muhimbili

Muhimbili University of Health and Allied Sciences (MUHAS) is a public university in Dar es Salaam, Tanzania. It is accredited by the Tanzania Commission for Universities (TCU).

View More On Wikipedia.org
  1. thegreat1510

    JamiiForums Tanzania Selection za Muhimbili (MUHAS) zinanichanganya sana

    Wakuu! Jamaa angu ka login kwenye account yake aliyotumia kufanya application za Muhas akakuta taarifa "ndugu '__' hujachaguliwa kujiunga na chuo Cha Muhimbili round 1" Hilo Jambo limeniogopesha Sana ukizingatia jamaa ana one ya point 5, dah! Wakuu naombeni kufahamishwa njia nyingine ya...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Mtindo mpya wa rushwa wa kubomoa na kujenga Hospitali ya Taifa Muhimbili

    Kumeingia mtindo mpya wa kujitafutia miradi. Sasa mkurugenzi wa Muhimbili anataka kuanzisha mradi wa upigaji eti Muhimbili ibomolewe na kujegwa upya wakati kuna vijana hawana hata mabweni ya kulala. Kwani kuna tatizo gani ya maeneo ya kujenga mpaka wakabomoe hospitali! Kwanini basi pasibakie...
  3. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kocha ana Ndevu mbaya kama Paka wa Wodi ya Mwaisela Muhimbili ndiyo mtegemee aifunge Yanga SC?

    Kama kuna Timu kwa sasa itakuwa ni ya Pili Kwangu Kuichukia baada ya ile nyingine inayojulikana na kila Mtu kuwa naichukia zaidi basi itakuwa ni Azam FC. Timu imejaa Unafiki na Uyanga mno.
  4. benzemah

    JamiiForums Tanzania Upatikanaji Dawa Muhimbili Wafikia Asilimia 97

    Hospitali ya Taifa Muhimbili na Amana zimesema upatikanaji wa dawa na vifaa tiba kwa sasa ni asilimia 97. Akizungumza jana jijini Dar es Salaam Mfamasia wa Hospitali ya Muhimbili, Nelson Faustine amesema, hali ya upatikanaji wa dawa na vifaa tiba katika taasisi hiyo imeimarika na wameshuhudia...
  5. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Majaliwa atoa siku 7 kwa TARURA, DAWASA kukamilisha barabara Muhimbili

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewapa siku saba Meneja wa Wakala wa Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) Mkoa wa Dar es Salaam, Godfrey Mikinga na Mkurugenzi wa Usafi wa Usimamizi wa Usafi wa Mazingira wa Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingiza (DAWASA), Lydia Ndibalema wawe wamekamilisha...
  6. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Asilimia 13 ya Watanzania hupoteza maisha kwa mwaka kutokana na maradhi ya moyo

    Daktari Bingwa wa Magonjwa ya Moyo Muhimbili Mloganzila Fabian Kamana akimfanyia uchunguzi mgonjwa kwa kutumia mashine ya ECHO . Daktari Bingwa wa Magonjwa ya Moyo Hospitali ya Taifa Muhimbili Mloganzila Dkt. Fabian Kamana ametoa rai kwa jamii kupunguza matumizi ya mafuta, chumvi...
  7. DodomaTZ

    JamiiForums Tanzania Wafanyakazi 3,600 wa Muhimbili kupewa elimu ya fedha kabla ya kukopa au kuwekeza

    Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) imekubali ombi la Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH-Upanga & Mloganzila) la kutoa elimu kwa wafanyakazi wake 3,600 juu ya masuala ya kifedha, fursa mbalimbali zilizopo na vihatarishi vyake ili waweze kuchukua hatua stahiki kabla ya kukopa au kuwekeza. Ahadi hiyo...
  8. Suley2019

    JamiiForums Tanzania MOI watoa tamko kuhusu uvunjifu wa maadali uliofanywa wodini. Mgonjwa aomba radhi

    Menejimenti ya Taasisi ya Tiba ya Mifupa Muhimbili (MOI) imetoa ufafanuzi kuhusu uvunjifu wa maadili uliofanywa na Mgonjwa (jina limehifadhiwa) na anayedaiwa kuwa Mpenzi wake (jina limehifadhiwa) ndani ya wodi (3A) siku ya Jumapili mchana tarehe 9/07/2023 ambapo katika uchunguzi wa awali mgonjwa...
  9. aka2030

    JamiiForums Tanzania Ushauri: JKCI na MOI zikajengwe nje ya Muhimbili

    Ili ziweze kutoa huduma kwa ubora na kuipa Muhimbili eneo kubwa mle kuwa na taasisi zaidi ya moja pamesababisha kuwa na msongamano ambao mpaka sasa umesababisha magari kuanza kulipia
  10. Replica

    JamiiForums Tanzania Muhimbili waanza kulipisha tozo ya kuegesha magari, utaratibu utakuwa kwenye majaribio kwa wiki mbili

    Majaribio ya utaratibu mpya wa maegesho ya kulipia katika Hospitali ya Taifa Muhimbili yameanza wiki hii, ikiwa ni jitihada za kupunguza msongamano wa magari. Akizungumzia utaratibu huo, Mkurugenzi Mtendaji wa hospitali hiyo, Profesa Mohammed Janabi alisema majaribio yatadumu kwa wiki mbili...
  11. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Utafiti: Katika Wanaume watano, mmoja ana Shinikizo la Juu la Damu

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amewataka wananchi kuzingatia ushauri wa afya unaotolewa na wataalamu ikiwemo kula kadri inavyoshauriwa na wataalamu ili kujiepusha na magonjwa yasiyoambukiza ikiwemo magonjwa ya Figo. Chalamila ameyasema hayo leo wakati wa kuhitimishwa kwa mbio...
  12. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Muhimbili na Mloganzila kufikisha Wagonjwa 81 waliopandikizwa Figo nchini

    Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), inatarajia kufanya upandikizaji figo kwa wagonjwa sita ifikapo Julai. Hayo yamesemwa leo Ijumaa Juni 30, 2023 na Mkuu wa Kitengo cha Figo Muhimbili, Dk Jonathan Mngumi alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari hospitalini hapo. Hadi sasa, wameshapandikiza...
  13. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Kwa siku Muhimbili inaona Wagonjwa 2000 wa nje na 1300 Wanaolazwa kati yao wote 36% ni wa Waonjwa wa msamaha

    Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), Prof. Mohamed Janabi amesema “MNH ndio hospitali kubwa Tanzania ambapo wataalamu bingwa wa kada nyingi wanapatikana hapa ambapo kwa siku tunaona wagonjwa wa nje kati ya 1,500 hadi 2,000 na waliolazwa takribani 1,300. “Asilimia 36 ya...
  14. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Ripoti Muhimbili: Wanaume 4 hadi 8 wanaishi na Maambukizi ya Virusi vya Homa ya Ini

    Mkurugenzi wa Huduma za Tiba kutoka Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), Dkt. John Rwegasha ametoa taarifa hiyo na kuongeza kuwa idadi hiyo inaweza kuwa zaidi kwa makundi hatarishi wakiwemo wanaojidunga Dawa za, Kulevya Aidha kwa mujibu wa Takwimu za MNH, Saratani ya Ini ni ya pili kwa...
  15. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Muhimbili yasema Robo 3 ya matatizo ya Ugumba nchini yanahusu Wanaume

    Inaaminika kuwa mwanamke asiposhika ujauzito basi tatizo la ugmba analo yeye. Lakini wataalamu wanasema wanaume wanaokabiliwa na matatizo ya kushindwa kutungisha mimba inaongezeka nchini, huku ikitajwa kuwa wagumu kukubali vipimo wakihofia aina ya upimaji na wenye mapokeo hasi ya majibu yao...
  16. Mufti kuku The Infinity

    JamiiForums Tanzania Wabongo wengi wanapenda sana kudandia vitu visivyokuwa na maana. Rejea Wanafunzi wapya wa MNH

    Hizi siku mbili tatu, nikiingia status za whatsap, fb ...watu wapo busy na wanafunzi wapya waliohamishiwa MNH kutoka sudan Chaajabu hadi watu maarufu nao wapo busy na huo uzuzu. Hivi ina maana hamjawahi/hawajawahi kuona wadada warembo? They are acting like they were in boarding schools for 10...
  17. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Muhimbili kuanza Upandikizaji Mimba Novemba 2023

    Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) inatarajia kuanza huduma za upandikizaji mimba kupitia maabara mapema mwaka huu, baada ya mchakato muhimu kukamilika. Huduma hiyo iitwayo In Vitro Fertilization (IVF), inaanzishwa Novemba mwaka huu, ikiwa ni takribani miaka mitano tangu kuanza kwa maandalizi...
  18. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Kwa jinsi baadhi ya Wahadhiri (Lecturers) wetu walivyo nchini wanafunzi waliotoka Sudan kuna usalama kweli?

    Huko Sudan kuna machafuko makubwa sana yanayosababishwa na mapigano makali baina wao kwa wao, zaidi ya wanafunzi laki vyuoni wamelazimika kurudi majumbani ama kwenda nje ya nchi, kwa hapa Tanzania wanafunzi 150 wa kada za afya wamekuja kumaliza masomo yao. Hapo kabla ya vita kulikuwaga na...
  19. A

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi wa vyuo vikuu vya Sudan wahamishiwa vyuo vikuu vya Tanzania. Hongera kwa Serikali ya Tanzania

    Hongera kwa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.Hasa Rais wetu mpendwa kwa kupokea Wanafunzi wa Udaktari toka nchini Sudan. Ikumbukwe nchi ya Sudan ipo katika vita vya wenyewe kwa wenyenye. Mungu akawape utulivu, wepesi na waendelee vema na masomo yao katika Chuo cha Kikuu cha tiba...
  20. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Hospitali ya Muhimbili yaongoza kitaifa kwa utoaji taarifa za madhara yatokanayo na dawa

    Hospitali ya Taifa Muhimbili imeongoza kitaifa kwa 57% katika kipindi cha miaka mitatu mfululizo kwenye utoaji taarifa za madhara yatokanayo na matumizi ya dawa kati ya taarifa zote zilizopokelewa na Mamlaka ya Dawa na Vifaa Tiba (TMDA) kwa miaka ya fedha ya 2020/21, 2021/22 na 2022/23...
Back
Top Bottom