mume wake

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. U

    JamiiForums Tanzania Mwanamke jina Happyness Khalfan amekatwa mkono na mume wake kwa kukataa asisome sms kwenye simu yake baada ya kuchelewa kurudi nyumbani

    #Repost @wasafifm —— Mwanamke aliyefahamika kwa jina la Happyness Khalfan amekatwa mkono na mume wake Charles Peter kwa kosa la kukataa asisome ujumbe mfupi (SMS) kwenye simu yake mara baada ya kuchelewa kurudi nyumbani. Tukio hilo limetokea mnamo tarehe Desemba 15, 2024 katika kata ya...
  2. kyagata

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kumbe Mke wangu ana mume wake wa kazini!

    Juzi ijumaa nikawa nimempitisha wife kazini kwake.wakati naondoka nimefika kama meter 200 hivi mbele nikakumbuka kuwa kasahau mkoba wake kwenye gari,basi ikabidi nimrudie kimya kimya,kufika reception nikamuulizia akaitwa,so hakujua kama mimi niko pale reception namngoja,nikasikia kwa masikio...
  3. The Sunk Cost Fallacy 2

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Songea: Mke (CCM) amkaanga Mumewe (CHADEMA) Kwamba Hawezi Uongozi Asichaguliwe

    Haya ndio Yale Yale ya Mr.Tumbili na Mke wake. My Take: Mambo ya ndege wasiofanana hawawezi kuruka pamoja. https://x.com/swahilidigital_/status/1862009393295810976?t=gJsJpp2KrYc1oxlsYO2xBg&s=19
  4. Jumanne Mwita

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke wa Ne-Yo amletea mume wake Wanawake waku Sex nae nyumbani

    Mke wa Mwanamuziki maarufu duniani Neyo awaleta Wanawake Wawili warembo ambao Kazi Yao itakua ni kujamiana na mume wake kipindi ambapo atakua ameenda kujifungua au katika kipindi chote ambacho yeye itakua shughuli nzito kukutana na mumewe mke huyo anasema hakutaka mume wake aanze kuhangaika na...
  5. Desierto

    JamiiForums Tanzania Amejiua baada ya Mume wake kakataa ujauzito

    Ni huzuni pia hili tukio ni linatufundisha kitu kwa wale mnaokula kula wake za watu na kuweka kambi kabisa huku mume halisi wa mke akiwa bado yupo. Hili tukio limetokea siku ya jumapili huko nyumbani mkoani singida Kwa jinsi nilivosimuliwa huyu mwanamke ambaye ni mtoto wa ndugu yangu alikuwa...
  6. Zacht

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke kachoka kumlisha mume wake

    Habari wakuu Kuna msemo unasemaga mwanaume akipata Hela mawazo yake ni kutafuta mke mzuri kuwa na watoto lakini mwanamke akipata Hela anawaza kuwa huru haijalishi yupo kwenye ndoa au yupo single. Kuna mtani wangu pia ni rafiki yangu (sio sana) anapitia wakati mgumu Sana muda mwingi anakuwa na...
  7. Z

    JamiiForums Tanzania Mke azuia mazishi ya mume wake kufanyika.

    Niliona taarifa kwa Millard ayo ikisena mazishi ya Bilionea wa madini (Arusha) yamezuiwa na mke kwasababu mke alidai hakushirikishwa kwenye taratibu za mazishi, mke akaamua kwenda Mahakamani ili kuzuia mazishi yasifanyike ili apewe kibali Cha yeye kusimamia mazishi hayo. Leo taarifa inasema...
  8. Loading failed

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ole wenu wanawake hakuna mwanaume atakaye kubaliana na huu upuuzi ni mara mia usikubali kuchanua mapaja kama unajijua huwezi kuomba ruhusa kwa mumeo

    Ndugu zangu.. Ukweli ni kwamba mwanaume aliumbwa kutawala na kumcolonize mwanamke na vitu vyote viijazavyo dunia. Mwanaume hakuumbwa kuomba ruhusa bali aliumbwa kutoa taarifa ya kila alichokabidhiwa kukitawala nakukiongoza yeye siku zote mwenye malaka ni mwanaume n anapaswa kuamuakupitia...
  9. Gemini AI

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Anaomba Ushauri: Alisalitiwa na mume wake wakaachana, Mume akaoa na akapata Pesa. Maisha yamekuwa magumu anataka kuwa Mchepuko

    Habari wana Jukwaa, Nataka kushiriki nanyi kisa changu. Mimi na mume wangu tulikuwa tunapendana sana, lakini kulikuwa na tatizo kubwa—hakuwa mwaminifu. Alikuwa akiendekeza wanawake wa nje ya ndoa yetu. Kwa kweli, nilijaribu kuvumilia hali hiyo, lakini mwisho wa siku, niliamua haiwezekani tena...
  10. Ketoka

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanamke anaachika kutoka kwa mume wake kisa mchepuko halafu anaenda kuambukizwa HIV kitaalamu tunaitaje?

    Baada ya mwanamke kujua/ kufahamu mume wake anachepuka na kidada fulani jirani,mwanamke anaachika huku akidai hawezi kuvumilia mwanaume amletee magonjwa ya zinaa na UKIMWI Akiwa huko anakutana na mwanaume mwingine na kukubali kuolewa naye na kupachikwa ujauzito na siku ya clinic anaambiwa ana...
  11. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke atumia meseji za Mume wake na Mchepuko kuandaa keki ya Birthday

    Ungekuwa wewe ungefanya nini kama mwanaume, chhkulia ni mbele za watu. Tena mkeo unamuita stupid mbele kwa mchepuko.
  12. T

    JamiiForums Tanzania Mwanamke mwenye heshima anatakiwa aamke kila baada ya masaa mawili amgeuze mume wake asije vunjika shingo

    Hii imeenda nasema hii imeenda kabisa eti Nini nipoooo kwakweliiii 🤣🤣
  13. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke wa zamani wa Ricado Kaka afunguka sababu za kumsaliti mume wake, adai utakatifu wa Kaka kwake ulimboa

    Mke wa zamani wa Ricardo Kaka, aliyemsaliti akiri kwamba Kaka alikuwa mume bora sema aliboreka na maisha matakatifu aliyoishi Kaka. Kwa maneno yake anasema "Kaka hakuwahi nisaliti, alinijali na kunipa familia inayopendeza, ila sikuwa na furaha, niliona kuna kitu kinakosekana. Tatizo kubwa ni...
  14. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni mfumo wa mpinga kristo ndio leo hii umempa mwanamke mamlaka ya kumshika na kumkaripia mume wake akichepuka

    Kwa kasi hii ya Dunia I hope 50 yrs later wanaume ndio watakuwa wanachumbiwa na kuolewa na wanawake. Ile mamlaka ya Kiungu na kiuongozi ndani ya mwanaume inapotea taratibu. Inafika wakati sms tu ya kawaida ambayo haina ushahidi wa 100% kuwa mume wake anaishi kimapenzi na mwanamke mwingine...
  15. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Uaminifu: Mke ajitunza miaka 17 kumsubiri mume wake atoke jela. Wewe ungeweza?

    Mwanamume aliyefungwa jela miaka 17 amemaliza kifungo chake na amemkuta mkewe akiwa mwaminifu akimsubiri amalize adhabu yake waendeleze maisha. “Nimefurahi sana kwa sababu mume wangu ameachiwa huru baada ya miaka 17 ya kifungo jela. Nimekuwa nikimsubiri kwa miaka yote. Nimevumilia sana, lakini...
  16. Mjanja M1

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Video: Huyu ndio Mwanamke asietaka kumpikia Mume wake

    Wengi mnamjua kama Diva The Bawse, huyu Mwanamke anajiita Rihanna na pia bila kusahau anajiita Beyonce. Huyu Beyonce wa Bongo hataki kumpikia wala kumfulia Mume wake, kwa mujibu wa hii Video. ANGALIA VIDEO HAPA 📹 ZamaradiTv
  17. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Fatma Karume atoa ya moyoni kuhusu aliekuwa Mume wake

    Kwenye pitapita zangu mtandaoni nikakutana na comment ya Fatma Karume akijibu maneno ya mdau kuwa "Shangazi huna ndoa, tulia". Inaonekana Shangazi aliumizwa sana na matukio ya mume wake ndio maana akaamua kuiacha Ndoa yake. Wale waliokuwa wanasema Shangazi ameachwa kwasababu ya Ujeuri na...
  18. Magical power

    JamiiForums Tanzania Kulikuwa na mwanamke ambaye alitaka kujua jinsi mume wake angefanya ikiwa angeondoka bila kumwambia alikokwenda

    Muda mfupi uliopita, kulikuwa na mwanamke ambaye alitaka kujua jinsi mume wake angefanya ikiwa angeondoka bila kumwambia alikokwenda. Aliamua kumwandikia barua akisema amemchoka na hataki kuishi naye tena. Baada ya kuandika barua hiyo, aliiweka juu ya meza ya chumbani kisha akaingia chini ya...
  19. Mwalimu wa tuisheni

    JamiiForums Tanzania Mke akoswakoswa kuuawa na mume wake kwa kisu

    Munghonie bhandu bha kyala? Mwiputie? Haya bondeni tena huko, kijana aliyefahamika kwa jina la Ntembeko Myalo anashikiliwa na jeshi la polisi baada ya kujaribu kumuua mke wake kwa kumchoma na visu. Kijana huyo alikua ni wanafunzi wa chuo cha western cape na mkewe akisoma Cape Peninsula...
  20. Mwanga Lutila

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi kwanini mwanamke akifiwa na mume wake anaanza kupendeza na kunawiri?

    Nauliza jamani? Ina maana wake zetu hawana furaha na sisi?...Ila wanatuvumilia tu
Back
Top Bottom