muhimbili

Muhimbili University of Health and Allied Sciences (MUHAS) is a public university in Dar es Salaam, Tanzania. It is accredited by the Tanzania Commission for Universities (TCU).

View More On Wikipedia.org
  1. C

    JamiiForums Tanzania Nimeandikiwa rufaa Muhimbili hospitali ya mtoto wa miaka miwili na nusu

    Wakuu habari.. Mtoto wangu alikuwa na changamoto ya kuchelewa kulia tangu alipozaliwa 2022 July, baada ya hapo akawa anapata degedege tukawa tumepeleka kwenye vipimo hospital ya Benjamin Dodoma kufanya vipimo vya EEG TEST pamoja na CT scan. Majibu ya CT scan hayakuonesha chochote ila EEG test...
  2. NostradamusEstrademe

    JamiiForums Tanzania Huyu ndiye muasisi wa Hosipitali ya Muhimbili

    Sewa Haji, soma historia ya mtu aliyetukuka. Ndie aliyetajwa katika moja ya wodi ama majengo ya Hospitali ya Taifa ya Muhimbili... Inasadikiwa Hospitali ya Muhimbili ndie aliyeijenga kabla ya Waingereza kuichukua na kuiendeleza. SEWA HAJI PAROO, ALITOA MCHANGO MUHIMU KATIKA MAENDELEO YA...
  3. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Julius adakwa akijifanya Afisa Muuguzi Mloganzila, atuhumiwa kwa wizi wa mali za wagonjwa na kukiri kuiba Simu Tatu

    Hospitali ya Taifa Muhimbili Mloganzila imemkamata Bw. Steven K. Julius kwa tuhuma za wizi wa mali za wa wagonjwa ikiwemo simu za wagonjwa waliolazwa hospitalini hapo kwa kujifanya ni mwajiriwa wa Muhimbili Mloganzila kwa cheo cha Afisa Muuguzi. Baada ya mahojiano Bw. Julius amekiri kuiba simu...
  4. A

    JamiiForums Tanzania KERO Muhimbili (Upanga & Mloganzila) inakuwaje mnakosa chanjo ya Tetanus kwa zaidi ya mwaka sasa!?

    Nimeenda mara kadhaa kwenye haya matawi mawili ya Hospitali ya Taifa Muhimbili (Upanga & Mloganzila), chanjo ya Tetanus haipo kwa zaidi ya mwaka sasa. Mara ya kwanza nilienda Upanga kama miezi 8 iliyopita baada ya mwanangu kung'atwa na mbwa, wakamchoma tu chanjo ya kichaa cha mbwa, chanjo ya...
  5. BLACK MOVEMENT

    JamiiForums Tanzania Prof Janabi kashindwa Muhimbili, Huduma ni mbovu, malalamiko ni Mengi, huko WHO hafai kuongoza.

    Tunapaswa kumuonyesha Raisi Samia kwamba haturidhishwi na mfumo wa huduma za Afya Tanzania, na ikiwemo Hospitali kuu ya Muhimbili unayo simamiwa na huyo anaye pigiwa upatu. Nchi ina mifumo mibovu sana ya Afya, tuwe serious hapa. Huduma za Hospitali ya Muhimbili sio nzuri na zinalalamikiwa...
  6. M

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Tokea tarehe 19 Novemba, mgonjwa wangu ndio kwanza kafanyiwa UTRASOUND Muhimbili. Changamoto ni nyingi sana

    Nianze tu kwa kumuomba yyte mwenye uwezo wa kumfikishia Rais Samia hili na amfikishie. Hali ya Muhimbili inasikitisha. Na mkono wake wahitajika. Rais Samia chochote atachofanyia Muhimbili atapata baraka tele kutoka kwa MwenyeziMungu. Nayasema haya kutokana na hali halisi. Mgonjwa kapewa rufaa...
  7. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Responded Hospitali ya Taifa Muhimbili yatoa ufafanuzi hoja ya Mdau kuhusu "Huduma zake ni janga kwa Wagonjwa"

    Baada ya Wanachama wa JamiiForums.com kuandika hoja zinazoitaja Hospitali ya Muhimbili - Mlonganzila kuwa na gharama kubwa na changamoto nyingine za kiutendaji, taasisi hiyo imetoa ufafanuzi. Kusoka hoja za Wadau bofya hapa chini: ~ DOKEZO: Serikali iimulike hospitali ya Mloganzila, Huduma zake...
  8. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Serikali ifuatilie utendaji Idara ya Ustawi wa Jamii - Hospitali ya Muhimbili, ngazi ya juu hakuna Uwajibikaji

    Kwanza nianze kwa kuwapongeza JamiiForums kwa kazi nzuri mnayofanya ya kubadilisha mwenendo wa nchi yetu, kazi kubwa inafanyika na mabadiliko yanaonekana, pongezi kwa hilo. Hivi karibuni niliona habari ya MOI kuhusu yule mgonjwa ambaye alikosa huduma kutokana na uongozi kumkazia kuhusu suala la...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Muhimbili: Mgonjwa Aliyeacha Deni na Kupata Bima Hatotibiwa kwa Bima, Bali kwa Malipo ya Fedha Taslimu

    Wakuu ni case study. Kwa wale ambao wanadhani jambo muhimu ni kwa chama cha Mapinduzi kiendelee kushika madaraka. Au chama fulani kishinde na kuwaondoa ccm madarakani. Munazingitia hays yaliyo kwenye ground? Katika ufatiliaji wangu, kwa kipindi cha miaka 3. Ni Magufuli pekee ndie aliyeweka...
  10. GemMaster II

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Ni kweli Hospitali ya Taifa Muhimbili kulala kwa siku ni gharama zake ni tsh 50,000?

    Habari zenu wakuu. Hizi taarifa za kwamba gharama za kitanda hospitali ya taifa Muhimbili kuwa ni tsh 50,000 ni za kweli au story za vijiweni, kama hizi gharama ni za kweli basi kama taifa hatupo salama na nimeamini Tanzania ndio jehanamu yenyewe,mtu ajapona lakini anaona bora akajiuguze...
  11. funaku

    JamiiForums Tanzania Hospitali ya Muhimbili izingatie weledi katika kutoa taarifa wakati wa Majanga!

    Nasikitika kuona "kiherehere" cha hospitali ya Taifa ya Muhimbili katika kutoa Taarifa zinazohusu majanga bila kuzingatia chain of command. Sio afya kwa hospitali hii as an entity kukimbilia kwenye media na kutoa taarifa bila kuzingatia taratibu za uhabarishaji umma wakati wa tukio la majanga...
  12. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Nimeshangaa sana nilipokutana na hii kitu kwenye website ya Muhimbili National Hospital

    Muhimbili ambako maiti zinazuiwa kwasababu aliyekufa alipokuwa mgonjwa hajamalizia malipo. Muhimbili ambako mgonjwa anakaa wiki nzima hajapata huduma kwakuwa hajalipia pesa ya kipimo hivyo madaktari hawawezi kumuhudumia mpaka apimwe . Na vipimo hajalipia bado. Muhimbili ambako huduma bei yake...
  13. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Taarifa ya ajali: Mwana JF mwenzetu Ushimen kapata ajali mbaya na sasa yuko Muhimbili hospital

    Na hii ndio taarifa yake Habari ya asubuhi wana familia. Sisi tunaumwa, nilipata ajali mbaya tarehe 5 October na ilionekana nimepata fracture kwenye mguu, siku tatu mbela ikaonekana nimepata clavicle dissociate (mfupa wa bega ulipishana. Na nilimuona bingwa wa mifupa tukapata matibabu (arm...
  14. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Gharama zinazotozwa Muhimbili Hospital kuwahudumia “Watoto njiti” zinatuumiza tunaouguza

    Licha ya Mamlaka za Kiserikali pamoja na Wadau kueleza mipango mikakati na kuchukua hatua mbalimbali za kupunguza vifo vya Mama na Mtoto hasa vinavyotokana na Watoto Njiti (Watoto waliozaliwa kabla ya muda) lakini hali inaonekana kuwa sio shwari katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili. Ambapo...
  15. Nehemia Kilave

    JamiiForums Tanzania Makamu wa Rais Dkt Mpango azindua kituo cha upandikizaji Mimba na Gari la huduma tembezi za Afya

    Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Isdor Mpango leo Septemba 12, 2024 amezindua kituo cha upandikizaji mimba (IVF) cha Dkt. Samia Suluhu Hassan kilichopo katika Hospitali ya Taifa Muhimbili Jijini Dar Es Salaam. Sambamba na hili , Dkt. Philip Isdor Mpango leo...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Gharama za vipimo Muhimbili zimepanda kimyakimya?

    Jana siku ya jumatatu 26.08.2024 nilimsindikiza mgonjwa Muhimbili akaandikiwa kipimo cha Ultrasound tulivyoenda kulipia tumekuta bei imepanda zamani ilikuwa Tsh 25,500 lakini jana tumelipishwa 35,500,je ina maana na vipimo vingine navyo vimepanda bei au imekaaje hii. Je hali ikiwa hivi sisi...
  17. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Magwiji wa Tiba Radiolojia wakutana Muhimbili kujadili kuongeza wigo wa huduma hiyo nchini

    Magwiji wa tiba radiolojia duniani ambao hutumia vifaa kama vile CT-Scan, MRI, Xray, Angiography system, Utrasound n.k kufanya uchunguzi na kutibu magonjwa mbalimbali kupitia matundu madogo, mapema wiki hii wamekutana Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) kutathmini hali ya utoaji huduma hiyo...
  18. and 998 others

    JamiiForums Tanzania Ustaadh ajifanya Daktari na kutapeli wagonjwa Muhimbili

    Mwalimu na Ustaadh Mkuu Dr Musa amedakwa akitapeli wagonjwa Muhimbili. Tukimbilie wapi?.Hawa ndo wanafundisha watoto Madrasa, kweli Kwa design hii watoto wapo salama? Prof Janabi dhibiti Hawa kama uhusiki
  19. A

    JamiiForums Tanzania KERO Dada yangu amefariki kwa kuishiwa Oxygen baada ya Muhimbili kufosi kumpeleka Mloganzila

    Nilikuwa na mgonjwa wangu ambaye alikuwa anasumbuliwa na Saratarani, alikuwa anapatiwa huduma Ocean Road, tukiwa hapo tukapata referral ya kwenda Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (Upanga), Dar es Salaam. Wakati tunaelekea Muhimbili tukapita Hindu Mandal kwa kuwa kuna Daktari ambaye pia...
  20. BigTall

    JamiiForums Tanzania Muhimbili mnazo sababu zipi zenye mantiki zaidi, zinazowafanya muendelee kuziacha CCTV-camera kwenye vyoo?

    Siku kadhaa zilizopita tutakumbuka hapa jukwaani lililetwa dokezo na mdau kuhusiana na hospitali ya Taifa ya Muhimbili kufunga CCTV-camera kwenye vyoo kiume, suala ambalo pia lilichapishwa hadi kwenye kurasa rasmi za #Jamiiforums ikiwemo Facebook, Instagram na X. Kati ya hoja zilizobainishwa...
Back
Top Bottom