muhimbili

Muhimbili University of Health and Allied Sciences (MUHAS) is a public university in Dar es Salaam, Tanzania. It is accredited by the Tanzania Commission for Universities (TCU).

View More On Wikipedia.org
  1. BigTall

    JamiiForums Tanzania Muhimbili mnazo sababu zipi zenye mantiki zaidi, zinazowafanya muendelee kuziacha CCTV-camera kwenye vyoo?

    Siku kadhaa zilizopita tutakumbuka hapa jukwaani lililetwa dokezo na mdau kuhusiana na hospitali ya Taifa ya Muhimbili kufunga CCTV-camera kwenye vyoo kiume, suala ambalo pia lilichapishwa hadi kwenye kurasa rasmi za #Jamiiforums ikiwemo Facebook, Instagram na X. Kati ya hoja zilizobainishwa...
  2. T

    JamiiForums Tanzania Wakuu naomba msaada kujua fee structure ya chuo cha Muhimbili College of Health and Allied Sciences.

    Habari wana JF, Husika na kichwa hapo juu. Naomba kufahamishwa ada ya diploma ya nursing kwa mwaka ni shilingi ngapi? Pia, gharama za hostel zao ni shilingi ngapi kwa mwaka na je, mwanafunzi anaweza pata hostel kwa miaka yote mitatu? Naomba kwasilisha, mnaojua mnisaidie!
  3. Sir John Deere

    JamiiForums Tanzania KERO Hospitali ya Taifa Muhimbili (Mloganzila) Madaktari wanafunzi ni Janga. Watu wanakufa kwa uzembe

    Hii hospitali kama serikali na uongozi hautachukua hatua za haraka watanzania wengi wataendelea kufa kwa uzembe wa madaktari wanafunzi ambao hawasimamiwi ipasavyo na wakuu wao kazi. Nimeshuhudia mgonjwa wangu akiambiwa hana tatizo lolote la nyonga baada ya kumpeleka akiwa amepata ajali na...
  4. A

    JamiiForums Tanzania KERO Mochwari Muhimbili nao wanakula kwa urefu wa kamba?

    1. Majuzi nilipata msiba wa Kaka yangu hapo Muhimbili basi akapelekwa Mochwari. 2. Siku ya kutoa maiti kwa ajili ya ibada na Maziko (mhudumu anataka TSH 200,000) mbali na zile gharama ambazo tulililipia na kupewa risiti halali. 3. Wale wahudumu kama hujatoa pesa ya chai utashinda kutwa nzima...
  5. The Sunk Cost Fallacy 2

    JamiiForums Tanzania Mabilioni ya Fedha za Utafiti za Samia Yapaisha Vyuo Vikuu vya Tanzania. Muhimbili na Ardhi Vyaingia 10 Bora Afrika

    Ndugu wajumbe,ubora wa Vyuo Vikuu hupimwa Kwa Wingi wa tafiti na machapisho ya kitaalmu. Kwa mujibu wa taarifa ya jarida la masuala ya Elimu ya Juu,Limetaha Vyuo 10 Bora Barani Afrika Kusini mwa jangwa la Sahara ambapo Chuo Kikuu Muhimbili kimeshika nafasi ya 3 na Chuo Kikuu Ardhi kimeshika...
  6. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Prof. Janabi: 90% ya Wagonjwa wa Figo wanaosafisha Damu Muhimbili ni kutokana na Kisukari na Shinikizo la Juu la Damu

    Mkurugenzi Mkuu wa Hospitali ya Taifa Muhimbili na Daktari Bingwa wa Magonjwa ya Moyo, Prof. Mohamed Janabi amesema kila siku takriban Wagonjwa 150 wa Figo wanasafishwa Damu hospitalini hapo na 90% wamegundulika kuwa na Kisukari na Shinikizo la Damu Amesema kama watu wasipochukua hatua za...
  7. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Hospitali ya Muhimbili itajengwa kwa miaka mingapi?

    Hivi haiwezekani kutafuta maeneo mapya na ikajengwa Hospitali Mpya kuliko kukarabati Hospitali moja kila baada ya muda mfupi? Au mimi kuna kitu sielewi?
  8. msafi WCB

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua kuhusu hii Kozi mpya iliyoanzishwa Muhimbili, Audiology and Speech Therapy Pathology)

    Nomba kujua ukihitimu utafanya kazi kwenye sekta ipi na ipi na majukumu hasa ni yapi?
  9. Heparin

    JamiiForums Tanzania Muhimbili yaongeza Gharama za Kuona wagonjwa wa VIP

    Taarifa iliyotolewa na Uongozi wa Hospitali ya Taifa Muhimbili Aprili 9, 2024 imesema kutokana na maboresho yaliyofanyika na Hospitali ya Taifa ya Muhimbili upande wa Kliniki za VIP Jengo la wagonjwa wa nje inayoitwa 'NOPD VIP', bei ya kumwona Daktari kwa Kliniki kwa sasa ni Shilingi 100,000/=...
  10. C

    JamiiForums Tanzania Je, Muhimbili Kuna course ya clinical dentistry kwa diploma?

    Na kama ipo tuna apply vipi tofauti na wale wanaochaguliwa direct kutoka form 4
  11. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Muhimbili yaja na mpango wa dharura kuwahudumia Wanachama wa NHIF

    Kutokana na baadhi ya hospitali binafsi kusitisha huduma kwa wanachama wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) kuanzia leo Machi mosi, 2024, uongozi wa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) umekuja na mpango wa dharura wa kuwahudumia. Hatua hiyo inalenga kuwawezesha wawe na mwendelezo wa huduma...
  12. Kingsmann

    JamiiForums Tanzania Muhimbili yaja na mpango wa dharura wa kuwahudumia wanachama wa NHIF watakaokosa huduma hospitali za binafsi

    Kufuatia baadhi ya Hospitali kusitisha huduma kwa wanachama wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) kuanzia Machi 1, 2024, Uongozi wa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) umekuja na mpango wa dharura wa kutoa huduma kwa wanachama hao ili waweze kuwa na mwendelezo wa huduma hizo. Mkurugenzi...
  13. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Muhimbili yaweka Rekodi nyingine ya kibingwa

    Hospitali ya Taifa Muhimbili, leo kwa mara ya kwanza imefanya upasuaji wa kutoa mfupa kwenye ubavu na kutengeneza kiungio (joint) cha taya la chini na fuvu ili kumtengenezea mgonjwa taya jipya la kulia lililoathiriwa na uvimbe. Daktari Bingwa wa Upasuaji wa Uso na Taya Dkt Arnold Augustino...
  14. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) yasema Wagonjwa 40 watabadilishwa nyonga

    Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) Prof. Abel Makubi amewapokea madaktari bingwa wabobezi wa upasuaji wa nyonga Watatu kutoka nchi ya Pakistan watakaoendesha kambi ya siku tano ya upasuaji wa nyonga kwa wagonjwa 40 kwa kushirikiana na madaktari bingwa wa...
  15. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Watoto mapacha waliofanyiwa upasuaji wa kutenganishwa waruhusiwa kutoka Muhimbili

    Uongozi wa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) umeishukuru Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kutokana na uwekezaji uliofanyika hospitalini hapa ambao umewezesha huduma mbalimbali za kibingwa na ubingwa bobezi kufanyika ikiwemo upasuaji mkubwa wa kutenganisha...
  16. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Upasuaji wa urembo kuotesha Nywele kwenye Kipara wafanyika Muhimbili

    Watalaam wa upasuaji Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) kwa kushirikiana na wenzao kutoka nchini Marekani wamekamilisha kambi maalum ya siku tano iliyohusisha upasuaji wa urembo na upasuaji wa matibabu (Cosmetic and Reconstructive Surgery) kwa wagonjwa nane. Akizungumza wakati wa kuhitimisha...
  17. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Taasisi ya MOI yawafanyia upasuaji wa kurekebisha Kibiongo Watoto 10 baada ya mafunzo ya madaktari wa nje

    Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) imewafanyia upasuaji wa kurekebisha kibiongo watoto 10 kwa mafanikio makubwa katika kambi maalum iliyoendeshwa na madaktari bingwa wa MOI kwa kushirikiana na Madaktari bingwa kutoka Marekani , Italia, Palestina na Umoja wa Falme za Kiarabu...
  18. Wizara ya Afya Tanzania

    JamiiForums Tanzania Watoto wenye jinsia tata wafanyiwa upasuaji Muhimbili

    Hospitali ya Taifa Muhimbili imewafanyia upasuaji wa mfumo wa mkojo na haja kubwa kwa watoto 31 na kati ya hao sita walizaliwa na jinsia tata, ambapo upasuji huo umefanywa na Madaktari Bingwa wa MNH kwa kushirikiana na wataalamu kutoka nchini Ireland na mwingine kutoka Bahrain. Akizungumza na...
  19. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Muhimbili watenganisha tena Mapacha walioungana

    Hospitali ya Taifa Muhimbili kwa mara nyingine imeandika historia kwa kufanya upasuaji mkubwa wa kuwatengenisha watoto mapacha waliokuwa wameungana sehemu ya tumbo na kifua na kuwa upasuaji wa kwanza kufanywa na madaktari wazawa hapa nchini. Akizungumza na waandishi wa habari, Mkurugenzi wa...
  20. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Hospitali ya Muhimbili yatoa ufafanuzi kuhusu kero ya ucheleweshwaji wa utoaji wa Medical Report

    Baada ya Mdau wa JamiiForums.com kulalamikia ucheleweshwaji wa kutoa Ripoti ya Matibabu (Medical Report) kwa Mgonjwa licha ya kuwa inalipiwa Tsh. 100,000 kwenye Hospitali ya Taifa ya Muhimbili, akidai kuwa zamani ripoti hiyo ilikuwa bure, Uongozi wa Muhimbili umetoa majibu. Mdau amedai kuwa...
Back
Top Bottom