo

    Rais Trump na kanisa Haki miliki ya pichaREUTERSImage captionRais Trump alikosolewa kwa kupiga picha akiwa amebeba biblia Rais Trump hana kanisa maalum analohusishwa nalo lakini uhudhuria ibada ya kanisa mara moja moja kukiwa na hafla maalum. Amekuwa akitumia ishara na matamshi ya kidini...
  4. J

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli ni chaguo la Mungu amebeba maono ya nchi siyo CCM ni vema Chadema na wapinzani wamuunge mkono

    Kiukweli kila nikimtazama Rais Magufuli naona dhahiri amevuka level ya siasa za vyama na sasa anaitumikia nchi katika mustakabali mpana. Kwa namna anavyoenenda ni ukweli ulio wazi Rais Magufuli anatumikia maslahi ya nchi japo kwa kuongozwa na Ilani ya CCM lakini kwa ubunifu binafsi wa kuleta...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli ni chaguo la Mungu amebeba maono ya nchi siyo CCM ni vema Chadema na wapinzani wamuunge mkono

    Kiukweli kila nikimtazama Rais Magufuli naona dhahiri amevuka level ya siasa za vyama na sasa anaitumikia nchi katika mustakabali mpana. Kwa namna anavyoenenda ni ukweli ulio wazi Rais Magufuli anatumikia maslahi ya nchi japo kwa kuongozwa na Ilani ya CCM lakini kwa ubunifu binafsi wa kuleta...
  6. J

    JamiiForums Tanzania RC Chalamila: Mbowe aliona shetani, majeneza na vifo lakini Rais Magufuli alimuona Mungu na kuishinda Corona

    Mkuu wa mkoa wa Mbeya Albert Chalamila amesema katika kuikabili Corona mh Mbowe wa Chadema aliona shetani, majeneza na vifo ndio maana aliogopa na kukimbilia chumbani kujificha yeye na kundi lake. Lakini Rais Magufuli alimwona Mungu akazipeleka haja zetu mbele zake, Mungu akatupigania nasi...
  7. JamiiForums Tanzania CHADEMA yatimiza miaka 28 tangu kuanzishwa kwake. Asante Mungu kwa kuilinda

    Ifuatayo ni orodha ya Wajumbe wa mwanzo kabisa wa Mkutano mkuu
  8. K

    JamiiForums Tanzania Nani aliyemuumba Mungu?

    The question: "If God is the creator, then who created the creator?" is illegitimate because by definition, the Creator is uncreated. He is eternal, without beginning, without end and all affairs return back to Him: (وَأَنَّ إِلَىٰ رَبِّكَ ٱلْمُنتَهَىٰ) "And that to your Lord is the return (of...
  9. JamiiForums Tanzania Kwa Maelezo ya Tundu Lissu dhidi ya ' Makahaba wa Kisiasa ' ni dhahiri shahiri kuwa ' Wameshalaanika ' vibaya mpaka kwa Mwenyezi Mungu

    Kama kuna Siku ambayo nimeyasoma Maelezo ya Tundu Lissu kwa umakini wake kabisa huku nikiwa nimetulia kabisa mpaka Mzukulu nikajikuta nashindwa Kujizuia kwa Uchungu na kujikuta natokwa na Machozi basi ni haya aliyoyatoa leo kwa wale ' Makahaba wa Kisiasa ' wanaoihama CHADEMA. Na kama kuna...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Hali kwa sasa ipo vizuri na Corona inapungua. Wanafunzi wa Form VI na Vyuo vyote kufunguliwa 01 Juni 2020

    Karibu Wageni wameshawasili katika sherehe hii ambayo wateule kadhaa wataapishwa akiwemo Naibu waziri wa afya, Katibu tawala mkoa wa Pwani Mkurugenzi wa Takukuru na mabalozi. Rais Magufuli ameshaingia ukumbini tayari kuanza kuwaapisha wateule wake. ===== Baadhi ya mambo yaliyozungumzwa...
  11. JamiiForums Tanzania Najiuliza nilikosea kumuoa wife au ni tamaa au labda shetani?

    Ndugu zangu, Wife bana kajifungua kama mwezi hivi, tunashukuru sana kwa Mungu mtoto wa 2 sasa. Safari hii tofauti na mwanzo kajifungulia hapa hapa na tukiwa tushaamia mjengoni nje ya jiji hukoo sijui. Kama ilivyo kawaida japo tuna Dada wa kazi lazima tupate mtu wakukaa na Mzazi hapo ndo...
  12. JamiiForums Tanzania Mungu lazima aabudiwe, wakati wa shida au raha

    Habari wana JF Kwa wale tunaoamini Mungu, ni lazima tumuabudu bila kujali tuko kwenye wakati au hali gani, yaani shida au raha. Ikumbukwe kwamba maisha ni zawadi kutoka kwa Mungu hivyo basi tumrudishie yeye sifa na utukufu. Kwa mantiki hiyo, nakubaliana na Mh. Rais, si vyema kufunga misikiti...
  13. C

    JamiiForums Tanzania Tanzania na Mungu wetu, dunia na taharuki zake

    Wananzengo uzi huu ni maalumu kwa maelezo ya picha bila maneno mengi. Kama una habari yoyote katika picha, tupia hapa bila kuandika maneno mengi. Comments ziwe fupi kama za Bujibuji
  14. J

    JamiiForums Tanzania Poleni Rais Magufuli na KUB Mbowe kwa vijana wenu kupata maambukizi ya Covid 19, Mungu ni mwema amewaponya

    Namshukuru Mungu kwa ushuhuda wa uponyaji kwa mtoto wa Rais Magufuli kadhalika mtoto wa Kiongozi wa Upinzani Bungeni mh Mbowe. Kwa mujibu wa Rais Magufuli mtoto wake alitibiwa nyumbani kwa tiba zetu za asili ikiwemo kula malimao, tangawizi na kujifukiza na Mungu wa mbinguni amemponya. Naye...
  15. J

    JamiiForums Tanzania Inakuwaje CCM yenye wabunge zaidi ya 250 inashindwa kujitosheleza kwa sifa za uwaziri hadi hadi wanateuliwa wapinzani na akina Mwigullu kurudi tena?

    Kwa idadi ya wabunge wa CCM ambao ni zaidi ya 259 inashangaza kwanini wanashindwa kujaza nafasi zisizozidi 50 kwenye baraza la mawaziri. Imefika wakati Rais Magufuli amelazimika kumteua Mwita Waitara aliyekuwa Chadema kabla ya kuhamia CCM na pia kuwarejesha barazani mh Simbachawene na Mwigullu...
  16. JamiiForums Tanzania Ni Kazi gani (Profession) ambayo ukiwa nayo au ukiifanya tu basi tayari umeshaachana kuwa na Mungu na unamtumikia Shetani?

    Nasikia kuna Kazi (Ajira) za Fani (Professions) fulani ambazo ukizifanya hizo hata kama uwe kila Siku unasali Kumuomba Mwenyezi Mungu hawezi Kukubariki kwani zina Dhambi ndani yake na pia zimekaa Kilawamalawama na huwezi Kuzifanya bila kwenda Kinyume kabisa na Maandiko ya Kiimani. Kuna Mtu...
  17. JamiiForums Tanzania Tanzania sio landlocked country. Ni nchi ambayo Mungu amebariki kwa kila kitu

    Ni jambo ambalo sio jema watu kutaka kuutumia huu ugonjwa kutaka kupata umaarufu wa kisiasa. WHO ilishatoa muongozo wa namna kila nchi itapambana vipi na huu ugonjwa kulingana na uchumi wake. Jambo la msingi ni kuzingatia misingi inayotakiwa kujilinda na huu ugonjwa.Kama kuvaa mask kila...
  18. JamiiForums Tanzania Omba Mungu usipate mafua hapa ulaya

    Narudia Tena omba Mungu usipate mafua hapa ulaya utaomba ardhi ipasuke. Waafrika tuna vimafua flani vya kikuda hasa ukiwa maeneo ya baridi Kama tukuyu pale isonje au Arusha. Vimafua hivi tukiwa bongo tunavichukulia poa tu ; tunafuta na leso au wale wasio wastaarabu wanafuta kwa mkono. Sasa...
  19. R

    JamiiForums Tanzania Askofu Gwajima Atoa Kali, Aomba Kibali Serikalini Kuponya Wagonjwa wa Corona Mahospitalini, kwa Kutumia Miujiza ya Nguvu za Mungu!

    .
  20. JamiiForums Tanzania Simulizi: Mapenzi ya Mungu hayakwepeki mtoto wa mfalme alikufa licha ya baba yake kujenga ghorofa la vioo ili kumlinda

    Kuna mfalme alijaliwa kupata mtoto wa kiume. Yule mtoto alikuwa na afya njema, sura ya kuvutia alivutia hata wageni waliofika kwa mfalme. Mfalme alimpenda yule mtoto kama roho yake. Mtoto yule alipofikisha miaka minne, Mungu Mwenyezi alimtaarifu mfalme kuwa mtoto yule atakufa siku si nyingi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…