mume wake

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Magical power

    JamiiForums Tanzania Kulikuwa na mwanamke ambaye alitaka kujua jinsi mume wake angefanya ikiwa angeondoka bila kumwambia alikokwenda

    Muda mfupi uliopita, kulikuwa na mwanamke ambaye alitaka kujua jinsi mume wake angefanya ikiwa angeondoka bila kumwambia alikokwenda. Aliamua kumwandikia barua akisema amemchoka na hataki kuishi naye tena. Baada ya kuandika barua hiyo, aliiweka juu ya meza ya chumbani kisha akaingia chini ya...
  2. Mwalimu wa tuisheni

    JamiiForums Tanzania Mke akoswakoswa kuuawa na mume wake kwa kisu

    Munghonie bhandu bha kyala? Mwiputie? Haya bondeni tena huko, kijana aliyefahamika kwa jina la Ntembeko Myalo anashikiliwa na jeshi la polisi baada ya kujaribu kumuua mke wake kwa kumchoma na visu. Kijana huyo alikua ni wanafunzi wa chuo cha western cape na mkewe akisoma Cape Peninsula...
  3. Mwanga Lutila

    JamiiForums Tanzania Hivi kwanini mwanamke akifiwa na mume wake anaanza kupendeza na kunawiri?

    Nauliza jamani? Ina maana wake zetu hawana furaha na sisi?...Ila wanatuvumilia tu
  4. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Vicky Kamata asema marehemu mume wake "Alikuwa na vinyumba vya kawaida na msururu wa watoto!"

    Nakuomba msamaha mume wangu kwa kuwa mimi ni Mkatoliki na Imani yangu inaniambia unaona na unajua kila kitu kinachoendelea kati yangu na wanao. Najua muda utaongea lakini kwa kuwa nami ni binadamu naomba niseme yafuatayo! Ni kweli mimi ni kiumbe dhaifu na mwenye dhambi nyingi tu kama wengine...
  5. jastertz

    JamiiForums Tanzania Siri 5 ambazo mke hafai kumwambia mume wake licha ya utamu wa penzi lao

    Ndoa ni muhimu, na huwa muhimu kwasababu ni kitu kinachowaunganisha mume na mke na kuanzisha familia, na huleta baraka nyingi kama vile watoto na nyinginezo nyingi. Hata hivyo siku hizi, ndoa nyingi huishia kuvunjika kutokana na sababu moja au nyingine, hususan kutokana na ugomvi ndani baina ya...
  6. Oscar Lyrics

    JamiiForums Tanzania Inawezekanaje mke kumnyima mume wake unyumba?

    Habarini wandugu, Moja kwa moja kwenye mada yetu. Rafiki yangu mmoja aliniuliza `Hivi King Jody umewahi kunyimwa unyumba na mke wako? Nikamjibu hapana, hata mara moja, nikamwambia nipo kwenye ndoa kwa zaidi ya mika 10 sijawahi nyimwa hata mara moja hata kama tumepishana kauli nikihitaji napewa...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Anaomba ushauri: Akubali kuwa mke wa pili au asubiri atapata mume wake?

    Nina rafiki yangu kwasasa ametimiza miaka 25 lakini wadogo zake wameolewa ambao ni watoto wa mjomba ake sasa yeye kwa sasa anafanya kazi hizi za kujitolea katika shirika X kwahiyo kuna muda anakua anatamani kuwa na mume au mchumba ambaye ana nia ya kumuoa sasa the bad thing ni kwamba hana...
  8. mama D

    JamiiForums Tanzania Diva 'divatheebawse' amekimbia kwa mume wake usiku huu na ameamua kuwaaga fans wake. Wakubwa wenzangu huyu tumshauri au tumwache?

    Bandiko liko Instagram
  9. M

    JamiiForums Tanzania Katika Ukristo Mwanamke anaruhusiwa kuolewa baada ya muda gani toka kufiwa na mume wake?

    Naomba kuuliza kwa wakristo, Mwanamke anaruhusiwa kuolewa baada ya muda gani toka kufiwa na mume wake au baada ya kuachwa? Maana kwa waisilamu pindi mume akifa mwanamke hukaa miezi 4 na siku 10, na taraka hukaa mpaka aingie mwezini mara tatu.
  10. Engager

    JamiiForums Tanzania Mume wake ni mtu wa kusafiri

    Nimekaa nikatafakari. Sisi wanaume ambao harakati zetu za kupata mkate wa kila siku zinahusisha kusafiri safiri, tunachapiwa sana wake zetu. Nimesoma nyuzi nyingi sana hapa JF vijana wakieleza ilikuwaje wakatembea na mke wa mtu, hichi kipengele cha 'mumewe ni mtu wa kusafiri sana' kimetajwa...
  11. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Ajali ya Happy Nation yaua Hakimu na mume wake Bukoba

    Polisi mkoani Kagera inamshikilia dereva wa Basi la Happy Nation, Shaaban Khatibu 38 mkazi wa Dare es Salaam akidaiwa kusababisha vifo vya watu wawili. Tukio hilo inadaiwa lilitokea Barabara ya Biharamulo, Kata Ijuganyondo, Manispaa ya Bukoba, Jumanne Desemba 6, mwaka huu majira ya saa 5.30...
  12. Nobunaga

    JamiiForums Tanzania Usiamini kila unachokiona mtandaoni, Zamaradi hajanunuliwa gari na Mume wake

    Range ya Zamaradi Ilivyopatikana. Issue iko hivi Zamaradi alinunuaga nyumba kipindi yupo na Ruge, Ruge alimsaidia kununua hiyo nyumba. Then akanunua kiwanja mwenyewe kipindi yupo na Ruge, baada ya kuwa na Shabani wakaanza kujenga nyumba kwenye hiko kiwanja, ndiyo hiyo nyumba wanayoishi. Sasa...
  13. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Afariki kwa ajali ya gari akimfukuza mchepuko wa mume wake

    Kamanda Kikosi cha Usalama Barabarani cha Shirikisho (FRSC), huko Cross River, Maikano Hassan, amesema mwanamke huyo wa makamo alipata ajali hiyo na kupoteza maisha huko Calabar siku ya Jumapili baada ya kuwa katika ugomvi mzito na mwanamke aliyedaiwa kuwa ni mchepuko wa mume wake. Alisema...
  14. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Kagera: Mama aliyefariki na wanaye wanne katika ajali yadaiwa alikuwa akimkimbia mume wake

    WATU wanane waliokufa kwenye ajali ya gari wilayani Biharamulo mkoani Kagera wakiwemo watano wa familia moja wamezikwa katika Kijiji cha Nyamalagala, Kata ya Lusahunga wilayani Biharamulo mkoani Kagera. Diwani wa Kata ya Lusahunga, Amos Madebwa alisema kijiji hicho kimepata simanzi kwa kupoteza...
  15. Nyamwage

    JamiiForums Tanzania Biashara anayoanzisha mwanamke awe mke au mchumba kwa mtaji wa kupewa na mume wake hua zina maisha mafupi sana

    Habari. Wanaume nadhani mtakua mashuhuda wa hili mimi limenitokea kama mara tatu hivi najutia pesa zangu bora hata ningeenda kununua kipande cha ardhi vikindu ili mwanamke awe na bidii na afanikiwe katika biashara yake mwache atafute mtaji yeye mwenyewe akishindwa akakope bank ukijitia...
  16. Poker

    JamiiForums Tanzania Simanzi imetanda mke amkimbia mume wake wa miaka 10!

    Hali imekuwa si shwari baada ya Selina kumkimbia mume wake waliyedumu nae kwenye ndoa miaka 10. Mr Rogers alikuwa ni mfanyabiashara hapo Kariakoo kisha kumuachia mke wake duka aendelee kulisimamia na yeye kuanza kusafiri mikoani kununua mazao kuyaleta Dar es salaam. Basi Mungu aliwajalia hela...
  17. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Leo nimetaka kumtandika Dada yangu vibao mbele ya mume wake. Wanawake wa siku hizi sijui wakoje!

    Sister ameanza ubinafsi wa kipuuzi. Nmewasikia toka wakiwa room kwao kuna mgogoro. Shem anaomba game. Sister analeta usister duu kuwa eti kachoka. Shem kabembeleza sana kuwa ana hamu na yeye ndo mkewe. Sister kaona kero kaamua kwenda sebuleni kucheck movies. Nimemfuata sister na kumuuliza kwa...
  18. L

    JamiiForums Tanzania Alimwambia mume wake aoe yeye yuko busy.

    Moja kwa moja kwenye mada. Mkuu wa wilaya ya Bagamoyo kwa sasa kipindi akiwa mkuu wa wilaya ya Pangani alimwambia Mme wake aoe mke mwingine sababu yeye yuko busy na majukumu watu walimsifia sana na kumuona ni mwanamke anaejali. Cha ajabu jana bungeni katambulishwa kama mke wa Waziri wa maji...
  19. Nelson Kileo

    JamiiForums Tanzania Dada aliyemuua jambazi katika harakati za kumuokoa mume wake: Sheria imekaaje? Je, ana kesi yoyote ya kujibu?

    Sheria zetu zinasemaje juu ya hili? ====== MWANAMKE ALIYEPIGANA NA JAMBAZI MWENYE BASTOLA NA KUFANIKIWA KUMUUA Mke wa Mfanyabishara Castola Mnoge, Juliana Damiani, mkazi wa Kasulu mkoani Kigoma, amesimulia jinsi alivyopata ujasiri wa kumpiga na gongo jambazi na baadaye kushika jiwe kupambana...
  20. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Hasira ya kumfumania mume wake na rafiki yake wa karibu mke aamua kuchoma pesa

Back
Top Bottom