muhimbili

Muhimbili University of Health and Allied Sciences (MUHAS) is a public university in Dar es Salaam, Tanzania. It is accredited by the Tanzania Commission for Universities (TCU).

View More On Wikipedia.org
  1. figganigga

    JamiiForums Tanzania Nassor Hamdan Seif, Mmiliki wa Mabasi ya NBS Tabora, amefariki Dunia

    Mfanyabiashara Nassor Hamdan Seif, Maarufu kama Mzee NBS, Mmiliki wa Mabasi ya NBS Tabora, amefariki leo katika Hospitali ya Taifa Muhimbili Jijini Dar es Salaam Mwili wa Marehemu Mzee NBS utasafirishwa kuelekea Tabora kwa Mazishi yake. Apumzike kwa Amani
  2. K

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Hospitali ya Muhimbili Mloganzila hakuna huduma tangu asubuhi, wanadai system inasumbua

    Tuko Mloganzila Hospital tangu asubuhi hakuna huduma yoyote, walioko Wodini wala waliokuja kutibiwa wanasema System inasumbua so, hamna huduma yoyote. Tumeomba wafanye “Manual” kuokoa Maisha ya Wagonjwa wanasema haiwezekani sababu wanayotoa ni kwamba wizi utafanyika, so kwao ni bora watu wafe...
  3. BigTall

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Kujifungua kwa upasuaji Muhimbili ni anasa kwa wajawazito? Gharama ni ghali

    Kama tunavyojua, mara kadhaa tumekuwa tukiwasikia baadhi ya wanasiasa wakidai kuwa wajawazito wanajifungua bure. Kauli hizi zimekuwa zikizua mijadala mikubwa kuhusu uhalisia wake, hasa ikizingatiwa kuwa bado kuna gharama mbalimbali zinazotozwa kwa maelezo kuwa ni michango ya huduma. Hata hivyo...
  4. A

    JamiiForums Tanzania KERO Serikali iingilie kati! Wauguzi na Wahudumu wa Afya wa Muhimbili, uongozi haututendei haki, hali yetu ni tete

    Tunaleta kilio chetu kwa Serikali na Mamlaka husika kwa kuwa watendaji wa huko wameshindwa kutusikiliza. Wakuu wa Idara kutoka Kurugenzi ya Uuguzi, wamekuwa na tabia ya kujiweka kwenye posho za NHIF na IPPM. Mgao wanaopata wao ni mkubwa kuliko watoa huduma waliohudumia wagonjwa. Ili hali kwa...
  5. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Makamu Mwenyekiti CHADEMA John Heche azidiwa, akimbizwa hosptali ya taifa ya Muhimbili

    MAKAMU mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), John Heche, amekimbizwa katika hospitali ya taifa ya Muhimbili, jijini Dar es Salaam, baada ya hali yake ya kiafya kuripotiwa kudorora. Taarifa hizi, zimethibitishwa na mmoja wa wanafamilia wa mwanasiasa huyo. Anasema, Heche...
  6. thegreat1510

    JamiiForums Tanzania Kuna mauaji ya majeruhi wa maandamano yanaendelea hospitali ya Muhimbili

    Kwa bahati mbaya hamna chombo kinachoweza kupewa hii taarifa na kuzuia hili. Polisi wamejazwa wodi zote za MNH na kila ambulance ikileta watu , basi hao watu wanapewa caring kidogo kisha polisi wanawachukua na kuondoka nao. Ambapo wote wanaochukuliwa hurudishwa tena lakini wakiwa maiti tayari...
  7. thegreat1510

    JamiiForums Tanzania GE2025 Hapa MUHIMBILI, Miili inayoletwa ni mingi mno, watanzania wengi sana wanauawa

    .
  8. Mboju

    JamiiForums Tanzania Muhimbili yatoa ufafanuzi jinsi ya kuchangia Figo

    Hospitali ya Taifa Muhimbili (Upanga na Mloganzila) imetoa ufafanuzi kuhusu utaratibu wa uchangiaji figo kwa Wagonjwa wanaohitaji huduma ya kupandikiza viungo hivyo, kufuatia taarifa zinazozunguka kwenye mitandao ya kijamii. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa leo Septemba 2, na Mkuu wa Kitengo...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Je, mgonjwa akifika kitengo cha emergency/idara ya dharula anatakiwa kupata huduma baada ya muda gani?

    Emergency Department au kwa kiswahili Kitengo cha magonjwa ya dharula ni miongoni mwa idara mpya kuanzishwa katika nchi zetu za africa, kitengo hiki hakina miaka hata kumi na tano, mwanzilishi wa kwanza kwa Tanzania ilkuwa ni Muhimbili National Hospital wakishirikiana na chuo kikuu cha afya na...
  10. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Ukiwa kama Great Thinker wa JamiiForums una Fikra gani za Nje ya Box hasa kumhusu huyu Daktari Feki aliyekamatwa Muhimbili na tena Amana?

    Hivi ni kwanini Wapuuzi wachache wanapenda sana Kucheza na Akili za Watanzania hasa tu kukiwa na Jambo muhimu?
  11. McLaren

    JamiiForums Tanzania Daktari feki aliyekamatwa Muhimbili aibukia tena Amana kutapeli watu. Huyu hapa akiwa amebananishwa

    Wakuu, Yaani huyu jamaa bhana hata kujieleza hawezi. Amejikanyaga sana. Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Amana inamshikilia Daktari feki anayejulikana kwa jina moja Mussa aliyetaka kuwatapeli Wagonjwa katika Hospitali hiyo. Mgonjwa mmoja aligundua kuwa Daktari huyo ni feki ndipo akaamua kuujulisha...
  12. X factor

    JamiiForums Tanzania Gigy Money anaumwa kalazwa Muhimbili ICU

    Kupitia ukurasa wake wa Instagram Gigy Money, uongozi wa msanii Gigy Money umeeleza kuwa msanii huyo anaumwa na anahitaji maombi kutoka kwa mashabiki wake. Taarifa hiyo imekanusha uvumi kuwa amepigwa au amehusika katika ugomvi wowote, ikisisitiza kuwa habari hizo ni za kupuuzwa. Gigy Money...
  13. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Dkt. Delilah Charles Kimambo ateuliwa kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili

    Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Dkt. Delilah Kimambo kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH). Kwa taaluma, Dkt. Kimambo ni daktari bingwa wa magonjwa ya moyo, na anachukua nafasi ya Profesa Mohamed Janabi ambaye alichaguliwa kuwa Mkurugenzi wa Shirika la Afya Duniani...
  14. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbunge Sekiboko: Nilipohitimu Digrii ya Ualimu, nilijifunza kushona viatu VETA

    Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Elimu, Utamaduni na Michezo Husna Sekiboko akizungumza mkoani Dar es Salaam wakati wa kilele cha maadhimisho ya miaka 30 tangu kuanzishwa kwa Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA) amesema yeye baada ya kuhitimu Shahada yake ya kwanza ya...
  15. Faana

    JamiiForums Tanzania Nini tofauti ya Muhimbili na Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete

    Haya majina mawili yachanganya watu, huenda kupitia hapa wengi wanaweza kujifunza jambo. Kwamfano nimeiona hii👇
  16. kali linux

    JamiiForums Tanzania Nelly Kamwelu yupo muhimbili anadai kapigwa vibaya sana

    Duuuh hii domestic violence kwa mrembo Nelly ni balaa, mwenye taarifa kamili atupe tafadhali Nifah cocastic
  17. stabilityman

    JamiiForums Tanzania Hospital ya muhimbili kujengwa upya k

    Serikali imedhamiria kuboresha Hospitali ya Taifa Muhimbili kwa kuijenga upya ili kuwezesha huduma zote kutolewa ndani ya jengo moja litakalokuwa na vitanda 1,757 kutoka 1,435 vya sasa ambapo mradi huo utagharimu Dola za Marekani milioni 468 [takriban TZS trilioni 1.2] ambapo kati ya fedha hizo...
  18. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Haya huwezi kupiga Bao la Mimba, andaa Shilingi Milioni 14 zako Muhimbili Hospitali wakupigie Bao lao upate Mtoto

    Mkurugenzi wa Huduma za upasuaji katika Hospitali ya Taifa Muhimbili Dkt Rachel Mhavile amesema Mnamo Septemba 24, 2024 serikali ilifanikiwa Kwa Mara ya Kwanza kuanzisha Kituo Cha upandikizaji wa mimba katika Hospitali za Umma Nchini ambacho kimegharimu Bilioni 1.72 Amesema katika kipindi Cha...
  19. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Uwekezaji wa Rais Samia Katika Afya Waondoa Changamoto za Huduma za Kibingwa Handeni

    Hapo zamani wakazi wa halmashauri ya wilaya ya Handeni na vijiji vyake walilazimika kwenda Tanga mjini hospitali ya Bombo au kwenda Muhimbili Daresalaam kwaajili ya huduma za kibingwa, lakini kwa uwekezaji uliofanywa na Rais Samia kwenye afya, shida hizo zimetatuliwa. Hawa ni baadhi ya wakazi...
  20. milele amina

    JamiiForums Tanzania Uchambuzi wa Hali ya Huduma za Afya: Aga Khan Hospital kuhudumia wageni wa mkutano wa Nishati Afria badala ya Muhimbili Hospital

    Aga Khan Hospital, iliyopo Dar es Salaam, imekuwa katika habari kutokana na kuvunjwa kwa mkataba wake na Bima ya Afya ya Taifa (NHIF) wa kuwahudumia Watanzania maskini. Hali hii inatia wasiwasi, hasa pale ambapo hospitali hiyo imekuwa ikihudumia wageni katika mkutano wa Nishati Afrika...
Back
Top Bottom