mungu

  1. JamiiForums Tanzania Kiranga alikuwa anasali Kanisa Katoliki. Ilikuwaje akaanza kuamini hakuna Mungu?

    Mara nyingi nimekuwa nikiwaza huyu member hapa JF atakuwa alikutana na incident iliyomfanya akamchukia Mungu. Hapa anaeleza namna alivyokuwa anasali na Nyerere pale St Peters My take, huyu anahitaji kuombewa ili amrudie muumba wake.
  2. JamiiForums Tanzania Kwa hali ya Corona na kimbunga Jobo, nimeamini Tanzania inalindwa na Mungu

    Hivi mimi ni nani hadi nisishuhudie maajabu ya Mungu kwa Nchi yetu! Kwa sisi tunaosafiri hasa Nchi za wenzetu kwa namna wanavyohangaishwa na Corona na ukiringanisha na namna tunavyoishi hapa kwetu Tanzania hakika mapenzi ya Mungu kwa Nchi yetu ni mema sana. Hilo la kimbuga Jobo pia kutokuleta...
  3. U

    JamiiForums Tanzania UPDATES: Kimbunga JOBO hakipo

    Kimbunga Jobo chawa dhaifu baada ya kukaribia kuingia Tanzania Madhara ya kimbunga hicho sasa kupungua hivyo tuendelee kuchukua tahadhari Mungu ni Mungu Aksanteni kwa Maombi yenu Watanzania TMA UPDATES
  4. JamiiForums Tanzania Alama ya jicho moja: Je, ni ishara katika vikundi vya siri, ishara katika Uungu (Ukristo), ishara ya Mungu wa Misri au uwakilisho wa mpinga Kristo??

    ALL SEEING EYE, EYE OF PROVIDENCE - 1 Wasalaam, Kila mmoja alama hii aliitafsiri vile ajuavyo yeye huku madaai ya kuhusishwa na vikundi vya Illuminant /Freemasonry yakishamiri zaidi. Wengi wetu tumeichukulia kama alama ya mficho, kama zilivyo alama nyingi za kuficha na yenye ishara za...
  5. JamiiForums Tanzania Ripoti za Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Mwaka wa Fedha 2019/2020

    Salaam Wakuu, Hapa chini ni Muhtasari wa ripoti za Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali Mwaka wa Fedha 2019/2020 === Mhe. Naghenjwa Kaboyoka (Mb), Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya PAC; Mhe. Grace Tendega (Mb), Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya LAAC; Mhe. Daniel Sillo (Mb), Mwenyekiti...
  6. JamiiForums Tanzania Mungu hasamehi Dhambi; tuache kudanganyana

    MUNGU HASAMEHI DHAMBI; TUACHE KUDANGANYANA Kwa Mkono wa, Robert Heriel Haya nayo niliandika, kusudi usije ukasema hukuambiwa. Nami najua siwezi kuukimbiza muda, nao umekuwa mchache, umeniacha wala siuoni tena. Basi ikiwa muda wetu wa kuishi Duniani ni mdogo yafaa tuishi kwa tahadhari. Ni mimi...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Kundi lipi lipo upande wa Mungu, Je ni CHADEMA au viongozi wa dini?

    Viongozi wa dini yaani wakristo na Waislam wakiwemo Mapadri, Mashekh, Wachungaji, Maaskofu wanamuenzi, wanamsifu na kumtukuza Magufuli. Lakini CHADEMA na uongozi wote wa mnanga, wanamponda, wanamtusi na kumkashifu Magufuli. Kwania njema kama kuna wadadavuaji wa mambo ya imani, ni kundi lipi...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri: Kongamano la viongozi wa dini kumshukuru Mungu kwa maisha ya Magufuli na kuwabariki Rais Samia na Mwinyi

    Ukumbi wa Chimwaga umesheheni viongozi mbalimbali kutoka dini na madhehebu yote. Kadhalika viongozi mbalimbali wa serikali na vyama vya siasa wamo ukumbini. Local channels zote zitakuwa mubashara kurusha tukio hili muhimu la kitaifa. Updates: Askofu Malasusa ndiye amidi ( MC) wa shughuli...
  9. JamiiForums Tanzania BAVICHA kutoa Sadaka Maalum Kanisani ili kumuomba Mwenyezi Mungu atoe hukumu ya haki kwa wote waliohusika kuwabambikia kesi wanachadema

    Baada ya kutembelea Magereza kadhaa za Kanda ya Nyasa na kujionea lundo la Wanachadema wanaozidi 100 waliolundikwa jela kwa uonevu kwa makosa ya Uongo ya mauaji , uhujumu uchumi, Madawa ya kulevya, ujambazi na Utakatishaji fedha, Ile Taasisi ya vijana inayoongoza Barani Africa kwa sasa...
  10. JamiiForums Tanzania Barua ya Shetani kwa Mtawa wa Kikristo 1676: Mungu ni mvumbuzi wa Binadamu

    Wasaalam, Kuna hadithi ambayo inaturudisha karne ya 17, kuhusu mtawa wa Kiitaliano ambaye alidai kuwa ameandika barua kadhaa wakati akiwa anaendeshwa na shetani Mtawa huyo anayejulika kwa jina Maria Crocifissa Della Concezione, aliamini kwamba shetani mwenyewe aliandika barua wakati...
  11. JamiiForums Tanzania Nilipata ajali na Mungu akaninusuru

    Asanteni Sana Ndugu zangu. Katika mazingira ya kazi Kuna mengi. Mwaka wa Jana nilifanikiwa kukamata Pamba Tani 11 na ikataifishwa. Waliokuwa wameificha pamba walikamatwa! Mwaka huu watu wale wale wamenifanyia hivi. Nafikiri Kama nilikosea kusimamia ukweli. Wamenibeba kwenye gari lao wakanitupa...
  12. JamiiForums Tanzania Mungu wako wewe ni sawa na Mungu wangu mimi?

    Linaonekana kama swali la kipumbavu kwa wasomaji lakini mimi linanifikirisha sana usiku na mchana na sipati majibu. Mafanikio ya maisha niliyonayo mimi ni makubwa na hayalingani kabisa na nguvu, muda na mali ninayompatia Mungu wangu mimi. Mimi huwa ninamwamini sana (100%) kuwa anayaweza yote na...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Dada zetu ( Wanawake ) mnaompangia Mwenyezi Mungu tena kwa Kumlazimisha awapeni Mtoto wa Jinsia fulani achaneni upesi na huu utaratibu

    Kuna Dada Mmoja wa Mtaani Yeye alibahatika sana kupata Watoto wa Jinsia ya Kiume tena Wawili kabisa. Huyu Dada baadae akawa anatamani mno kupata Mtoto wa Kike na akawa anahangaika kwenda Kanisani Kuliombea hilo na kuna muda hadi kwa Waganga alishaenda vile vile. Kilichotokea ni kweli alibeba...
  14. JamiiForums Tanzania Ole wao wale wanaotumia nafasi zao za umma na Serikali kuiba, kuhujumu uchumi na kupokea rushwa, maana salama yao ni kudra za Mwenyezi Mungu

    "Ole Wao Wale Wanaotumia Nafasi Zao Za Umma Na Serikali Kuiba , Kuhujumu Uchumi Na Kupokea Rushwa ' Maana Salama Yao Ni kudra Za Mwenyezi Mungu , Labda Nisiwajue " Hayo yalikuwa ni maneno ya mwamba Edward Moringe Sokoine. Na mimi haya ndio maneno yangu ya mwisho hapa JamiiForums maana leo ndio...
  15. F

    JamiiForums Tanzania Kuhusu Bandari ya Bagamoyo na Umeme wa Gas, Ndugu Job Ndugai na Prof. Muhongo wamechemka big time!

    Ndugu Watanzania wenzangu, pamoja na siku 21 za kuomboleza kifo cha Hayati Dr. Magufuli kuisha. Mimi bado naomboleza mpaka 40 yake ipite! Kuna makala yangu moja humu JF niliwahi kumtahadharisha Hayati Rais Magufuli kuhusu wanafiki walio mzunguka! Nilimwambia akiondoka madarakani hakuna hata...
  16. JamiiForums Tanzania Mama, Mwenyezi Mungu akutangulie katika kila jambo.

  17. JamiiForums Tanzania CAG Assad Mungu ampe maisha marefu sana. Aliweka wazi kuwa Bunge ni dhaifu halafu kuna watu wakaja juu na kumuondoa

    Mh CAG Assad Mungu ampe maisha marefu sana,aliweka wazi kuwa bunge ni dhaifu halafu kuna watu wakaja juu na kumuondoa. Ule udhaifu aliousema ni huu uliotufikisha hapa leo. KATIBA imeweka wazi kazi ya bunge ni KUSIMAMIA na KUISHAURI serikali. Hii kazi ya KUSIFU tu wameitoa wapi? Tulijiuliza...
  18. N

    JamiiForums Tanzania Kuna watu kwenye system wanatumia nguvu sana kumchafua Rais Samia, Mtafeli Samia ni chaguo la Mungu

    Kuna watu baada ya Rais na Amiri jeshi mkuu Mh SSH kuanza uteuzi wa viongozi mbalimbali kuna watu roho zimewauma sana na wanatumia watu sana ili wamchafue Rais wetu kipenzi, Kuna watu hawakutaka awe pale sasa watu wanajifanya kumkosoa sana na kundi linaloongoza ni lile kundi la mataga waliokua...
  19. P

    JamiiForums Tanzania Mungu anaifahamu vema katiba Yetu; alimtwaa JPM huku akijua VP ndiye atakuwa Rais wetu. Watanzania tupokee hii zawadi kwa mikono miwili

    Mungu hutembea katika maagano, maagano ambayo hufanyika Kati yake na wanadamu aliowaumba akawapa thamani ya Kwanza Kati ya viumbe vyake Vyote. Mandalio ya moyo ni ya Mwanadamu, lakini jawabu la hayo latoka kwa Mungu. Mungu anaifahamu fika katiba Yetu, na kwamba hawezi kuruhusu kifanyike kitu...
  20. JamiiForums Tanzania Ujumbe kwa Rais Samia Suluhu: "Hatari ya Mtawala kujipa sifa za Mungu"

    HATARI YA MTAWALA KUJIPA SIFA YA "mungu" Kwa Mkono wa Robert Heriel. Mwaka Juzi niliandika makala niliyoipa kichwa kisemacho "NJAMA ZA IKULU, HATA RAIS/MFALME ANAWEZA KUDANGANYWA" Soma hapa 👉👉👉👉Hata Rais hudanganywa: Njama za Ikulu ndizo hizi katika makala hiyo nilieleza kinaga ubaga namna...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…