muda

MuDA was the acronym of the Museum of Digital Art, an art space dedicated to digital arts. The institute was opened in February 2016 in Zurich by the non-profit Digital Arts Association. It closed by the end of June 2020.

View More On Wikipedia.org
  1. Ukitaka kujua Watanzania wengi hawapendi kazi, zunguka maofisini muda wa lunch

    Habarini wakuu, Kwa Tanzania hapa, asilimia kubwa ya watu wafanya kazi Ile basi tuu, wachache tuu wana uzalendo na kazi lakini wengi hawana moyo kabisa wa kufanya kazi. Ukipita maofisini utagundua wafanyakazi wengi iwe private sector au serikalini wanazingatia muda wa lunch kuliko muda wowote...
  2. M

    Godbless Lema: Mbowe ametafutwa muda mrefu sana na kulikuwa na njama za kumuua

  3. Lissu: Polisi hawana uwezo wa kukaa na Mbowe muda mrefu gerezani. Mbowe na CHADEMA hatutatoa ushirikiano

    Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu akiwa katika mtandao wa Kijamii wa “Club House” katika chumba kilichofunguliwa na CHADEMA cha “Mashtaka ya Ugaidi ya Mbowe na Katiba Mpya” amesema CHADEMA haitashiriki katika kesi ya Ugaidi inayomkabili Mwenyekiti wao, Freeman Mbowe Amesema...
  4. A

    SoC01 Amka kijana usibweteke

    Chuma usipokitumia kwa muda kinaota kutu Kwa wale ambao wamesoma chemistry japo kidato cha kwanza watakuwa wanaijua hii sentesi, hivyo ndivyo ilivyo na maisha ndivyo yalivyo.Tatizo sio mshahara mdogo, tatizo sio ajira hakuna, tatizo sio fursa, tatizo sio kusoma mchepuo wa hati au sayansi...
  5. Hans Pope: Manara hataki kusaini mkataba ambao atalipwa milioni 4

    Hans Pope ameeleza sababu za Manara kukataa kusaini mkataba na Simba ambao ni mil 4 akiogopa kujifunga kwani unamkataza kufanya kazi na kampuni zingine nje ya Simba.
  6. M

    Kukaa muda mrefu kwenye kiti husababisha kufa mapema

    Kukaa muda mrefu kwenye kiti husababisha kufa mapema Pengine tayari unafahamu kuwa kutokujishughulisha na mazoezi ya viungo mara kwa mara ni hatari kwa afya yako. Ndiyo hilo ni jambo ambalo kila mtu analijuwa (common sense). Vipi lakini ikiwa ni kweli unajitahidi kila siku kutimiza jukumu...
  7. Mnashangilia kukamatwa kwa Mbowe, tutashangilia muda ukifika

    Mnashangilia na kutukana kukamatwa kwa Viongozi wa CHADEMA kwa kutumia haki yao kukusanyika sio? Jana UVCCM walikua na MKUTANO Dodoma. Hatukusikia upuuzi wowote wa Polisi, walikua wameufyata. Sasa nawapa taarifa siku na nyie kiongozi wenu akiitwa kupumzika milele msije mkawalaumu Chadema...
  8. SoC01 Ushauri: Vijana tuamkeni muda hautusuburi

    VIJANA TUAMKENI MUDA HAUTUSUBIRI Habarini ndugu, jamaa na marafiki. Kwanza kabisa nitumie fursa hii kuwakumbusha Mafanikio yoyote ni Kuchukua hatua tuache kukaa nakuzungumza bila kuchukua hatua. Katika kutafuta mafanikio, vijana tuzingatie sana sana Uaminifu. Hivyo basi nianze kueleza mambo...
  9. Natafuta Bwana/Bi Shamba (Crop Production Specialist) wa kusimamia shamba kwa muda wa miezi 6 kuanzia Oktoba 2021

    Natafuta Crop Production Specialis wa kusimamia shamba langu lililopo Dodoma eneo la Zuzu nje kidogo ya Jiji la Dodoma. Shamba hilo ni jipya (halijawahi kulimwa) litaanza kulimwa kuanzia Oktoba 2021. Kazi ya kusimamia shamba hilo itaanza mwezi Oktoba 2021 na itaendelea kwa muda wa miezi 6...
  10. Ni muda wa kumpa sifa zake Mugalu

    Leo nyie mikia mnielewe vizuri, kama kigezo cha kumpima straika ni magoli, Chris Kope Mutshimba Mugalu ni bonge la straika na mpeni muda atafanya vizuri zaidi. Amefunga goli 15 za ligi, mnahitaji nini zaidi? Ni muda sasa wa Mugalu kupewa heshima yake anayostahili!
  11. M

    Kuna Nini Mbona Kuna Wimbi Kubwa Sana La Wahindi Wameingia Tanzania Katika Muda Mfupi?

    Kuna Wahindi wengi sana tena wale wa hali ya chini wameingia Tanzania katika siku mbili hizi wamejazana kwenye hotel/Guest za mitaani. Uhamiaji kuweni makini tujue ni wawekezaji au wamekuja kuchukua kazi za Watz wakawaida!!
  12. Kiroho zaidi: Rais ajaye baada ya Mama Samia,atakuwa mwanamke pia

    By the time mama Samia ana karibia kumaliza muda wake wa uongozi hiyo mwaka 2030, mamilioni ya Watanzania wata tamani katiba ibadilishwe ili Mama Samia aongezewe muda , lakini halitawezekana tena kwani kwa wakati huo, kwa sababu tayari atakuwa ameshapitisha katiba...
  13. T

    Ushauri kwa wito wa waajiri ambao wanatuma matangazo ya ajira ili hali tayari wana mtu wa kujaza nafasi hiyo

    Mimi ni kijana mtanzania ambaye nimemaliza elimu ya chuo kikuu kada ya ualimu wa sayansi na nimehudhuria usaili mara kadhaa na leo nataka nizungumzie swala la matangazo ya ajira kwa taasisi zinazotoa ajira. Ajira ni changamoto ambayo inatukabili vijana wengi sana na inapotokea tangazo la ajira...
  14. Huyu Waziri namtabiria muda wowote kuanzia sasa 'Kutumbuliwa' na Rais Samia, labda Nduguye 'amsalie' sana Ubungo Maji

    1. Ameingia katika Mtego wa Kujibizana na Mitandao ya Kijamii 2. Anatumia muda mwingi Kubishana badala ya kutoa Suluhisho. 3. Anataka Kumuonyesha Mtangulizi wake katika hiyo Wizara kuwa alikuwa hajui Kitu 4. Hajajua tu kuwa Mama hamtaki hapo ila anamuwinda tu amtoe na sababu imepatikana 5...
  15. Hii imekaaje Vituo vya Redio kupishana muda?

    Mimi kila alfajiri huwa nasikiliza RTD, ili kusikiza Usia wa baba, utabiri wa hali ya hewa pamoja na mambo mengine, na baadae nahamia RFA kusikiliza BBC. Kwa wiki kadhaa sasa nimegundua ya kuwa Vituo hivi, yaani RTD na RFA wanapishana muda...kwani baada tu ya RTD kusema imetimia saa kumi na...
  16. Tetesi: Tozo ya Muda wa Maongezi yaiva, kuipuliwa muda wowote na serikali ya Mama

    Ni mwendo wa kuipua tu. Kabla ya tozo ya miamala haijapoa,kinaipuliwa kitu Airtime Levy. Mlaji kuwa tayari,kama hutashiba sema waipue kitu kingine
  17. C

    SoC01 Fahamu Kuhusu Dhana ya kiafrika ya muda na maendeleo

    Muda ni moja ya dhana muhimu ya kujadiliwa katika mtazamo wa Kiafrika juu ya maendeleo. Dhana ya Kiafrika ya muda inafunua njia kamili za maisha kati ya Waafrika katika kutazama hali halisi. Hii inadhihirisha nguvu nyuma ya mwenendo wa waafrika. Inaonyesha mawazo na imani kati ya Waafrika...
  18. Shule ya Sekondari ya Wavulana Geita (GESECO) imefungwa kwa muda wa wiki mbili baada ya kuungua mara 3 ndani ya siku 7

    Mkuu wa Mkoa wa Geita, Rosemary Senyamule ameifunga Shule ya Sekondari ya Wavulana Geita (GESECO) kwa muda wa wiki mbili baada ya moto kuwaka katika bweni la wavulana usiku wa kuamkia leo Julai 14, 2021. Kutokana na uamuzi huo, wanafunzi wote wametakiwa kurudi majumbani, na wanafunzi wanaosoma...
  19. Julius Malema afungiwa kutumia Twitter kwa muda

    Kiongozi wa upinzani wa chama cha Economic Freedom Fighters (EFF) nchini Afrika Kusini bwana Julius Malema amezuiwa kwa muda kuandika katika akaunti yake ya Tweeter kwa kukiuka miongozo ya Twitter, vyombo vya habari vya ndani vimeripoti. Mbuyiseni Ndlozi, mbunge na mwanachama wa chama cha EFF...
  20. Tutumie muda mwingi kumshukuru Mungu badala ya kuwa ombaomba muda wote

    Leo nimeguswa sana kuleta neno la Mungu. Hii ituguse wote walioko CCM na wapinzani. Ujumbe ni wote. Kwa muda mrefu sana kwenye haya maisha ya dhambi tumekuwa tukimlilia Mungu na kumuomba atupe hiki au kile. Wengi tunataka pesa, wengine hutaka mume/mke, watoto na vingine vingi. Sio vibaya kuomba...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…